Staff Desk
GAMONDI: MMEIONA YANGA NINAYOITAKA….. ROBERTINHO: HATUIHOFII POWER DYNAMO
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
ROBERTINHO APIGA HESABU SIKU HIZI HAPA 16
Kocha Mkuu wa Simba, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ amefichua kwamba, amepanga kuzitumia siku 16 za mapumziko ya Ligi Kuu Bara kukijenga upya kikosi chake ili...
JKT SIO KINYONGE MBELE YA YANGA JAPO USHINDANI NI MKALI
Kikosi cha JKT Tanzania kinaendelea na mazoezi kujiwinda na mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Yanga utakaopigwa keshokutwa, huku kocha mkuu wa timu hiyo,...
INONGA ALISTAHILI JAMBO HILI
Henock Inonga Baka anaweza kuwa mchezaji ambae alihitaji zaidi mafanikio ya pamoja pale Simba hasa kwa namna ambavyo amekuwa akisifika kwenye nafasi yake dhidi...
HII SIMBA INABALAA ZITO LIGI KUU MSIMU HUU
Ni mchezaji mmoja tu aliyeasisti mara mara mbili ambaye ni beki mpya wa Azam, Cheikh Sidibe aliyefanya hivyo kwenye mechi dhidi ya Kitayosce, huku...
KIUNGO WA YANGA ATIMKIA GOR MAHIA
Kiungo mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Yanga Patrick Sibomana amekamilisha usajili wake ndani ya klabu ya Gor Mahia ya Kenya.
Kiungo mshambuliaji wa zamani...
ROBERTINHO AFUNGUKA ULIPO UDHAIFU WA SIMBA
Kocha Mkuu wa Simba, Oliveira Roberto ‘Robertinho’ amekiri kikosi kina changamoto eneo la ulinzi na kipindi hiki cha mapumziko ameanza kuifanyia kazi ili timu...
GAMONDI ACHUKIZWA NA JAMBO HILI LA MAUYA KWENYE MCHEZO WA JANA
Kocha Mkuu wa Klabu ya Yanga, Miguel Gamondi raia wa Argentina ameonyesha kutofurahishwa na kitendo cha mchezaji wake Zawadi Mauya kusababisha penati iliyozaa bao...
WAPINZANI WAIPIGIA SALUTI YANGA…WAFUNGUKA HAYA
Klabu ya ASAS ya nchini Djibouti imeukubali mziki wa Yanga Sc baada ya kupokea kichapo cha bao 5-1 katika mchezo wa hatua ya kwanza...
KWA HILI GAMONDI KAZI ANAYO HUKO YANGA
Hakuna kitu kizuri kama kuiangalia Yanga ya Gamondi ikicheza, kama unadaiwa kodi, una njaa, una uchovu ama unaumwa homa ndogondogo basi ni dawa inayotibu...