Home Authors Posts by Staff Desk

Staff Desk

1810 POSTS 0 COMMENTS

YANGA HAWATAKI UTANI HATA KIDOGO, WAAMUA KUPITA NA UPEPO

0
Mabosi ya Yanga wamerudi tena kwa mshambuliaji wa kimataifa wa Kitanzania, Simon Msuva wakitaka kufanya mpango wa kumsajili haraka kupitia dirisha dogo baada ya...

YANGA SIO KINYONGE MPAKA DODOMA …… TABORA UNITED WAJIPANGE, MASTAA HAWA...

0
Msafara wa kikosi cha Yanga SC, umewasili mapema leo asubuhi jijini Dodoma kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Tabora United. Mchezo...

MABOSI SIMBA WAMPA UHURU HUU BENCHIKHA

0
Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi Simba SC Salim Abdallah ‘Try Again’ ameweka wazi kuwa watahakikisha kuwa wanamuunga mkono Kocha mkuu wa kikosi chao Abdelakh...

CHAMA AWACHANA MASHABIKI WANAOMSEMA MITANDAONI

0
Disemba 21, 2023 Klabu ya Simba SC ilitoa taarifa ya kuwasimamisha wachezaji wake Clatous Chama na Nassor Kapama kwa makosa ya utovu wa Nidhamu. Mara...

KITAMBI FULL UBABE GEITA GOLD

0
Kocha Mpya wa Geita Gold, Denis Kitambi na msaidizi wake, Lucas Mlingwa wameanza vyema kibarua chao ndani ya timu hiyo baada ya kuiongoza leo...

MAMBO HADHRANI HIKI NDIO KILICHOMPONZA CHAMA

0
Kiungo mshambuliaji wa Simba SC, Clatous Chama na mwenzake Nassor Kapama wamesimamishwa na uongozi wa timu hiyo kwa sababu za utovu wa nidhamu, kwa...

KOCHA MAMELODI AMCHANA MAYELE KISA VISA

0
Kocha wa Mamelodi Sundowns, Rulani Mokwena amejibu tuhuma za mshambuliaji wa Pyramids FC, Fiston Mayele kuwa alinyimwa viza ya kuingilia Afrika Kusini wiki mbili...

SASA NI ZAMU YA MSUVA

0
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo

BENCHIKHA AWATULIZA WANASIMBA AFUNGUKA HAYA

0
Kocha Mkuu wa Simba, Abdelhak Benchikha amewatuliza wanachama na mashabiki wa klabu hiyo akisema nafasi ya kwenda robo fainali kutoka Kundi B la Ligi...

LIGI KUU SIO KITOTO TENA SIMBA,YANGA JUMAMOSI HII

0
Baada ya kukamilisha majukumu yao ya Kimataifa kwa ushindi mnono, wawakilishi wa nchi katika mashindano ya Klabu Bingwa, Simba SC na Yanga SC, wanarejea...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS