MAPOKEZI YANGA MWANZA LEO OKTOBA 24 SI MCHEZO
KIKOSI cha Yanga leo Oktoba 24 kimewasili Mwanza ambapo kitakuwa na mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya KMC, kesho Oktoba 25.Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Kirumba saa 10:00 jioni kwa saa za Afrika Mashariki na kati.Wakati Yanga ikitia timu Mwanza, mashabiki wengi walijitokeza kuipokea timu ya Yanga wakiwa kwenye misafara ya bodaboda na magari.Yanga inavaana na KMC...
KOCHA KATWILA AIPIGA BONGE MOJA YA MKWARA NAMUNGO
BAADA ya kupoteza mchezo dhidi ya Azam FC kwa kufungwa mabao 2-0, Ihefu leo Jumamosi watakuwa wenyeji wa Namungo FC, Uwanja wa Sokoine. Huu unakuwa mchezo wa pili kwa kocha Zubeir Katwila kuiongoza timu hiyo ambayo imekuwa na matokeo mabaya kwenye ligi. Akizungumza na Championi Jumamosi, kocha huyo amesema wameyafanyia kazi makosa yaliyojitokeza kwenye mchezo dhidi ya Azam FC na anaamini...
AL AHLY YATINGA FAINALI LIGI YA MABINGWA AFRIKA
KIGOGO wa soka kutoka Morocco, Wydad Casablanca, amekubali kapigika nje-ndani kwenye mtanange wa nusu fainali ya ligi ya mabingwa Afrika dhidi ya bingwa wa kihistoria wa michuano hiyo National Al Ahly ya Misri. Akiwa nyumbani Wydad alifungwa mabao 2-0, juma lililopita na usiku wa jana Ahly akaonyesha umwamba akiwa kwenye uwanja wa nyumbani baada ya kushinda mabao 3-1.Mabao ya Al...
ASTON VILLA WAPATWA NA BAMFORD, WACHAPWA
ASTON Villa wakiwa nyumbani hawatamsahau mshambuliaji wa Klabu ya Leeds United, Patrick Bamford kwa kuwatungua hat-trick kwenye mchezo wa Ligi Kuu England wakati wakipoteza kwa kufungwa mabao 3-0.Kujiamini na uwezo wa Bamford uliiponza timu ya Aston Villa ambayo Mtanzania Mbwana Samatta aliweka rekodi ya kucheza hapo msimu uliopita kabla ya kutolewa kwa mkopo kuelekea nchini Uturuki.Mabao ya mshambuliaji huyo...
RUVU SHOOTING: WAO WANA PIRA BIRIANI SISI TUNA PIRA KAVUKAVU
MASAU Bwire, Ofisa Habari wa Klabu ya Ruvu Shooting amesema kuwa kikosi chao kipo tayari kwa ajili ya mchezo dhidi ya Simba utakaochezwa Oktoba 26, Uwanja wa Uhuru saa 10:00 jioni.Bwire amesema kuwa kwa kuwa Simba wanatamba na sera yao ya pira biriani wao wanakuja na pira kavukavu ndani ya uwanja na wana imani ya kupata pointi tatu jumlajumla.Akizungumza...
OKTOBA 26 SIMBA KAZINI TENA
KIKOSI cha Simba kina kibarua kingine tena Oktoba 26 kumenyana na timu ya Ruvu Shooting ambayo nayo ni mwendo wa kijeshi ndani ya uwanja kama ilivyo Tanzania Prisons.Simba wakiwa wametoka kuchezeshwa ligwaride na Tanzania Prisons Oktoba 22 Uwanja wa Nelson Mandela kwa kufungwa bao 1-0 wana kazi nyingine ya kufanya Uwanja wa Uhuru.Kocha Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroek amesema...
YANGA YAWASILI MWANZA, MMOJA KUWAKOSA KMC KESHO
KIKOSI cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Cedric Kaze raia wa Burundi leo Oktoba 23 kimewasili salama Mwanza, tayari kwa maandalizi ya mchezo wa wa Ligi Kuu Bara dhidi ya KMC FC.Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa kesho, Oktoba 25 Uwanja wa CCM Kirumba saa 10:00 jioni.Tayari wenyeji wa mchezo huo ambao ni KMC walishatia timu Mwanza wakitokea Dar, Oktoba 22.Meneja...
VITA YA UFUNGAJI BORA MAMBO NI MOTO, AZAM YAPACHIKA WAWILI,
KWENYE orodha ya wafungaji Bongo nyota wa timu ya Azam FC, Prince Dube ni kinara wa kutupia akiwa nayo mabao sita na ametoa jumla ya pasi nne za mwisho.Azam FC kwa sasa ikiwa imefunga mabao 14 yeye amehusika kwenye mabao 10 kwa kuwa amefunga mabao sita na kutoa pasi nne za mabao.Vita yake kwenye ufungaji ni dhidi ya mshambuliaji...
KOCHA YANGA: MUHIMU POINTI TATU MENGINE YATAFUATA
CEDRIC Kaze, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa kikubwa ambacho anakihitaji kuona kutoka kwa wachezaji wake ni kupata ushindi utakaowafanya wasepe na pointi tatu muhimu ndani ya uwanja.Mechi ya kwanza Kaze alikiongoza kikosi chake Oktoba 22 mbele ya Polisi Tanzania na alishinda bao 1-0 Uwanja wa Uhuru.Kwa sasa kikosi cha Yanga kitakuwa na mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumamosi