LIVERPOOL YAINGIA ANGA ZA ADAMA, MWILI JUMBA

0

JURGEN Klopp,  Kocha Mkuu wa Liverpool yupo kwenye hesabu za kuinasa saini ya winga mwili jumba na mwenye kasi anayekipiga ndani ya Wolves, Adama Traore.Taarifa zinaeleza kuwa Kocha huyo anataka kuwapunguzia presha mastaa wake watatu wa mbele ambao ni Firmino,  Mo Salah na Sadio Mane.Kwa mujibu wa The Sun, Klopp amemuweka katika kipaumbele chake cha kwanza cha usajili winga...

NAMUNGO:TUMEUKUMBUKA MPIRA

0

ADAM Oseja, mlinda mlango namba mbili wa kikosi cha Namungo FC kilicho chini ya Kocha Mkuu, Hitimana Thiery amesema kuwa anafurahia kurejea kwa mechi za ushindani kwa kuwa walikuwa wameukumbuka mpira.Shughuli za michezo zilisimamishwa tangu Machi 17 na Serikali kutokana na janga la Virusi vya Corona ila kwa sasa Serikali imesema kuwa mambo yanaweza kuendelea huku tahadhari ikichukuliwa kuanzia...

ALLIANCE FC WAIPIGIA HESABU NDEFU NAMUNGO

0

KESSY Mziray, Kocha Mkuu wa Klabu ya Alliance School amesema kuwa wameanza kufanya maandalizi kwa ajili ya mchezo wao wa hatua ya robo fainali wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Namungo FC.Mchezo huo unatarajiwa kucheza kati ya Juni 27/28 mwaka huu na mshindi atatinga hatua ya robo fainali.Mziray amesema kuwa anaamini Namungo ni timu bora na ina ushindani katika...

KAGERA SUGAR YALIPIGIA HESABU KOMBE LA SHIRIKISHO

0

UONGOZI wa Kagera Sugar unesema kuwa utapambana kwa nguvu zote ili kusepa na Kombe la Shirikisho msimu huu ili waiwakikishe nchi kwenye michuano ya kimataifa.Kagera Sugar ilitinga hatua ya robo fainali kwa kuitungua KMC penalti 2-0 baada ya dakika 90 kukamilika kwa sare ya kufungana 1-1 itakutana na Yanga hatua ya nusu fainali kati ya Juni 27/28.Kocha Mkuu wa...

MORRISON ATIKISA YANGA,NDANI YA SPOTIXTRA JUMAPILI

0

MUONEKANO wa ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTIXTRA Jumapili lipo mtaani usipange kukosa jipatie nakala yako jero kama jero.

JEMBE LILILOTUA USIKU WA LEO SIMBA KUUNGANA NA WENZAKE MAZOEZINI

0

FRANCIS Kahata, kiungo mshambuliaji wa Simba amerejea Bongo akitokea Kenya usiku wa kuamkia leo ataungana na wachezaji wenzake kwenye mazoezi ya leo yatakayofanyika kwenye uwanja wao uliopo Bunju.Kiungo huyo alikwama nchini Kenya baada ya mipaka kufungwa kutokana na janga la Virusi vya Corona jambo lililopelekea ugumu wa safari yake.Wachezaji wa Simba walianza mazoezi Mei 27 mara baada ya kuripoti...

TUSIJISAHAULISHE CORONA BADO IPO, KILICHOBAKI TUMALIZE MSIMU HUKU TUKICHUKUA TAHADHARI

0

KUNAPOTOKEA tatizo lolote unaomba msaada na ukija huwezi kuchagua ni yupi anakuletea huo msaada.Unachotaka wewe ni kulitatua hilo tatizo lako ili maisha mengine yaendelee kama kawaida.Kuna wakati tunasema si wakati wa kuchagua kitu lazima ukubali na kile kinachotokea kwa wakati ule na hiyo haina namna.Tumekaa hapa kwa zaidi ya miezi miwili bila kucheza mpira wowote au hata kufanya mazoezi...

KIKOSI KAZI CHA KELVIN YONDANI WA YANGA KINA BALAA, WAWILI WA SIMBA NDANI

0

HIKI ndicho kikosi cha kwanza cha mkongwe ndani ya Klabu ya Yanga anayekipiga pia ndani ya timu ya Taifa ya Tanzania Kelvin Yondani.Naye pia anaamini anastahili kuwa ndani ya kikosi hichi kutokana na uwezo wake, amewavuta wawili kutoka Simba namna hii:-Kipa-Metacha Mnata wa Yang.Beki wa kulia-Juma Abdul wa Yanga.Beki wa kushoto-Mohamed Hussein wa Simba.Beki wa kati-Bakari Mwamnyeto wa Coastal...

AZAM FC IPO KAMILI GADOGADO

0

MATAJIRI wa Dar es Salaam, Azam FC wameanza mazoezi kwa ajili ya kujiaandaa kumalizia vigongo vyao 10 ndani ya Ligi Kuu Bara pamoja na kutetea taji la Kombe la Shirikisho.Azam FC ilitwaa taji hilo msimu wa 2019 kwenye fainali iliyochezwa Lindi, ilikuwa dhidi ya Lipuli FC ya Iringa.Bao pekee la ushindi lilifungwa na Obrey Chirwa aliyeipoteza Lipuli mazima wakati...

HII HAPA MITAMBO MINGINE YA MABAO NDANI YA SIMBA

0

SIMBA iliyo chini ya Kocha Mkuu, Sven Vandenbroeck, wachezaji wake wengi walikuwa wameanza kujenga ushkaji na nyavu kabla ya Ligi Kuu Bara kusimamishwa kutokana na janga la Virusi vya Corona.Hakukuwa na mechi ya ushindani ambayo ilichezwa tangu Machi 17 kutokana na janga la Virusi vya Corona ila kwa sasa kuna matumaini ya ligi kurejea kuanzia Juni 13.Ikiwa imefunga mabao...