MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTIXTRA ALHAMISI

0

MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTIXTRA Alhamisi 

KISA CORONA…OZIL AKATAA MSHAHARA WAKE KUPUNGUZWA ARSENAL ..!!

0

KIUNGO Mesut Ozil inadaiwa ni miongoni mwa wachezaji watatu ndani ya Arsenal waliyokataa kuchukua mshahara uliyopunguzwa kwa asilimia 12.5.Juzi, Jumatatu, Washika Bundika walitangaza kuwa timu ya kwanza ya Ligi Kuu England kupunguza mishahara ya wachezaji kutokana na janga la virusi vya corona.Ozil ni mchezaji wa Arsenal anayelipwa mshahara mkubwa wa pauni za Uingereza 350,000 (takribani shilingi bilioni moja) kwa...

GADIEL- WACHEZAJI WA SIMBA TUNA DENI

0

BEKI wa kushoto wa kikosi cha Simba, Gadiel Michael, amesema kuwa, wachezaji wa timu hiyo wana deni kubwa la kulipa kwa mashabiki wa klabu hiyo, kutokana na kutimiziwa mahitaji yote muhimu kwa wakati na waajiri wao.Gadiel alitoa kauli hiyo jana wakati akizungumza na mashabiki wa soka kupitia mtandao rasmi wa kijamii wa klabu hiyo. Gadiel alisema yeye akiwa mchezaji...

OLE GUNNAR ANAAMINI RASHFORD NI MATATA KULIKO KANE

0

OLE Gunnar Solskjaer, Kocha Mkuu wa Manchester United amesema kuwa ana furaha kwa kuwa klabu yake haikutumia pauni milioni 200 kuinasa saini ya Harry Kane.Solskjaer amesema anaamini uwezo wa mshambuliaji wake Marcus Rashford kuwa ni bora kuliko Kane.Imekuwa ikielezwa kuwa United inasaka saini ya Kane lakini dili hilo limekuwa likibuma.Rashford yupo nyuma ya Kane kwa miaka minne lakini alikuwa...

KESHO NDANI YA SPOTIXTRA SVEN AMCHAMBUA STRAIKA MPYA

0

Kabaaang! Spoti Xtra limemfikia Kocha wa Simba, Sven Vandenbroeck na kuzungumza naye kwa takribani dakika 56.Nunua gazeti lako keshoAlhamisi kwa Tsh 500 tu, usome makala exclusive ya kocha huyo raia wa Ubelgiji.Humo ndani amemchambua straika mpya atakayetua Simba, hatma ya Said Ndemla, Ibrahim Ajibu, pia sakata la Clatous Chama kwenda Yanga.Usisahau kwamba kwa kununua Spoti Xtra, una nafasi ya...

OKWI KURUDI MSIMBAZI..? HANS POPE AMEFUNGUKA HAYA..!!

0

KUMEKUWA na tetesi kuwa straika wa zamani wa Simba, Emmanuel Okwi, anataka kurejea katika kikosi hicho msimu ujao.Okwi aliondoka Simba msimu uliopita baada ya mkataba wake kumalizika na kupata dili la kujiunga na Al Ittihad ya Mirsi iliyomuona wakati wa michuano ya Kombe la Mataifa Afrika (AFCON).Mchezaji huyo kipenzi cha Wanasimba, aliondoka kipindi ambacho alikuwa bado anahitajika Msimbazi, hivyo...

KISA NKANA…WAZAMBIA WAMCHANA CHAMA KUWA SI MZALENDO

0

KITENDO cha kiungo wa Simba, Clatous Chama, kuwafunga Nkana na kuwatoa matika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, bado tukio hilo loinamtesa kwa mashabiki nchini Zambia aliko hivi sasa.Hali hiyo inamfanya  mchezaji huyo aonekane hana uzalendo, hivyo baadhi ya mashabiki wa Nkana kuonekana kuchukizwa na tukio lile bila kujali kwamba amekuwa akitekelea majukumu yake.Chama ambaye ni raia wa Zambia,...

BEKI WA COASTAL UNION AZIPASUA KICHWA SIMBA NA YANGA

0

BAKARI Mwamnyeto, beki wa Coastal Union ameziingiza vitani timu za Kariakoo, Simba na Yanga ambazo zote zinaisaka saini yake.Mwamnyeto amekuwa kwenye hesabu kali na mabosi wa Simba ambao wanahitaji kuongeza nguvu kikosini hapo kwa ajili ya msimu ujao.Habari zinaeleza kuwa tayari mabosi wa Yanga wameingia kwenye mpango wa kuinasa saini yake ili kumuongezea nguvu Lamine Moro na Kelvin Yondani.Mussa...

BEKI RUVU SHOOTING AJIWEKA SOKONI

0

BEKI wa kati wa timu ya Ruvu Shooting ya mkoani Pwani Santos Mazengo amesema kuwa, kwa sasa yupo huru kufanya mazungumzo na timu yoyote kwa kuwa mkataba wake na timu hiyo unaisha mwishoni mwa msimu huu.     Mazengo ameongeza kuwa, anaikaribisha timu yoyote inayohitaji huduma yake kufanya nayo mazungumzo kwa ajili ya msimu ujao wa ligi        Mazengo aliyesajiliwa na Ruvu...

KMC KUONGEZA MASHINE MOJA YA KAZI

0

KOCHA wa KMC, Haruna Harerimana yenye maskani yake Kinondoni amesema kuwa anahitaji kupata saini ya mlinda mlango mpya atakayeongeza changamoto ndani ya kikosi chake.KMC imekuwa na makipa wawili ambao wanachezea timu ya Taifa ikiwa ni pamoja na Jonathan Nahimana anayedakia timu ya Taifa ya Burundi na Juma Kaseja ambaye ni kipa ndani ya Timu ya Taifa ya Tanzania.Kocha huyo...