Staff Desk
SIMBA WATAMBA KUHUSU USAJILI WAO MPYA, CHAMA, NGOMA WAHUSISHWA
WAKATI Clatous Chama na Fabrice Ngoma wakiinogesha kambi ya mazoezi ya Simba iliyopo Uturuki baada ya mastaa hao kutimba juzi wakitokea Dar es Salaam,...
MUSONDA APELEKA SHANGWE JANGWANI, ATHIBITISHA KUWA YEYE NI MWAMBA
KILELE cha 'Wiki ya Mwananchi' kimehitimishwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa wenyeji Yanga kushinda bao 1-0 dhidi ya Kaizer Chiefs kutoka nchini Afrika...
MRITHI WA MKUDE SIMBA SC, ATUPA JIWE GIZANI AKIWALENGA YANAGA
Kiungo Mkabaji mpya wa Simba SC, Abdallah Hamis ameshukuru mapokezi makubwa aliyoyapata ndani ya timu hiyo, huku akiahdi kubeba mataji yote watakayoshindania katika msimu...
HIKI HAPA KIKOSI KIPYA CHA YANGA MSIMU WA 2023/2024
NYOTA watatu kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), beki Djuma Shabani, kiungo Yanick Bangala na Fiston Kalala Mayele historia yao imefungwa Yanga baada...
MSHAHARA WA LUIS MIQUISSONE HAPO SIMBA NI KUFURU
WAKATI kundi la mwisho la wachezaji wa Simba likijianda kupaa jana kwenda kambini Ankara, Uturuki, winga anayerejeshwa Msimbazi kutoka Al Ahly ya Misri, Luis...
MAMA NTILIE TEMEKE WANEEMEKA NA MERIDIAN BET
Kutoa na kurudisha kwenye jamii yake hii ndio imekua utamaduni wa kampuni ya Merdianbet ambapo leo wameendeleza utamaduni baada ya kufika eneo la Temeke...
LUIS MIQUISSONE NI MNYAMA RASMI, ISHU YAKE NA AL AHLY IMEZIMWA...
RASMI Luis Miquissone ametambulishwa ndani ya kikosi cha Simba ambacho kimeweka kambi Uturuki kwa ajili ya msimu mpya wa 2023/24.
Nyota huyo ni chaguo la...
SIMBA, YANGA HAWATAKI UTANI KWA MASHABIKI WAO
KLABU za Simba na Yanga hivi karibuni zimeingia makubaliano maalumu na Benki ya NMB kwa ajili ya kusajili wanachama na mashabiki wa klabu hizo...
RUNGU LA YANGA LATUA KWA BANGALA
Rasmi Kiungo Mkabaji kutoka DR Congo, Yannick Bangala huenda asiwepo katika kikosi cha Young Africans cha msimu ujao hiyo ni mara baada ya jezi...