HIVI NDIVYO RATIBA ILIVYOFANYIWA MABADILIKO, HIZI HAPA ZITACHEZWA JUNI 27

0

BODI ya Ligi Kuu Tanzania Bara (TBLB) imefanya mabadiliko kwa ratiba za michezo iliyopangwa kufanyika Juni 30 na Julai Mosi za raundi ya 31 na kuzirudisha nyuma hadi Juni 27 na 28.Mechi hizo ni za Ligi Kuu Bara, Ligi Daraja la Kwanza na la Pili ambazo zimekuwa na mabadiliko kwa sasa.Kwa Ligi Kuu Bara itakuwa ni dhidi ya ya...

MUONEKANO WA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA

0

MUONEKANO wa ukurasa wa nyuma gazeti la CHAMPIONI Ijumaa

FEI TOTO NA MORRISON WAKINUKISHA, JUMAPILI YANGA NA KIBARUA KINGINE

0

KLABU ya Yanga imeanza kutesti mitambo yake kwanza kabla ya kukutaa na Mwadui FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara unatarajiwa kuchezwa Juni 13 Uwanja wa Kambarage.Mechi mazoezi ya kwanza, Yanga wameshinda kwa mabao 3-1 dhidi ya Transit Camp inayomilikiwa na Jeshi.Mechi hiyo ya kirafiki imechezwa kwenye Uwanja wa Chuo Cha Sheria jijini Dar es Salaam, jana.Mabao ya Yanga...

YANGA YASTUKA DILI LA MAKAMBO, NDANI YA CHAMPIONI IJUMAA

0

MUONEKANO wa ukurasa wa mbele Gazeti la CHAMPIONI Ijumaa,, lipo mtaani

WACHEZAJI WA CHELSEA KUWEKEWA MSOSI KWENYE GARI

0

KLABU ya Chelsea imepanga kuwapelekea chakula wachezaji wake ndani ya gari baada ya mazoezi ili kujenga miili yao kutokana na sheria ya kuzuia mijumuiko isiyo ya lazima kuendelea.Sheria hiyo ina lengo la kupunguza maambukizi ya Virusi vya Corona ambavyo vilisababisha kusimamishwa kwa shughuli nyingi duniani ikiwa ni pamoja na michezo.Kwa sasa matumizi ya kanteen kwa wachezaji pamoja na wafanyakazi...

SERIKALI YAZUNGUMZIA KUHUSU SIMBA NA YANGA KUKUTANA FA

0

KATIBU Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk.Hassan Abbas amesema kuwa kuna uwezekano wa Simba na Yanga zikakutana kwenye fainali ya Kombe la Shirikisho iwapo kila mmoja atashinda mechi zake.Simba na Yanga zimetinga hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho lililo mikononi mwa Azam FC, ratiba inaonyesha Juni 27/28 Simba itacheza na Azam FC ikiwa...

KIUNGO HUYU WA SIMBA MAMBO BADO MAGUMU

0

UONGOZI wa Simba umesema kuwa itakuwa ngumu kwa sasa kumpata kiungo wao Sharaf Shiboub raia wa Sudan kutokana na mipaka ya nchi yao kufungwa.Shiboub aliibukia Sudan baada ya Serikali kusimamisha masuala ya michezo Machi 17 na kwa sasa tayari Serikali imeruhusu shughuli za michezo kuanza kwa kueleza kuwa hali ya maambukizi  ya Virusi vya Corona imepungua.Kocha Mkuu wa Simba,...

KOCHA WA AZAM FC CIOABA ALITUA BONGO KWA NJIA YA KISHUJAA

0

IMEELEZWA kuwa, Kocha Mkuu wa Azam FC, Arstica Cioaba alilazimika kudanganya kuwa ni dereva wa lori ili kuvuka mipaka ya Romania, Hungary na kuibukia Ujerumani ambako alipata ndege kurejea Tanzania.Cioaba raia wa Romania alifanya hivyo kwa kuwa nchi yake haijafungua mipaka hali kadhalika Hungary na Ujerumani pekee ndio wameruhusu ndege kupaa na kutua.Kocha huyo alipanda lori akiwa na kocha...