VIDEO: MEDDIE KAGERE AKIJIFUA SEBULENI
MSHAMBULIAJI wa Simba, Meddie Kagere akiwa Kwenye mazoezi binafsi sebuleni wakati huu wa kujilinda dhidi ya Virusi vya Corona
ALIYEWAPIGA HAT TRICK SINGIDA UNITED ATAJA KINACHOMBEBA
KELVIN Sabato, nyota anayekipiga ndani ya kikosi cha Kagera Sugar amesema kuwa katika maisha yake ya soka amekuwa ni muumini mkubwa wa kujituma ndani ya uwanja jambo ambalo linamfanya awe bora.Kabla ya Ligi Kuu Bara kusimamishwa Sabato alikuwa ametupia mabao sita huku akiwa na mpira mmoja kabatini mwake baada ya kuitungua hat trick Singida United.Sabato amesema:"Kikubwa ni kuwa muumini...
MTUPIAJI POLISI TANZANIA AWAOMBA MASHABIKI KUCHUKUA TAHADHARI DHIDI YA CORONA
SIXTUS Sabilo, mshambuliaji wa Polisi Tanzania amesema kuwa kwa sasa ni muhimu kwa kila mmoja kuchukua tahadhari dhidi ya Virusi vya Corona ili kuwa salama.Akizungumza na Saleh Jembe, Sabilo amesema kuwa amejichimbia zake Bunda, Mara huku akichukua tahadhari dhidi ya Corona pamoja na kuwa balozi kwa familia na jamii pia."Baada ya ligi kusimamishwa kambi ilivunjwa nami nikaibukia nyumbani Bunda,...
SIMBA YAWAPIGIA HESABU NYOTA HAWA WANNE, SVEN ATAJA SABABU
SVEN Vandenbroeck, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa anahitaji nyota wapya wanne ndani ya kikosi chake ambao wataongeza nguvu msimu ujao.Sven ambaye ameiongoza Simba kwenye mechi 18 amesema anahitaji washambuliaji wawili na viungo wawili.“Tuna kikosi kizuri hapa na nafikiria tutaendelea na kila mmoja aliyepo japokuwa tutahitaji wachezaji kadhaa wapya katika kila nafasi, kuna maeneo ya kuongeza watu kwenye kikosi hiki cha...
KUHUSU BILIONI 20 ZA MO NDANI YA SIMBA..A-Z YA MCHAKATO UPO HIZI
KAMATI ya kuratibu mabadiliko ya mfumo wa uendeshaji wa klabu ya Simba imesema kuwa wanachama watalazimika kusubiri hadi miezi minne (siku 120) ili mchakato wa mabadiliko mfumo huo uanze rasmi. Lakini mambo yakishaanza, Simba itatingisha kwelikweli Tanzania na nje ya mipaka.Klabu ya Simba ilianza mchakato wa kufanya mabadiliko ya mfumo wa uendeshaji takribani miaka miwili na nusu iliyopita baada...
BAKARI MWAMNYETO ATAJA TIMU ATAKAYOKWENDA, UONGOZI WAFUNGUKIA ISHU YA SIMBA NA YANGA
NAHODHA wa timu ya Coastal Union, Bakari Mwamnyeto amesema yupo tayari kujiunga na klabu yoyote ndani na nje ya Tanzania japo sasa hivi anaheshimu mkataba wake.Beki huyo ambaye kwa kipindi kirefu amehusishwa kujiunga na vigogo wa soka nchini Tanzania, Simba na Yanga, hivyo kusababisha presha kwa mashabiki na wapenzi wa timu ya Coastal Union kukosa huduma yake.Lakini kwa siku...
KUMBE ISHU YA CHAMA KIGOGO SIMBA ALIPIGA SIMU YANGA
SARAKASI za usajili wa kiungo mshambuliaji wa Simba, Clatous Chama imezua sura mpya baada ya kuelezwa kuwa, Mwekezaji wa Simba, Mohammed Dewji ‘Mo’ kuwapigia simu viongozi wa Yanga ili kujua juu ya jambo hilo.Habari kutoka chanzo cha kuaminika kutoka Yanga zimeliamba dawati la Spoti Xtra kuwa, baada ya Yanga kuendelea kutamba kwamba imefanya mazungumzo na Chama ili kumsajili mwishoni...
KIUNGO WA BIASHARA UNITED AINGIA ANGA ZA KARIAKOO NAMNA HII
KIUNGO machachari ndani ya Klabu ya Biashara United, Novatus Dismas inaelezwa kuwa ameingia kwenye rada za timu tatu Bongo ambazo zinaiwinda saini yake.Lipuli ya Iringa, Yanga ya Daryenye maskani yake mitaa ya Kariakoo pamoja na Kagera Sugar ya Bukoba inaelezwa kuwa zipo kwenye hesabu za kumpata nyota huyo.Dismas ndani ya Biashara United amekuwa na mchango mkubwa ambapo mpaka sasa...
PAMBA FC WAMEFUNGUA NJIA WENGINE TUFUATE, KATIKA HILI PONGEZI MNASTAHILI
WAKATI huu wa janga la maambukizi ya Virusi vya Corona timu nyingi zimeanza kuonyesha vita kwa vitendo jambo ambalo linahitaji pongezi na kuungwa mkono pia.Kwenye ulimwengu wa soka kwa sasa bado ganzi inaendelea ambapo wanamichezo wengi wanashinda nyumbani kulinda vipaji vyao.Hii inatokana na kusimamishwa kwa Ligi nyingi duniani jambo lililofanya shughuli za michezo na kusimama pia.Klabu ya Pamba SC...