Staff Desk
YANGA KINYONGE WAIACHA NGAO YA JAMII NYUMA
Yanga SC imeanza safari kurejea jijini Dar es Salaam ikitokea Tanga kujiandaa na mechi zinazofuata wakianza na KMC Ligi Kuu Agosti 23 katika Uwanja...
MASTAA HAWA WAANZA KAZI RASMI YANGA
Wachezaji wapya wa Yanga, Pacome Zouzoua raia wa Ivory Coast na Hafiz Konkoni kutoka Ghana, jana walianza kazi rasmi ndani ya kikosi hicho.
Pacome ambaye...
GAMONDI AWAANGUKIA MASHABIKI WA YANGA
Kocha Mkuu wa Klabu ya Yanga, Miguel Gamondi amewaomba radhi mashabiki na wanachama wa klabu hiyo kwa kushindwa kutwaa Ngao ya Jamii baada ya...
HESHIMA IMERUDI,ALLY SALIM AWA SHUJAA, BALEKE AIZIMA YANGA, MAXI, YAO...
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
SIO SIMBA, SIO YANGA MAKOCHA HALI TETE NGAO YA JAMII
WAKATI joto la fainali ya Ngao ya Jamii kati ya Yanga na Simba Agosti 13 likizidi kupanda, makocha wa timu hizo wametambiana kila moja...
DAUDA AICHAMBUA YANGA YA GAMONDI, ASEMA HAYA KUHUSU DABI
Timu zote zimetoka kucheza mechi za Nusu Fainali na kufanikiwa kufuzu kucheza Fainali, kuuendea mchezo wa Fainali ya watani wa Kariakoo itakuwa tofauti na...
KWA RATIBA HII SASA YANGA WASHINDWE WENYEWE
YANGA ishindwe yenyewe tu kwa namna neema ilivyoiangukia mapema kabla ya msimu mpya wa Ligi Kuu Bara na michuano ya CAF haijaanza kutokana na...
ISHU YA SINGIDA KUSHIRIKIANA NA YANGA KUIMALIZA SIMBA IKO HIVI
Klabu ya Singida Fountain Gate imetolea ufafanuzi taarifa zilizosambaa mitandaoni kuwa inshirikiana na Klabu ya Yanga kuelekea fainali ya Ngao ya Jamii leo kati...
GAMONDI AWAFANYIA SIMBA UMAFIA KIMYA KIMYA
WAKATI Simba ikipambana dhidi ya Singida Fountain Gate jukwaani kulikuwa na ugeni wa watu wanne wakiwasoma ambao uwepo wao hapo hauna habari njema kwa...
SIMBA, YANGA VICHEKO TU KABLA YA KARIAKOO DABI
KABLA ya mchezo wa Kariakoo Dabi itakayopigwa jijini hapa vikosi vyote viwili vimepokea taarifa njema ambazo zitawafanya watabasamu kwa kuongeza kitu kwao.
Tuanze na Simba...