BAO PENDWA LA KIUNGO FUNDI WA SIMBA HILI HAPA
KIUNGO wa Simba Luis Miqussone amelitaja bao lake bora tangu ajiunge na Simba kwenye usajili wa dirisha dogo msimu huu Januari, akitokea Klabu ya UD Songo.Luis amesema kuwa bao lake bora ni lile alilowatungua Biashara United ambalo lilikuwa ka kwanza kwake kufunga ndani ya ardhi ya Bongo kwenye Ligi Kuu Bara ambayo imesimamishwa kwa sasa kutokana na maambukizi ya...
ZAHERA AMCHOMOA BOCCO MSIMBAZI
ALIYEKUWA kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera amemwambia, straika nguli wa Simba, John Bocco, 30, bado anaweza kutisha katika soka la Afrika nje ya Tanzania licha ya umri kumtupa mkono.Zahera alisema Bocco, ambaye Agosti 5 mwaka huu atatimiza umri wa miaka 31, ni kati ya wachezaji ambao alikuwa anawakubali katika ligi ya Tanzania na alikuwa anamuwazia awe na mtazamo wa...
JACOB MASAWE YEYE NA NYAVU TU
Jacob Masawe nahodha wa Gwambina FC amekuwa wenye ubora wake kwa kucheka na nyavu.Msimu huu kabla ya Ligi Daraja la Kwanza kusimamishwa alikuwa ametupia jumla ya mabao 12.Mabao 10 Massawe alifunga kwenye Ligi Daraja la Kwanza ambapo alicheza jumla ya mechi 17 na mabao mawili alifunga kwenye Kombe la Shirikisho Azam FC. Nyota huyo aliwahi kuzichezea Stand United, frican...
WACHEZAJI WAPEWA SOMO HILI KULINDA VIPAJI VYAO
KOCHA Mkuu wa Tanzania Prisons, Adolf Rishard amesema kuwa ili mchezaji adumu kwenye ubora wake ni lazima awe na nidhamu ndani ya uwanja na nje ya uwanja kwa kuzingatia kanuni za afya.Adolf amesema kuwa wachezaji wanapaswa wawe makini katika kila jambo ambalo wanafanya ili kulinda uwezo wao kwa muda mrefu."Ni kitu cha msingi kwa mchezaji kuwa na nidhamu ndani...
KOCHA SIMBA AWATAKA AKINA LUIS WENGINE ZAIDI
SVEN Vandenbroeck, Kocha Mkuu wa Simba ameweka wazi kuwa anahitaji viungo wakali wenye uwezo mithili ya Miqussone ambao anaamini watampa matokeo ndani ya uwanja. Miqussone ambaye ni kiungo wa Simba kabla ya Ligi Kuu Bara kusimamishwa kupisha maambukizi ya Virusi vya Corona alianza kuingia kwenye mfumo wa Sven kutokana na kubadili matokeo akiwa ndani ya uwanja licha ya kutumia dakika...
MEDDIE KAGERE AMJIBU KIBABE BOSSI WAKE SVEN
MEDDIE Kagere, mshambuliaji wa Simba ameamua kumjibu kibabe bosi wake mkubwa kwenye benchi la ufundi Sven Vandenbroeck wakati huu wa maambukizi ya Virusi vya Corona akiwa nchini Rwanda.Video ya Sven iliyotupiwa kwenye Ukurasa wa Instagram wa Simba ilimuonyesha akipiga danadanda ambapo alipiga jumla ya danadanda 32 mshambuliaji wake namba moja aliamua kumlipa kwa kutuma video ambayo alipiga danadanda 52.Kwa...
NYOTA POLISI TANZANIA APATA MUDA WA KUWA KARIBU NA MKE WAKE
SIXTUS Sabilo mtupiaji wa klabu ya Polisi Tanzania amesema kuwa kutokana na mapumziko ya lazima kwa wachezaji wa Ligi Kuu Bara Bongo yamemfanya amekuwa karibu na mke wake pamoja na familia kiujumla.Kabla ya Ligi Kuu Bara kusimishwa kutokana na maambukizi ya Virusi vya Corona ambalo ni janga la dunia Sabilo alikuwa kambini Moshi huku familia yake ikiwa Mara.Sabilo amesema...
MANCHESTER UNITED, BARCELONA ZAKUTANA KWA MTUPIAJI HUYU FUNDI
MSHAMBULIAJI tegemeo wa Klabu ya Arsenal, Pierre Emerick Aubameyang yupo kwenye hesabu za kuwindwa na Barcelona na Manchester United.Nyota huyo raia wa Gabon anayekipiga timu yake ya Taifa akiwa ni nahodha kwenye timu zote anazocheza ikiwa ni pamoja na Arsenal ana umri wa miaka 30.Uwezo wake wa kutupia mabao umewavutia Manchester United inayoshiriki Ligi Kuu England pamoja na mabosi...
YANGA WACHEKELEA SAPOTI YA MDHAMINI KUMWAGA MKWANJA
JUMA Abdul nahodha msaidizi wa Yanga amesema kuwa mdhamini wao GSM amewaongezea nguvu ya kufanya mazoezi wakiwa nyumbani kutokana na kupewa fursa ya kufanya manunuzi kwenye duka la michezo lililopo Mlimani City.Abdul amesema kuwa vifaa hivyo walivyonunua vitawasaidia kufanya mazoezi nyumbani kwa umakini huku wakichukua tahadhari ya Virusi vya Corona."Fursa ya kufanya manunuzi kwenye duka la mdhamini wetu wetu...
HIKI NDICHO ANACHOKIFANYA FEI TOTO
FEISAL Salum nyota anayekipiga ndani ya Klabu ya Yanga amesema kuwa kwa sasa anachukua tahadhari dhidi ya Virusi vya Corona na kufanya mazoezi binafsi ili kuwa bora.Tayari Fei Toto alikuwa ameingia kwenye mfumo wa Kocha Mkuu Luc Eymael raia wa Ubelgiji ambapo alikuwa na uhakika wa namba kikosi cha kwanza kabla ya Ligi Kuu Bara kusimamishwa kutokana na maambukizi...