Home Authors Posts by Staff Desk

Staff Desk

1810 POSTS 0 COMMENTS

HIVI NDIVYO YANGA NA RAIS SAMIA WALIVYOAMSHWA SHANGWE LA ‘KUFA MTU’...

0
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Samia Suluhu Hassan akiwa na mwenyeji wake Rais wa Malawi Dk Lazarus McCarthy Chakwera, wamekutana na...

ISHU YA MAYELE KUONDOKA AU KUBAKIA YANGA IKO HIVI…AGOMEA MSHAHARA WA...

0
Licha ya kufanya siri kubwa, habari za chini ya kapeti ni kuwa vigogo wa Yanga juzi usiku walikuwa na kikao kizito na Fiston Mayele...

JAMBO LA YANGA KUWEKA KAMBI DUBAI LABUMA….SASA KUWEKA KAMBI HAPA

0
Klabu ya Yanga imeamua kuendelea kukomaa kufanya maandalizi ya msimu ujao hapa hapa nchini badala ya kwenda nje ya nchi kama ilivyo kwa timu...

KUHUSU KUWEKA KAMBI YAO UTURUKI…SIMBA WAIBUKA NA HILI JIPYA…

0
Kikosi cha Simba SC kinatarajiwa kucheza michezo mitatu ya kirafiki ya Kimataifa ya kujipima nguvu nchini Uturuki, kujiandaa na msimu ujao wa Ligi Kuu...

WAKATI YANGA WAKIALIKWA MALAWI…BURUNDI WAIPA SHAVU NAMUNGO…

0
Namungo FC imepata mwaliko kutoka Shirikisho la Soka la Burundi (FFB), kwa ajili ya kwenda kucheza mchezo maalum wa kirafiki wa kimataifa mwishoni mwa...

ENG, HERSI SAID AFUNGUKA SABABU HIZI ZA KIBABANGE KUTUA YANGA

0
Rais wa Klabu ya Yanga, Eng. Hersi Said amesema kuwa sababu kubwa ya kumsajili beki Nickson Kibabage ni kutengeneza wigo wa kuwa na wachezaji...

RAISI WA YANGA AFUNGUKA HAYA KUHUSU USAJILI WA MSIMU HUU

0
Rais wa Klabu ya Yanga, Eng. Hersi Said amesema kuwa watafanya usajili mdogo msimu huu kwa ajili tu ya kuboresha kikosi chao kuelekea msimu...

SIMBA SC IMEPANIA KURUDISHA UFALME WAKE BAADA YA KUKOSA MATAJI…. LEO...

0
Baada ya kumtambulisha Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Cameroon Leandre Willy Essomba Onana leo Jumatano (Julai 05) kupitia vyanzo vya habari vya Klabu ya Simba,...

TETESI ZA USAJILI ULAYA:- BARCA WAMALIZANA NA INIGO…..

0
MABINGWA wa Hispania klabu ya Barcelona ‘La Blaugrana’ imethibitisha kwamba Inigo Martinez atajiunga na timu hiyo kwa uhamisho huru akitokea Athletic Club. Kwa muda mrefu...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS