Home Authors Posts by Staff Desk

Staff Desk

1810 POSTS 0 COMMENTS

AZIZ KI AMUIBUA KOCHA MFARANSA

0
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo

BALEKE ATAMBA KWENYE ANGA ZA WABABE HAWA WA YANGA

0
Mshambuliaji wa Simba SC, Jean Baleke amefunga goli lake la 7 katika msimu huu wa Ligi Kuu ya NBC katika mechi dhidi ya Namungo...

COASTAL UNION WAMTANGAZA MRITHI WA ZAHERA

0
Klabu ya Coastal Union inayoshiriki Ligi kuu kandanda Tanzania Bara leo imemtangaza kocha wa zamani wa klabu ya sofapaka raia wa Kenya David Ouma...

UHONDO WA MPUNGA WA EUROPA UPO MERIDIAN BET

0
Baada ya kushuhudia mbilinge mbilinge za Ligi ya Mabingwa Ulaya, sasa uhondo unahamia Ligi ya Europa ambapo leo hii viwanja mbalimbali kutimua vumbi huku...

GAMONDI AFUNGUKA HALI WALIOPITIA KWA COASTAL UNION NI BALAA

0
KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel GamondiĀ  ameweka wazi kuwa mechi dhidi ya Coastal Union ilikuwa ngumu tofauti na alivyokuwa akifikiria, lakini amefurahi kwa ushindi...

SINGIDA FG HALI SIO SHWARI LIGI KUU

0
Kocha Msaidizi wa Singida Fountain Gate, Thabo Senong amesemna Ligi Kuu Tanzania Bara bado ni ngumu na haitabiriki kwa sababu kila timu inakuja tofauti...

HUKO YANGA UNAAMBIWA UBABE UBABE TU

0
Vinara wa Ligi Kuu Tanzania Bara Timu ya Yanga imeendelea kujikita kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu ya NBC kwa kufikisha alama 24 baada...

KUMBE PACOME HAMNA KITU

0
Wakati Wananchi wakifunga wiki iliyopita kwa kishindo cha pekee baada ya kufanikiwa kuitandika Simba mabao 5-1 katika mchezo wa Dabi ya Kariakoo. Kiungo wa Yanga...

KAGERA SUGAR WAJA NA MKAKATI MPYA LIGI KUU

0
Baada ya ushindi wa mabao 2-1 ilioupata Kagera Sugar dhidi ya Tanzania Prisons, Kocha mkuu wa kikosi hicho, Mecky Maxime amesema wataendelea na mazoezi...

NDIO ZETU….. BARIDI YAONGEZEKA KILELENI…… DIARA AFUNGUKA ISHU YAKE NA CAF

0
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS