Home Authors Posts by Staff Desk

Staff Desk

1810 POSTS 0 COMMENTS

SIMBA vs WYDAD NI KISASI NA HESHIMA MASTAA WATOA TAMKO

0
Mashabiki wa Simba, wanasikilizia chama lao likishuka uwanjani usiku wa leo kwa mara ya pili chini ya kocha mkuu Abdelhak Benchikha ugenini dhidi ya...

SIMBA, YANGA MMBO YAMESHAANZA TENA HUKO WPL

0
Kumekucha Ligi Kuu ya Wanawake (WPL), wakati mechi za Ngao ya Jamii zikipigwa leo, huku vigogo Simba Queens, Yanga Princess, JKT Queens na Fountain...

KWA HAYA YANAYOENDELEA AZAM FC MNAPIGA HESABU VEMA LAKINI?

0
Ukichungulia msimamo wa Ligi Kuu kwa sasa pale kileleni utawakuta Matajiri wa Dar es Salaam, Azam FC wakiwa wamepoa na alama zao 25, baada...

HALI MBAYA YA MAHUJAA FC YAMBAGIHA MANYANGA BARESI

0
Mashujaa imecheza mechi nane mfululizo bila kupata ushindi katika Ligi Kuu Bara, kitu kimemfanya Kocha Mkuu wa timu hiyo, Abdallah Mohamed 'Baresi' kuamua kubwaga...

KUMBE ISHU YA KIPRE KUTIMKIA SIMBA SC IKO HIVI….. AZAM WAFUNGUKA...

0
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Azam, Zakaria Thabiti maarufu kama Zakazakazi amefunguka kuhusu tetesi za klabu ya Simba kumtaka winga wao,...

SIMBA WASHINDWE WENYEWE

0
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo

WAARABU HAWATAAMINI…SIMBA YAIFANYIA UMAFIA MZITO WYDAD…..MZIMBABWE ATUMIKA KUMALIZA MCHEZO

0
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo

KOCHA WYDAD AWAANGALIA MASHABIKI WAO KISHA AKAWAPA HABARI HII…. HIKI NDICHO...

0
Kocha Mkuu wa Wydad Casablanca, Adil Ramzi amesema kwa sasa huruma pekee watakayo ipata Kwa mashabiki wao ni kushinda Kila mchezo uliopo mbele yao. Wydad...

HII ROBO FAINALI SIMBA, YANGA BADO KITENDAWILI

0
Michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, hatua ya makundi inaendelea kwa kuingia raundi ya tatu wikiendi hii, leo kukiwa na mechi tatu ikiwamo ya...

MASHUJAA MAMBO SIO MAMBO…. HUKU IHEFU NAO WAFUFUKA KIMASIHARA

0
Klabu ya Ihefu imefufua matumaini katika Ligi Kuu Bara baada ya jioni ya leo kui-buka na ushindi wa mabao 2-1, dhidi ya Tabora United...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS