Staff Desk
SIMBA YANASA FAILI LA WAARABU……. GAMONDI NOMA, AMTAKA MMOJA YANGA, ASEMA...
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
ROBERTINHO: AHLY INAKUFA DAR……. GAMONDI AIANDAA YANGA YA REKODI AFRIKA
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
INJIANIA HERSI AFUNGUKA YAJAYO ATAJA KUKOSA NGAO YA JAMII
RAIS wa Yanga, Injinia Hersi Said, ameweka wazi kuwa, kukosa taji la Ngao ya Jamii sio mwisho wa mapambano, hivyo nguvu kubwa inawekezwa kwenye...
SIMBA KATIKA MDOMO WA WAMBA OKTABA 20
Ratiba ya michuano hiyo imepangwa Septemba 2, 2023 ambapo Simba inatarajiwa kuanza kwa kuikaribisha Al Ahly ya Misri, mchezo wa kwanza ukitarajiwa kuchezwa Oktoba...
BEKI KISIKI WA SIMBA APIGWA STOP KONGO
Beki kisiki wa Simba, Henock Inonga ameshusha presha ya vigogo na mashabiki wa timu hiyo baada ya kupona majeraha na kuungana moja kwa moja...
YANGA WAONA ISIWE TABU WAMALIZANA KIMYAKIMYA NA BIGIRIMANA
Ofisa Habari wa Yanga, Ally Kamwe amesema kuwa Yanga itamlipa kwa awamu aliyekuwa kiungo wao Gael Bigirimana raia wa Burundi.
Kulikuwa na mvutano kati ya...
GAMONDI,AUCHO WAFUNGUKA MAKALI YA YANGA
Wakati Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi akitamba kwa sasa mchezaji yoyote kwenye kikosi chake anaweza kufunga mabao, timu hiyo inaonyesha makali zaidi katika...
SIRI YA AZIZ KI KUIKACHA SIMBA, NA KUJIUNGA NA YANGA YAWEKWA...
Mama mzani wa kiungo wa Yanga, Stephane Aziz Ki raia wa Burkina Faso amefunguka kuwa vilabu viwili Tanzania ambavyo ni Simba na Yanga vilikuwa...
TRY AGAIN AFUNGUKA HAYA KUHUSU UFUNGUZI WA SUPER LEAGUE
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba SC, Salim Abdallah Try Again’ ametamba sababu ya ufunguzi wa michuano ya Ligi ya Afrika unafanyika Tanzania...
YANGA WAITAKA REKODI HII MPYA AFRIKA
Wakiwa wanajiandaa na mchezo wa Mzunguuko wa Pili wa Ligi ya Mabingwa Barani Afrika dhidi ya Mabingwa wa Soka nchini Sudan Al Merrikh, Rais...