Staff Desk
TAMASHA LA SIMBA LAILETA TIMU HII BONGO
KUELEKEA Kilele cha siku ya tamasha la Simba inafanyika leo, kikosi cha Wekundu wa Msimbazi wanashuka dimbani kuwakaribisha Power Dynamos ya Zambia, ikiwa mchezo...
GAMONDI AFICHUA SIRI YA KUCHEZA MECHI ZA KIRAFIKI ZA NDANI
KOCHA mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amefichukua licha ya kucheza michezo ya ndani ya kirafiki lakini bado hajapata muunganiko mzuri kwa wachezaji wake akiwemo...
MERIDIAN BET INAKUREJEAHEA 15% UKICHEZA VIRTUAL
Wewe ni mtu unayependa kucheza michezo ya Virtual? Na je kama hujawahi kucheza unataka kucheza. Basi Meridianbet inakurejeshea 15% ukicheza michezo ya Virtual ambayo...
UONGOZI WA SIMBA WAFUNGUKA KUHUSU SAMIA KUWA MGENI RASMI ISHU IKO...
UONGOZI wa Simba umeeleza sababu ya kumualika Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Samia Suluhu Hassan kuwa mgeni rasmi ni kwa sababu...
ROBERTINHO AFUNGUKA KUHUSU SIMBA ALIYEITENGENEZA ISHU IKO HIVI KWENYE MATAJI
Kocha Mkuu, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ amefurahi ubora wa kikosi tulichonacho kuelekea msimu mpya wa mashindano 2023/24 huku akiweka wazi malengo yetu ni kuchukua mataji...
NGAO YA JAMII KUONYESHA MBIVU NA MBICHI, SIO SIMBA SIO YANGA……...
MECHI ya Ngao ya Jamii ni kiashiria cha kuanza kwa msimu mpya wa Ligi Kuu katika mataifa mengi huku Tanzania ikiwa ni miongoni mwao.
Msimu...
BALEKE AANZA KUANDALIWA MAZINGIRA YA UFUNGAJI BORA, KRAMO ATAJWA
KIUNGO mpya wa Simba, Aubin Kramo raia wa Ivory Coast, amesema malengo yake ni kuona timu inafanikiwa zaidi kuliko mafanikio binafsi, hivyo atahakikisha anawatengenezea...
DAKTARI WA VIUNGO YANGA AKOMAA NA MAXI ISHU IKO HIVI
KATIKA kuhakikisha anakuwa bora na fiti zaidi, Kocha na Daktari wa Viungo wa Yanga, Mtunisia Youssef Ammar amepewa jukumu ya kumfanyisha programu ya binafsi...
GAMONDI AWATULIZA MASHABIKI YANGA,…… UBINGWA UNABAKIA JANGWA MAMBO HADHARANI
HUKU kikosi chake kikiendelea na maandalizi ya kabla ya msimu ‘pre season’ kwenye kambi yao ya AVIC Town Kigamboni, Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel...
GAMONDI AWAFANYIA UMAFIA MASHABIKI WA YANGA, ISHU IKO HIVI
KAMA ulitarajia kuiona Yanga popote kabla msimu haujaanza, umeumia. Kocha Miguel Gamondi amefuta uwezekano wa kuwepo kwa mechi yoyote ya kirafiki kubwa ambayo itahusisha...