NAFASI YA CIOABA YAGOMBEWA KAMA NJUGU AZAM FC
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa umepokea barua nyingi za maombi ya kazi kutoka kwa makocha mbalimbali duniani wanaotaka kubeba mikoba ya Kocha Mkuu Arstica Cioaba.Cioaba kwa sasa yupo nchini Romania kwa ajili ya mapumziko ambayo yametolewa na Serikali baada ya kusimamisha Ligi Kuu Bara kupisha maambukizi ya Virusi vya Corona, mkataba wake unakarabia kumeguka hivi karibuni.Ofisa Habari wa...
GALLAS AWAOMBA WATANZANIA KUCHUKUA TAHADHARI DHIDI YA VIRUSI VYA CORONA
BEKI wa Polisi Tanzania, Luccian William, 'Gallas' amesema kuwa kwa sasa anaendelea kuchukua tahadhari dhidi ya Virusi vya Corona huku akiwaomba watanzania kufuata kanuni za afya.Akizungumza na Saleh Jembe, Gallas amesema kuwa kwa sasa kila mmoja ni lazima azingatie kanuni za afya ili kujilinda na Virusi vya Corona."Kwa sasa kila mmoja ni lazima achukue tahadhari ya kujilinda dhidi ya...
MAOMBI YA KAGERE NI HAYA HAPA
MEDDIE Kagere, mshambuliaji wa Simba amesema kuwa maombi yake makubwa ni kuona kwamba Virusi vya Corona vinaiachia dunia iendelee na shughuli zake ili arejee kazini kuendelea kutupia kwenye ligi.Kagere ndani ya Ligi Kuu Bara kabla ya kusimamishwa alikuwa ametupia mabao 19 na kutoa pasi tano za mabao kati ya 63 yaliyofungwa na Simba akiwa ni kinara wa kutupia ndani...
MRISHO NGASSA AJICHIMBIA BAGAMOYO, AMPIGA DOGO KASEKE
KIUNGO mzawa anayekipiga ndani ya Yanga, Mrisho Ngasa amesema kuwa bado anavuta pumzi ya kurejea Dar es Salaam rasmi akiendelea kuchukua tahadhari dhidi ya maambukizi ya Virusi vya Corona.Wakati Ligi Kuu Bara inasimamishwa na Serikali, Machi 17 kabla ya Aprili 14 taarifa kutolewa kwamba bado ligi itasimamishwa Ngasa alikuwa zake Mwanza na amerejea hivi karibuni na kujichimbia Bagamoyo.Ngasa amesema...
KINACHOMPA NAFASI TSHABALALA KIKOSI CHA KWANZA HIKI HAPA
MOHAMED Hussein, 'Tshabalala ' amesema kuwa kinachompa namba kikosi cha kwanza ni juhudi pamoja na kujituma bila kuchoka.Tshabalala amekuwa na msimu mzuri ndani ya Simba ambapo amekuwa akishindana namba na beki mwenzake Gadiel Michael ambaye alisajiliwa na Simba akitokea Klabu ya Yanga.Akizungumza na Saleh Jembe, Tshablala amesema kuwa kikubwa ambacho kinampa nafasi ya kuwa bora ni kujituma na kufanya kazi...
HUYU HAPA NYOTA ANAYEKIPIGA TIMU YA TAIFA YA RWANDA ANAYEWINDWA NA YANGA
ALLY Niyonzima nyota anayekipiga ndani ya Klabu ya Rayon Sorts ya Rwanda na timu ya Taifa pia anatajwa kuingia kwenye rada za mabosi wa Yanga ili kuinasa saini yake.Nyota huyo ambaye anacheza nafasi ya kiungo ameletwa duniani Februari 11,1996 ana umri wa miaka 24 huku akivaa jezi namba nane mgongoni.Alijiunga na Klabu ya Rayon Sports FC Januari 15,2020.Ndani ya...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la CHAMPIONI Ijumaa, nafasi ya kushinda ndinga mpya ni yako.
MANE AINGIA ANGA ZA MADRID
SADIO Mane mshambuliaji wa Liverpool inaelezwa kuwa yupo Kwenye hesabu za Kocha Mkuu wa Real Madrid, Zinadine Zidane ambaye anataka kupata huduma yake.Mane amekuwa kwenye ubora ndani ya Liverpool ambapo ametupia mabao 14 na kutoa pasi saba za mabao msimu huu jambo ambalo limemfanya Kocha wa Madrid kuhitaji huduma yake.Kocha Mkuu wa Liverpool, Jurgen Klopp amesema kuwa mpango mkubwa...
SIMBA YATAJA SABABU YA AJIBU KUWA NDANI YA KIKOSI CHA KWANZA
MOHAMED Hussein,'Tshabalala' ni beki wa kushoto ndani ya klabu ya Simba pia ni nahodha msaidizi akifanya kazi na John Bocco ambaye ni kapteni mkubwa.Kwenye kikosi hicho pia amemtaja swahiba wake Ibrahim Ajibu ambaye hana nafasi kikosi cha kwanza huku akisema kuwa sababu kuwa ya kuwa kwenye kikosi hiki ni mchezaji mwenye uwezo mkubwa kuliko wachezaji wengi wanaoshiriki Ligi Kuu...