MAN UNITED YAJIPA MATUMAINI KWA SANCHO

0

London, England. Manchester United imejipa matumaini ya kushinda vita ya kuwania saini ya Jadon Sancho.Sancho ameteka vyombo vya habari Ulaya baada ya kuzivutia  idadi kubwa ya klab zinazotaka kumwa katika usajili wa majira ya kiangazi msimu ujao.Man United ina matumaini kumpata Sancho baada ya kuteta na klabu yake ya Borussiaa Dortmund na mchezaji husika.Klabu hiyo italazimika kufanya kazi ya...

TAHADHARI NI MUHIMU, ISHU YA USAJILI ISICHUKULIWE KWA PUPA

0

JANGA la Virusi vya Corona bado linaendelea kuitikisa dunia tena kwa sasa ni kwa spidi  kubwa huku  mambo ya mbeleni yakibaki kuwa gizani sababu haifahamiki hatma yake. Ligi kuu Bara na michezo mingine kwa ujumla hapa nchini ilisimamishwa kwa mwezi mmoja tangu Machi 17 na lengo likiwa ni kuangalia hali itakwenda vipi. Aprili 14 taarifa ilitolewa kwamba bado katazo lipo palepale. Bado haijafamika...

XAVI HERNANDEZ ATAKA KUINOA BARCELONA

0

STAA wa zamani wa Klabu ya Barcelona, Xavi Hernandez amefunguka kuwa kwa sasa ni wakati sahihi kwa yeye kurejea na kwenda kuinoa klabu yake hiyo ya zamani. Barca  ilitaka kumchukua staa huyu awali kama mbadala wa aliyekuwa kocha wa timu hiyo, Ernesto Valverde lakini ikashindikana na timu kwa sasa ipo chini Quique Setien.Xavi baada ya kustaafu soka  kwa sasa ni...

MSHAMBULIAJI HUYU WA BURUNDI AKUBALI KUVAA UZI WA YANGA

0

BIGIRIMANA Blaise, raia wa Burundi anayekipiga ndani ya Namungo FC amesema kuwa hana hiyana ya kutua ndani ya Klabu ya Yanga iwapo watafuata taratibu za usajili.Blaise kabla ya msimu kusimamishwa kutokana na maambukizi ya Virusi vya Corona alikuwa kwenye mwendo mzuri wa kucheka na nyavu ambapo alikuwa ametupia mabao 10 kati ya 34 yalifungwa na klabu yake.Akizungumza na Championi...

BALAA LA CHAMA WA UCHEBE NA SVEN LIPO HIVI UWANJANI

0

CLATOUS Chama kiungo mshambuliaji wa Simba amezidi kuwa imara mbele ya Kocha Mkuu Sven Vandenbroeck kwa kutumia dakika nyingi uwanjani.Kabla ya Sven kutua Bongo, Chama kwenye mechi 10 alizosimamia Kocha Mkuu, Patrick Aussems ambazo ni sawa na dakika 900 alitumia dakika 532.Wakati Sven akiwa amesimamia mechi 18 mpaka sasa kabla ya Ligi Kuu Bara kusimamishwa kutokana na maambukizi ya...

GIROUD AKUBALI KUTUA INTER MILAN MSIMU UJAO

0

Paris, Ufaransa. Olivier Giroud amefikia mwafaka kuhusiana na masilahi binafsi na Inter Milan inayotaka huduma katika majira ya kiangazi.Taarifa za awali zimedai mshambuliaji nguli wa Chelsea atatua  San Siro kwa mkataba wa miaka miwili.Conte aliwahi kumtupia ndoano Mfaransa huyo katika usajili wa dirisha dogo Januari, mwaka huu.Mshambuliaji huyo nguli huyo anasaka timu baada ya kupokwa namba na kinda Tammy...

MWISHO WA JANGA LA CORONA, WANAMICHEZO WASIO NA NIDHAMU, WATAUMBUKA

0

NA SALEH ALLYTUKO katika wakati mgumu na tunapaswa kukubaliana na hilo hata kama tunaendelea kuchukua tahadhari kuendelea kupambana na maambukizi ya Covid 19 maarufu kama Corona.Hapa ninazungumzia jamii ya Watanzania, jirani zetu, Afrika na dunia kote, hakika ugonjwa huu ni hatari ten asana.Hatuna haja ya kuendelea kuficha sana na kama tuna hofu, basi ilenge katika kuchukua tahadhari huku tukihakikisha...

GUMZO LA UNUNUZI WA NEWASTLE NA KASHFA YA KIFO CHA MWANDISHI KASHOGGI

0

Na Saleh AllyWAKATI dunia ikipambana na Corona, gumzo kubwa limeibuka katika Ligi Kuu England baada ya kuonekana mwana wa mfalme wa Saudi Arabia, Mohamed bin Salman yuko katika hatua ya mwisho kuinunua Newcastle United.Newcastle United ni moja ya timu, yenye nguvu ya kifedha na mashabiki wengi kwa England ingawa haiwezi kuwa kama kina Manchester United, Chelsea, Arsenal Liverpool na...

LONGSTAFF AWEKWA KWENYE HESABU ZA AC MILAN ATAJA MASHARTI YA KUWAGA WINO

0

MKATABA wa kiungo machachari ndani ya Newcastle United Matty Longstaff unameguka Juni 30 msimu huu huku Klabu ya AC Milan ikiwa sokoni kuisaka saini yake.Inaripotiwa kuwa tayari kiungo huyo yupo tayari kuongeza kandarasi nyingine iwapo klabu hiyo itakamilisha dili la kupata mmiliki mpya wa klabu hiyo.Nyota huyo mwenye miaka 20 inaelezwa kuwa yupo tayari kufanya kazi na bosi mpya...

ISHU YA YANGA KUSHUSHA PANCHA MOJA MATATA UONGOZI WAFUNGUKA, WAKIRI KUWAFUATILIA KWA UKARIBU

0

UONGOZI wa Yanga umesema kuwa unawafuatilia kwa karibu nyota wote wanaokipiga ndani ya Ligi Kuu Bara ili waweze kuona namna gani wanaweza kuzipata saini zao ikiwa ni pamoja na Relliats Lusajo na Lukas Kikoti.Miongoni mwa nyota ambao wanafuatiliwa kwa ukaribu na Yanga ni pamoja na pacha hiyo ya Namungo ambayo imekuwa na muunganiko mzuri.Ofisa Habari wa Yanga, Hassan Bumbuli...