VPL: YANGA 0-0 POLISI TANZANIA

0

Uwanja wa Uhuru:- Yanga 0-0 Polisi TanzaniaKipindi cha kwanzaOktoba 22Ligi Kuu Bara Dakika ya 40 Uwanja wa Uhuru, Moro anachezewa faulo na mpira unapigwa kuelekea kwa Polisi TzDakika ya 36 Lamine Moro anaokoa hatari iliyopigwa na Marcel KahezaKipindi cha kwanza kinaendelea kwa sasa baada ya dakika moja ya kupoza koo kukamilika.Dakika moja kwa ajili ya kupoza koo na joto la...

VPL: TANZANIA PRISONS 0-0 SIMBA

0

 Tanzania Prisons 0-0 SimbaUwanja wa Nelson Mandela, MbeyaDakika ya 35 milango bado migumu kwa timu zote mbili.Dakika ya 31 Erasto Nyoni anaokoa hatariDakika ya 22 Tanzania Prisons wanafanya shambulio la hatari lango la Simba, mwamuzi anasema kuwa wameotea.Dakika ya 18: Simba wanapiga kona ya pili zote hazizai matunda ndani ya uwanja kupitia kwa Bernard MorrisonDakika 15 zinakamilika na hakuna...

KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA TANZANIA PRISONS, ILANFYA NDANI

0

 KIKOSI cha Simba kitakachoanza leo dhidi ya Tanzania Prisons Uwanja wa Nelson Mandela, Mbeya. Charlse Ilanfya kuanza kikosi cha kwanza kwa mara ya kwanza baada ya kujiunga na Simba akitokea Klabu ya KMC

KOCHA NAMUNGO AOMBA DAKIKA 270 KUIMARISHA KIKOSI

0

 HITIMANA Thiery, Kocha Mkuu wa Namungo FC amesema kuwa kwa sasa anahitaji mechi zaidi ya tatu ambazo ni dakika 270 ili kurejesha makali ya kikosi hicho ambacho kinakwenda mwendo wa kusuasua kwa msimu wa 2020/21.Namungo FC walianza kwa kasi msimu wa 2019/20 ikiwa ni msimu wao wa kwanza baada ya kupanda Ligi Kuu Bara na ilimaliza ligi ikiwa nafasi...

TANZANIA PRISONS V SIMBA MBABE KUJULIKANA LEO

0

 BAADA ya msimu uliopita ngoma kuwa ngumu ambapo kwa dakika zote 180 hakukuwa na bao lolote lililofungwa kati ya Simba na Prisons, leo Alhamisi miamba hiyo itakutana katika Uwanja wa Nelson Mandela, Sumbawanga mkoani Rukwa kumaliza ubishi. Mchezo wa kwanza msimu uliopita ulipigwa Novemba 7, 2019 jijini Dar na kumalizika kwa suluhu, huku ule wa pili uliopigwa Juni 28, mwaka...

KAZE KUANZA NA HESABU HIZI KWA POLISI TANZANIA

0

 CEDRIC Kaze, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa   amekipanga kikosi chake kupata ushindi mbele ya Tanzania Prisons kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Uwanja wa Uhuru.Leo Oktoba 22, Yanga itaikaribisha Polisi Tanzania kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Uwanja wa Uhuru majira ya saa 10:00 jioni.Kaze ambaye amesaini dili la miaka miwili Yanga akichukua mikoba ya Zlatko...

MUONEKANO WA UZI WA TANZANIA PRISONS YA MBEYA

0

 UZI wa Tanzania Prisons ambayo leo itamenyana na Simba Uwanja wa Nelson Mandela 

KIKOSI CHA YANGA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA POLISI TANZANIA

0

 KIKOSI cha Yanga kitakachoanza leo Oktoba 22 dhidi ya Polisi Tanzania,  Uwanja wa Uhuru

BAYERN MUNICH WANA JAMBO LAO WATEMBEZA 4G

0

 MABINGWA  watetezi wa Uefa Champions League, FC Bayern Munich wameendelea pale walipoishia msimu uliopita kuwa tishio katika michuano hiyo baada ya kupata ushindi mnono wa magoli  4-0 dhidi ya Atletico Madrid. Bayern walikuwa wanacheza kwa kuwaonyesha vijana wa Diego Simeone kuwa ni mabingwa kweli wa michuano hiyo kwa jinsi walivyokuwa wanacheza kwa mamlaka wakiwa wametulia eneo la katikati licha ya...

JUA KALI LA DAR LAIPONZA KMC UWANJA WA UHURU

0

 JUA kali lililokuwa likipiga Uwanja wa Uhuru juzi liliwaponza KMC FC, kushindwa kupata ushindi dhidi ya Ruvu Shooting kwa kulazimisha sare ya bao 1-1.Andrew Vincent, beki wa KMC alifunga bao la kwanza kwenye dakika ya 26 ambapo lilipinduliwa na Shaban Msala wa Ruvu Shooting kwenye dakika ya 56 na kuifanya KMC ifikishe pointi 11 ikiwa katika nafasi ya sita...