Staff Desk
KILICHOTOKEA JANA, SIMBA NA YANGA HAWAWEZI
Mchambuzi wa masuala ya soka Bongo, Amri Kiemba amesema kilichofanyika jana kwa Singida FG kuungana na mashabiki wa Yanga SC na Azam FC kwenye...
YANGA YAPAA AFRIKA YASHIKA NAMBA MOJA
Klabu ya Yanga imeibuka kinara kwa kufuatiliwa zaidi barani Afrika kwenye mtandao wa Instagram kwa upande wa timu za mpira wa miguu kwa mwezi...
HAKUNA SIMBA BILA CHAMA SHABIKI AFUNGUKA
Shabiki kindakindaki wa Klabu ya Yanga ambaye pia ni mchambuzi wa soka, Jimmy Kindoki amesema kuwa Klabu ya Simba inategemea mchezaji mmoja tu ambaye...
MBRAZILI AMALIZA KAZI YA DYNAMO……….., GAMONDI AWAFANYIA UMAFIA WAARABU
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
KAGAME AMALIZA UTATA ISHU YA MASHABIKI YANGA
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
MAJERAHA YA KRAMO USHIRIKINA WAHUSISHWA, KAPOMBE ATAJWA
Mchambuzi wa masuala ya soka nchini kupitia runinga ya TV3, Boiboi Mkali, amefunguka kuhusu majeraha yasiyoeleweka ambayo yamekuwa yakiwakumba wachezaji wa Simba SC huku...
UNATAKA KUIONA YANGA RWANDA? HIKI NDIO KIINGILIO
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga SC Ally Kamwe amefunguka maandalizi ya timu yake safari kwenda nchini Rwanda kwaajili ya kucheza mchezo wa...
ALLY KAMWE ATAMBA NA UBORA WA YANGA KIMATAIFA
Ally Shaban Kamwe ambaye ni Afisa Habari wa Yanga Africans, ametamba kuwa, wao ndio wawakilishi pekee wa Kimataifa wenye uhakika wa kufanya vizuri kwenye...
SIMBA YATANGAZA KUELEKEA ZAMBIA FULLMKOKO ISHU IKO HIVI
UONGOZI wa Simba, umetangaza kuwafuata wapinzani wao Power Dynamos ya nchini Zambia mapema Alhamisi, huku wakiwa na kikosi chote wakijipanga kupangua hujuma za wapinzani...
NIYONZIMA NA YANGA MPAKA MAKUNDI CAF
Aliyekuwa kiungo wa Simba SC na Young Africans, Haruna Niyonzima ameutazama moto wa Young Africans mpya chini ya Muargentina, Miguel Gamondi na kutamka kuwa...