Home Authors Posts by Staff Desk

Staff Desk

1810 POSTS 0 COMMENTS

HIVI NDIVYO MZIMU WA NABI UNAVYOMTESA GAMONDI

0
Inawezekana mashabiki wa Yanga wanafurahi lakini hakuna mtu mwenye presh kubwa kama Gamondi kwa sababu mtangulizi wake kafanya vitu vikubwa ambavyo Gamondi anapambana...

BACCA SASA KUTOKA LIGI KUU MPAKA ULAYA

0
Kwa sasa hapa nchini Ibrahim Bacca ni miongoni mwa mabeki bora wa kati wa Ligi Kuu na hata ukiweka orodha ya mabeki watatu bora...

AHAMED ALLY ATAMBA AWAAMBIA MANENO HAYA MASHABIKI

0
Mpira wa miguu kilele chake huwa ni ushindi (kupata alama tatu au kwenye mashindano ni kufuzu hatua inayofuata), kwenye Ligi tumechukua alama tatu dhidi...

GAMONDI AFANYA MABADILIKO JUU KWA JUU

0
Kikosi cha Yanga kimerudi uwanjani kujifua baada ya kutoka kucheza mchezo mgumu wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Namungo iliyoamua kucheza nusu uwanja ili...

UONGOZI WA SIMBA AFUNGUKA KUHUSU AJALI YA CHE MALONE ISHU IKO...

1
Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally amethibitisha kuwa ni kweli beki wao Che Malone Fondo amepata ajali leo Septemba 25 alfajiri akiwa...

GAMONDI AGEUKA KIVURUGE KWA WAPINZANI

0
MIGUEL Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga, amevuruga ramani za wapinzani wake wanaofikiria mbinu yake ya kupata mabao itakuwa kwa washambuliaji pekee wanaonza kikosi cha...

BREAKING NEWS: BEKI WA SIMBA CHE MALONE AMEPATA AJALI

0
Mlinzi wa Simba SC, Che Fondon Malone ameripotiwa kupata ajali ya gari usiku wa kuamkia leo maeneo ya Shule ya Feza Mikocheni wakati akitokea...

SHINDA MKWANJA KUPITIA DABI YA LONDON KASKAZINI

0
Ee bwana ee Jumapili hii ni kivumbi na Jasho kwani kutakua na mbungi kali sana pale dimba la Emirates ambapo itakutanisha vilabu viwili ambavyo...

INONGA AIVURUGA SIMBA

0
Beki wa Simba SC, Henock Inonga ametoka hospitalini baada ya kujeruhiwa kwenye mchezo wa juzi Alhamis (Septemba 21) huku kocha wake akitikisa kichwa na...

MUDATHIR AWEKA SIRI ZA GAMONDI HADHARANI

0
KIUNGO wa Yanga, Mudathir Yahya amefichukua sababu kubwa iliyopelekea afunge bao pekee katika mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Namungo ni kutokana na...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS