Home Authors Posts by Staff Desk

Staff Desk

1810 POSTS 0 COMMENTS

SIMBA NA MZIMU WA SARE ULIOKITA MIZIZI MSIMBAZI

0
Mzimu wa sare umeendelea kuiandama Simba baada ya jana Jumamosi (Desemba 2, 2023) kushindwa kutamba katika mchezo wa pili wa hatua ya makundi ya...

YANGA SC YAJITAFUTA YAIBANA AL AHLY DAR…..PACOME MTU SANA

0
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo

YANGA SIMBA HAKUNA KUZUBAA KIMATAIFA

0
Simba na Yanga zinapaswa kupambana hadi tone la mwisho la damu leo katika mechi zao za raundi ya pili ya hatua ya makundi ya...

UNAAMBIWA YANGA WAMESHASAHAU MATOKEO YA ALGERIA

0
Nahodha wa Yanga, Bakar Mwamnyeto amesema wamesahau matokeo ya Algeria na leo ni kazi moja tu kuhakikisha timu hiyo inapata ushindi. “Sisi kama wachezaji tumejipanga...

SIMBA YANGA VICHEKO TU

0
Saa kumi juu ya alama Simba itakuwa kwenye kwenye Uwanja wa Obed Itani Chilume, Botswana kuikabili Jwaneng Galaxy mechi ya Kundi B. Awali ilikuwa...

HII HAPA NDIO NAFASI YA SIMBA,YANGA CAFCL

0
Klabu za Tanzania leo zitaendelea kusaka nafasi ya kukaa sehemu nzuri kwenye makundi yao kwa kucheza mechi za pili ya Ligi ya Mabingwa Ulaya. Simba...

KAPTEN MSAIDIZI SIMBA ATOA KAULI KISHUJAA HUKO BOTSWANA

0
Kapteni Msaidizi wa Simba SC, Mohamed Hussein 'Tshabalala' ameahidi kuondoka na alama zote tatu leo katika mchezo wao dhidi ya Jwaneng Galaxy nchini Botswana. Akizungumzia...

KUMBE KWENYE KUNDI ZIMA YANGA NDIO KIBONDE

0
Mchambuzi nguli wa masuala ya Soka Alex Ngereza kutoka TV3 amesema kuwa Klabu ya Yanga ndiyo wanaonekana vibonde kwenye kundi lao la michuano ya...

MABOSI YANGA WATUMIA JEURI YA PESA KUIANGUSHA AL AHLY

0
Kamati ya Mashindano ya Klabu ya Young Africans imeweka mpango mkakati wa kuipeleka klabu hiyo Hatua ya Robo Fainali, Ligi ya Mabingwa Barani Afrika,...

HAPA NAPO PANAHITAJI AKIBA YA MANENO

0
Wikiendi hii Ligi ya Championship inaingia katika raundi ya 13 ambapo zitabakia raundi mbili tu ili nusu ya kwanza imalizike na baada ya hapo...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS