Staff Desk
SIMBA WATAMBA KUTANGAZA UBINGWA KABLA YA MECHI TANO, VIGOGO WATEMA CHECHE
SALIM Abdallah ‘Try Again’ ambaye ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba amewaambia mashabiki wa Simba kuwa wajiandae kufurahia msimu ujao kwa kuanzia...
AZIZI KI NDO BASI TENA YANGA, MWAMBA HUYU HAPA KACHUKUA NAMBA...
RASMI Kocha Mkuu wa Yanga Muargentina, Miguel Gamondi atamtumia Mkongomani Maxi Mpia Zengeli kucheza namba 10 na siyo winga tena katika kuelekea msimu ujao.
Mkongomani...
SIMBA WANATAKA HESHIMA MSIMU 2023/24 TRY AGAIN AFUNGUKA
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba SC Salim Abdallah ‘Try Again’ amewaambia Mashabiki na Wanachama kuwa wajiandae kufurahia msimu ujao kwa kuanzia ‘Simba...
BANGALA SASA KUKIPIGA DHIDI YA YANGA AGOUST 9, CHEKI AKIJIFUA KAMBINI...
KIUNGO wa Kimataifa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Yanick Litombo Bangala Jana ameanza mazoezi katika klabi yake mpya, Azam FC Uwanja wa...
ALIKIBA ATUPA JIWE GIZANI BAADA YA KUHAMIA SIMBA, ASEMA HAYA KUHUSU...
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Alikiba amejiunga rasmi kuwa shabiki wa klabu ya Simba na kukabidhiwa kadi na Mtendaji Mkuu wa klabu hiyo,...
ROBERTINHO ATAJA SABABU 10 SIMBA BINGWA, GAMONDI AMFICHA MAXI DAR, SAMBA...
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
STRAIKA MPYA YANGA ATUMA UJUMBE MZITO SIMBA,AMTAJA MAYELE AJIPA KAZI MAALUM
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
MASTAA HAWA WABEBESHWA MZIGO SIO POA HAPO YANGA, MAYELE AHUSISHWA
ALIYEKUWA mshambuliaji wa Yanga, Mkongomani, Fiston Mayele, amesema anaamini usajili uliofanywa na timu hiyo, unatosha kabisa kutetea makombe yote ya ndani katika msimu ujao...
VIDEO, MANULA AANZA MAZOEZI MEPESI GYM, TAZAMA VIDEO HAPA
Kipa namba moja wa Simba SC, Aishi Manula, ameendelea na mazoezi ya gym baada ya kuwa majeruhi kwa zaidi ya miezi minne sasa.
Kupitia ukurasa...
MAPYA YAIBUKA ROBERTINHO AFUNGUKA MAZITO BAADA YA KUTUA DAR WAKITIKEA UTURUKI,...
BAADA ya kikosi cha Simba SC kurejea wakitokea Uturuki, Kocha Mkuu wa Simba, Roberto Oliviera (Robertinho) ameweka wazi atakuwa na wakati mgumu kupanga kikosi...