Staff Desk
WINGA MPYA WA YANGA KUTUA NCHINI, BAADA YA TETESI ZA MUDA...
Fujo za usajili zinaendelea kwa ajili ya msimu ujao ni baada ya Yanga kumtumia tiketi ya Ndege, winga wa Klabu ya AS Maniema Union...
YANGA WATAMBA DIRISHA LA USAJILI…. UONGOZI WAFUNGUKA KILICHOBAKIA KWASASA
Uongozi wa Young Africans umesitiza juu ya kumalizana na wachezaji wote ambao walikuwa wakiwahitaji, huku wakiweka wazi kuwa hakuna mchezaji mwingine yeyote ambaye walikuwa...
HESHIMA INARUDI! ONANA ACHIMA MKWARA MZITO, ALIYE MPINDUA ONYANGO NAYE NDANI
Habari mwanamichezo mwenzangu ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo leo jumamosi julai 8 2023
BAADA YA VUGUVUGU LA KUACHWA WACHEZAJI WENGI… WAKALA WA JEAN BALEKE...
Mukandila ni mmiliki wa Kampuni ya uwakala ya Bro Soccer Management inayowasimamia wachezaji 20 na Kocha mmoja.
Yeye na Martin Lubula ndio wako nyuma ya...
YANGA IMERUDI KWA KAZE, YAMPA OFA HIZI HAPA MBILI SIO POA
Klabu ya Yanga imerudi tena kwa kocha wao msaidizi, Mrundi, Cedric Kaze na kumpa ofa mbili, kati ya hizo achague moja itakayomrejesha na kumpa...
SIMBA, YANGA WAWEKA WAZI MALENGO YA USAJILI WAO DIRISHA KUBWA LA...
Dirisha la usajili kwa klabu za ligi kuu ya NBC (NBCPL), ligi daraja la kwanza (Championship) na ligi kuu wanawake (SLWPL) limefunguliwa kuanzia Julai...
KIVUMBI LEO TWIGA STARS KUKIWASHA DHIDI YA CRESTED CRANES
Timu ya Taifa ya Wanawake “Twiga Stars” leo inashuka dimbani katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa kuikabili timu ya taifa ya wanawake Uganda “Crested...
SINGIDA FOUNTAIN GATE YABADILI GIA ANGANI
KLABU ya Singida Fountain Gate imefanya mabadiliko ya kambi yake ya mazoezi kujiandaa na msimu mpya wa mashindano.
Awali klabu hiyo ilipanga kuweka kambi Tunisia.
“Tunapenda...
KWA TAARIFA YAKO SIMBA WAMESHAMPA THAN YOU KIYOMBO….MUDA WOWOTE ANATUA KATIKA...
Klabu ya Simba tayari imeshampa "THANK YOU" Mshambuliaji wake raia wa Tanzania Habibu Kiyombo na kilichobaki ni kumtangaza tu.
Habibu alifanya vizuri 2021-22 akiwa na...
SIMBA WAMALIZA KILA KITU BONGO KABLA YA KUELEKEA UTURUKI
Simba tayari imeanza kutambulisha nyota wapya wa kikosi kipya cha msimu ujao ikiwa imepania kufanya vizuri zaidi na sasa imeita vifaa vyote vya zamani...