Staff Desk
SIMBA HAWATAKI UTANI KABISA, WENGINE WATATU WATAMBULISHWA SIO POA
MTU tatu kwa mpigo zimetambulishwa ndani ya Simba rasmi baada ya kusaini dili jipya kuwa kwenye familia ya Msimbazi.
Ni Julai 20 watatu wametangazwa kwa...
ACHANA NA SHABAN CHILUNDA MWAMBA MWINGINE HUYU HAPA KATUA MSIMBAZI
KLABU ya Simba imetangaza kukamilisha usajili wa Kiungo Abdallah Hamisi kwa kandarasi ya miaka miwili.
Nyota huyo wa zamani wa timu za Muhoroni Youth Fc,...
KWELI MAISHA YANAENDA KASI SANA MKUDE AINGIA KATIKA ORODHA HII
MAISHA yanaenda kasi sana. Ebu fikiria kabla ya Juni 9 Ligi Kuu Bara ya msimu uliopita kufikia tamati, Jonas Mkude alikuwa staa wa Simba....
HUYU MAXI ANABALAA, VISIGINO VYANOGA MAZOEZINI VYA SKUDU
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
TRY AGAIN ATAMBA KUMSAJILI STRAIKA WA UHISAPANIA SIMBA HII SIO POA
Mchezaji wa zamani wa CD Tenerife ya nchini Hispania, Shaban Chilunda
SIMBA wamefikia makubaliano ya kumsajili mshambuliaji wa zamani wa CD Tenerife ya nchini Hispania,...
ALLY KAMWE ATAMBA, UONGOZI NAO WAWATAJA WAPINZANI
UONGOZI wa Yanga, umebainisha kuwa, wapinzani watachagua mabao mangapi wafungwe watakapokutana kuanzia msimu wa 2023/24 kutokana na ubora walionao.
Ni Avic Town, Kigamboni, Dar, hapo...
SLOTI YA WANYAMA KUSHINDA NI RAHISI SANA JARIBU SASA
Sloti ya Orango Tango kutoka kwa watengenezaji Spearhead inayohusu wanyama huku tumbili ndiye kinara wa mchezo huu unakupa nafasi ya kufurahia na kukupa mtonyo....
MALONE AFUNGUKA KILA KITU KUHUSU YEYE KUTUA SIMBA
MLINZI mpya wa Klabu ya Simba Che Malone Fondoh amesema aliamua kujiunga na timu hiyo ili kuonesha daraja alilo nalo anapokuwa dimbani.
Che Malone amesema...
BAADA YA YANGA KUMCHUKUA MKUDE, SIMBA YAMLETA MBADALA WAKE
Baada ya kuachana na kiungo, Jonas Mkude aliyeitumikia Simba SC kwa miaka 13, Wanamsimbazi wamemalizana na kiungo Mtanzania, Hamis Abdallah anayekipiga nchini Kenya.
Simba SC...