BEKI SIMBA ATAKA KUCHEZA YANGA
ZANA Coulibaly, raia wa Ivory Coast amesema kuwa yupo tayari kurejea Bngo kukipiga ndani ya Yanga iwapo watahitaji huduma yake.Beki huyo alidumu Simba kwa miezi tisa kabla ya kuondoka na kujiunga na AS Vita ya DR Congo kwa mkataba wa miaka miwili katika michuano ya kimataifa amefanikiwa kucheza mechi tatu pekee msimu huu.Coulibaly amesema kuwa moja kati ya sehemu...
UONGOZI WA TIMU BONGO WAOMBA MSIMU 2019/20 KUYEYUSHWA MAZIMA
Timu ya Arusha FC inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza Bara, kupitia kwa Ofisa habari wake Bahati Msilu wameliomba Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kufuta msimu wa Ligi Daraja la Kwanza 2019/20 kutokana na janga la Virusi vya Corona linaloendelea kuitikisa Dunia.Msilu amesema:-"Ningefurahi kama ligi msimu huu ingehairishwa ili tuanze kujiandaa kwa ajili ya msimu ujao kwani mapumziko haya ya...
BALAA LA SALAH LIPO NAMNA HII UWANJANI, KOCHA MKUU ATOA NENO
MOHAMED Salah, nyota anayekipiga ndani ya Klabu ya Liverpool ametumia dakika 2,246 kabla ya Ligi Kuu England kusimamishwa kupisha maambukizi ya Virusi vya Corona.Ametupia jumla ya mabao 16 na ametoa pasi sita ndani ya Ligi Kuu England.Ana wastani wa kufunga bao moja kila baada ya dakika 140.Kocha wa Liverpool, Jurgen Klopp amesema kuwa ni miongoni mwa wachezaji makini ambao...
HUYU HAPA AMELIONDOA JINA LA NDEMLA YANGA
IMEFAHAMIKA kuwa jina la kiungo mkabaji wa Mtibwa Sugar, Abdulhalim Humoud ‘Gaucho’ ndiyo limemuondoa Said Ndemla kwenye orodha ya majina ya usajili yaliyopendekezwa na Kamati ya Usajili ya Yanga.Awali, yalikuwepo majina mawili ya viungo wakabaji wazawa yaliyokuwa yakijadiliwa na kati ya hilo lilikuwepo na Ndemla ambaye mkataba wake na Simba unatarajiwa kumalizika mwisho mwa msimu huu wa Ligi Kuu...
SERGE NA SISSOKO WA SPURS WAKIUKA SHERIA YA UMBALI
NYOTA wa Spurs Serge Aurier na mwenzake Moussa Sissoko wamevunja Sheria ya umbali wa kufanya mazoezi katika kipindi cha maambukizi ya Virusi vya Corona.Kutokana na maambukizi ya Virusi vya Corona wachezaji wengi nchini England na duniani kiujumla wametakiwa kutofanya mazoezi kwa pamoja ikiwa ni kujilinda dhidi ya Corona.Serge, beki wa kulia wa Spurs alipandisha video akifanya mazoezi na Sissoko...
KOCHA WA NAMUNGO AWATAKA WAZAWA KUTAFUTA CHANGAMOTO MPYA NJE YA BONGO
KOCHA Mkuu wa timu ya Namungo FC, Hitimana Thiery raia wa Burundi amesema kuwa ni muhimu kwa makocha wa bongo kutoka nje ya nchi kutafuta uzoefu zaidi.Hitimana alianza kuinoa Biashara United ambayo iliamua kumpiga chini kwa kile ilichoeleza kuwa hakuwa na uwezo wa kukinoa kikosi hicho na aliibukia Namungo FC iliyokuwa inashiriki Ligi Daraja la Kwanza ambayo aliipandisha kwa...
MASHAKA YA KOCHA MKUU LIGI KUU BARA NI KUSHUKA KWA VIWANGO VYA WACHEZAJI
ZUBER Katwila, Kocha Mkuu wa timu ya Mtibwa Sugar amesema kuwa wasiwasi wake mkubwa kwa sasa ni kushuka kwa uwezo wa wachezaji pindi ligi itakaporejea.Katwila ni miongoni mwa wazawa ambao wanafanya kazi zake kwa umakini ndani ya Ligi Kuu Bara, anakinoa kikosi cha Mtibwa Sugar ambacho alitumia maisha yake ya soka kukipiga pia katika klabu hiyo na alitwaa taji...
KOCHA KAGERA SUGAR AWATAKA WACHEZAJI WASIPUUZIE MAZOEZI
UONGOZI wa Kagera Sugar, umesema kuwa ni muhimu kwa kila mchezaji kufanya mazoezi binafsi pamoja na kuchukua tahadhari dhidi ya Corona katika kipindi hiki kigumu. Kwa sasa Ligi Kuu Bara imesimamishwa na Serikali kutokana na maambukizi ya Virusi vya Corona.Akizungumza na Saleh Jembe, Kocha Mkuu wa Kagera Sugar, Mecky Maxime amesema kuwa kila mchezaji ni wajibu wake kutimiza kikamilifu...
MESSI AJIFUNGIA NDANI KISA CORONA
RAMADHAN Singano,’Messi’ nyota kutoka Bongo anayekipiga ndani ya TP Mazembe ya nchini Congo amesema kuwa kwa sasa anashinda ndani akifanya mazoezi mepesi kutokana na zuio la Serikali kutowaruhusu kutoka nje.Virusi vya Corona vimekuwa ni janga la dunia baada ya kuripotiwa kuanza kusambaa ambapo kesi ya kwanza iligundulika nchini China, Desemba 2019.Messi amesema kuwa kutokana na janga la Corona kwa...
SIMBA YAKUBALI UWEZO WA KIUNGO WA YANGA ALIYEWAVURUGA MACHI 8 UWANJA WA TAIFA
VerifiedOFISA Habari wa Simba, Haji Manara amesema kuwa miongni mwa viungo makini wanafaya kazi kwa ubora ndani ya Uwanja ni pamoja na Feisal Salum ’Toto’ anayekipiga ndani ya Yanga.Fei Toto atakumbukwa msimu huu walipokutana Machi 8 Uwanja wa Taifa kwa kuwavuruga viugo wa Siba chini ya mwamba wa Lusaka, Clatous Chama.Mchezo huo Simba ilipoteza kwa kufungwa bao 1-0 lililolpachikwa...