Home Authors Posts by Staff Desk

Staff Desk

1810 POSTS 0 COMMENTS

ROBERTINHO AFUNGUKA MBINU ALIZOWAPA WACHEZAJI WA SIMBA

0
KOCHA Mkuu wa Simba, Mbrazili, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ amefurahishwa na wachezaji wake wapya waliowasajili kikosini hapo akiwemo Luis Miquissone akibainisha kwamba, wamefiti haraka katika...

MAYELE AFUNGUKA MAZITO BAADA YA KUONDOKA YANGA

0
Aliyekuwa Mshambuliaji kinara wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans, Fiston Kalala Mayele amesema anaamini siku moja atarudi tena kuitumikia timu hiyo kutokana...

MAYELE AWAACHIA MSALA MZITO MAXI, SKUDU YANGA

0
ALIYEKUWA mshambuliaji wa Yanga, Mkongomani, Fiston Mayele, amesema anaamini usajili uliofanywa na timu hiyo, unatosha kabisa kutetea makombe yote ya ndani katika msimu ujao...

KIBEGI CHA SIMBA CHAINGIZA KIASI HIKI CHA PESA

0
Klabu ya Simba imefanya mnada wa KIBEGI kilichokwea kileleni mlima Kilimanjaro pamoja na jezi zilizokuwa na majina ya Viongozi ambao ni Rais Dkt. Samia...

SABABU ZA SIMBA KUACHANA NA KIPA WAO MBRAZILI ZAWEKWA WAZI

0
BENCHI la ufundi la Simba lilitarajiwa kukutana usiku wa jana mara baada ya mechi ya mwisho iliyopigwa jioni dhidi ya Batman Petrolspor A.S ili...

DIARRA YANGA MAMBO YAZIDI KUNOGA, ALAMBA DILI HILI LA KIBABE

0
KIPA wa Yanga Djigui Diarra ametakiwa kupunguza kujiamini zaidi awapo langoni jambo linaloweza kumtoa mchezoni na kujikuta akiisababishia timu yake matatizo. Diarra kipa bora msimu...

MANGUNGU TUPA DONGO JANWANI, KUHUSU SIMBA DAY, NA WIKI YA WANANCHI,...

0
Heee!! Mmesikia huko? Eti kuna timu imeiga tamasha la Simba Day? Mbona Mwenyekiti wa Simba Murtaza Mangungu amesema kuwa watu wameiga kwao wakatoa neno...

SIMBA YAJA NA JAMBO HILI JIPYA SIMBA DAY, SERIKALI YAHUSISHWA

0
SIMBA wamekuja na jambo jipya bwana, wameandika barua serikalini kuomba pia watumia Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam katika tamasha lao la Simba Day...

YANGA WAFUNGUKA UWEPO WA GAEL BIGIRIMANA KAMBINI

0
Uongozi wa Yanga umeelezea sababu ya aliyekuwa nyota wao Gael Bigirimana kuonekana kambini Avic Town ni kusalimiana na wenzake. Akizungumzia ishu hiyo leo Agosti Mosi,...

BANGALA AWATIMUA MASTAA WA AZAM, MUDA MFUPI AKITOKEA YANGA

0
"BANGALA karibu Mbagala," ndivyo lilivyosomeka chapisho la Azam FC kwenye ukurasa wake wa Instagram lilitangaza ujio wa kiraka Yannick Bangala kutoka Yanga SC. Bangala amesaini...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS