NIYONZIMA WA YANGA ATIBUA DILI LA KIUNGO HUYU KUTUA YANGA JUMLAJUMLA

0

KIUNGO wa Polisi Tanzania, Baraka Majogoro amesema kuwa kama asingekuwa Haruna Niyonzima kurejeshwa katika kikosi cha Yanga basi yeye angekuwa mmoja wa wachezaji wa timu hiyo ambayo ilikuwa ikimuhitaji.Niyonzima alisajiliwa na Yanga katika usajili wa dirisha dogo la usajili mwezi Januari akitokea katika timu ya AS Kigali ya Rwanda aliyojiunga akitokea Simba.Akizungumza na Championi Jumamosi, Majogoro alisema kuwa uongozi...

FILAMU YA MWAMNYETO KUTUA SIMBA INACHEZWA NAMNA HII

0

WAKALA Kassa Mussa ambaye anamuwakilisha beki chipukizi anayekipiga kwenye timu ya Coastal Union, Bakari Nondo Mwamnyeto amekanusha uvumi unaoendelea kuhusu mchezaji wake kuhusishwa na kujiunga na timu ya Simba.Awali kulikuwa na taarifa kuwa Simba inajiandaa kutoa Sh miliini 85 pamoja na gari ili kufanikisha dili la kumsajili mchezaji huyo.Akizungumzia ishu hiyo, Kassa ambaye pia ni mchezaji wa zamani wa...

KESHO NDANI YA SPOTIXTRA JUMAPILI,

0

Kesho ndani ya SPOTIXTRA Jumapili usipange kukosa

AKITUA HUYU JANGWANI, ENEO LA KATI VITA YA NAMBA ITAKUWA SI MCHEZO

0

SALUM Abubakar,'Sure Boy' kiungo anayekipiga ndani ya Azam FC iwapo dili lake la kutua Yanga litajibu basi itaongeza vita ya namba.Kwa sasa Yanga ina viungo watano ambao wanacheza kati ikiwa ni pamoja na Haruna Niyonzima, Feisal Salum Fei Toto’, Issa Mohammed ‘Banka’, Papy Tshishimbi na Mapinduzi Balama ‘Kipenseli.Habari zinaeleza kuwa Yanga ipo kwenye hesabu za kukamilisha dili la nyota...

KMC WAPIGA MATIZI YAO BINAFSI, HIVI NDIVYO WANAVYOFUATILIWA

0

UONGOZI wa KMC umesema kuwa kwa sasa wachezaji wote wamepewa program ya kufanya wakiwa kwenye mapumziko kupisha maambukizi ya Virusi vya Corona.Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Habari wa KMC, Anwar Binde amesema kuwa wamekuwa wakiwafuatilia wachezaji wao kupitia mitandao ili kujua namna gani wanaendelea na mazoezi."Wachezaji wapo nyumbani kwa sasa wakiendelea na mazoezi binafsi ambayo wamepewa na benchi la...

ISHU YA CHAMA KUTUA YANGA IMEFIKIA HAPA

0

UONGOZI wa Yangaumesema kuwa hauwezi kushindwa kuinasa saini ya nyota wa Simba, Clatous Chama iwapo watahitaji kumpata.Kumekuwa na tetesi za Yanga kuiwinda saini ya Chama raia wa Zambia ambaye ana uwezo wa kubadili matokeo namna anavyotaka ambapo aliweza kufanya hivyo kwenye mechi mbili za kimataifa msimu wa 2018/19 mbele ya Nkana FC na AS Vita kwa kufunga mabao ya...

WACHEZAJI WA YANGA WATAKAOPUUZIA PROGRAM ADHABU INAWAHUSU

0

CHARLES Mkwasa, Kocha Msaidizi wa Yanga amesema kuwa wanawafuatilia wachezaji amba hawatafuata program waliyoachiwa adhabu itawahusu.Benchi la ufundi la timu hiyo chini ya Kocha Mkuu Luc Eymael waliwapa program hizo wachezaji wote ili kulinda viwango vyao.Mkwasa amesema:"Wachezaji tunawafuatilia kujua namna gani wanafanya mazoezi na hilo lipo wazi kwani kuna baadhi ambao wamekuwa wakionyesha kwamba wanatekeleza kile walichoambiwa."Tumeona kupitia video...

NYOTA WA AZAM FC WATUMIWA FEDHA ZA KUNUNULIA VIFAA ILI WAFANYIE MAZOEZI NDANI

0

 UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa umewatumia fedha wachezaji wao wawili, Yakub Mohamed na Razack Abarola kutokana na kushindwa kurejea nchini kwa sasa.Wachezaji hao walikuwa kwao Ghana kwa ajili ya mapumziko kufuatia Ligi Kuu Bara kusimama kwa muda.Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano wa Azam FC, Zakaria Thabith amesema kuwa kutokana na ugumu huo hawajui ni lini nyota...

ERASTO NYONI NA BAO LAKE TAIFA LILIIBUKA BAADA YA SIKU 676

0

ERASTO Nyoni beki kiraka wa timu ya Simba bao lake la kwanza la kichwa msimu huu ndani ya Ligi Kuu Bara aliwafunga Azam FC ambao ni mabosi wake wa zamani.Kwa sasa Ligi Kuu Bara imesimama kupisha maambukizi ya Virusi vya Corona.Nyoni alifunga bao hilo, Machi 3, wakati timu yake ikishinda mabao 3-2 mbele ya Azam FC, zikiwa zimepita siku...

KIWANGO CHA LUIS CHAMFANYA MUSA MGOSI KUSEMA HAYA..!!

0

NAHODHA wa zamani wa Simba ambaye ni miongoni mwa wachezaji waliojenga heshima Msimbazi, Musa Hassan ‘Mgosi’ amesema winga Luis Miquissone anaitendea haki jezi yake.Katika mahojiano maalumu na Mwanaspoti, Mgosi ambaye alikuwa anavaa jezi namba 11 ambayo anaitumia mchezaji huyo raia wa Msumbiji amesema tangu atundike daruga mwaka 2016 hakuna mchezaji aliyeitumia vyema namba hiyo kama anavyofanya Luis.Anasema jambo hilo...