MANE ASHAURIWA KUONDOKA LIVERPOOL
MSHAMBULIAJI wa zamani wa Klabu ya Leicester City, Diomansy Kamara amemshauri nyota wa Liverpool, Sadio Mane kusepa ndani ya klabu hiyo ili kupata changamoto mpya zitakazomfanya awe bora.Mane hesabu zake kubwa ni kupata Tuzo ya Mchezaji Bora wa Dunia (Ballon d'Or), mwaka jana alimaliza akiwa nafasi ya nne huku Lionel Messiwa Barcelona akiitwaa tuzo hiyo.Mane anayekipiga pia timu ya...
KARIA AITAJA SERIKALI KUHUSU HATMA YA LIGI KUU
Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia amesema kuendelea kwa Ligi Kuu na ligi nyingine kutategemea maelekezo ya Serikali kuhusu usalama na tahadhari ya ugonjwa wa covid-19 unaosababishwa na virusi vya corona.Serikali ilizuia shughuli zote za mikusanyiko ikiwamo za kimichezo kwa siku 30 kuanzia Machi 17 ikiwa ni kuchukua tahadhari ya mlipuko wa ugonjwa wa corona unaotikisa...
KUMBE ILE SARE YA MABAO 3-3 YA YANGA NA SIMBA, SIMBA WALILIA DAKIKA 15
BEKI wa Polisi Tanzania, Luccian William, 'Gallas' ambaye aliwahi kukipiga ndani ya Klabu ya Simba amefichua kuwa kwenye mechi waliyopindua mabao 3-3 mbele ya Yanga wachezaji walitumia dakika 15 kulia.Kwenye mchezo huo uliochezwa Oktoba 20,2013 Uwanja wa Taifa, Simba ilikwenda vyumba vya kubadilishia nguo ikiwa imechapwa mabao matatu kwa bila.Akizungumza na Saleh Jembe, Gallas amesema kuwa wachezaji walikata tamaa...
HUYU HAPA KIUNGO MPYA WA SIMBA KUTOKA CONGO..ANAKIPIGA AS VITA
SIMBA wameanza harakati za kumnasa kiungo nyota wa AS Vita Club ya DR Congo, Mukoko Tonombe, gazeti la Mwanaspoti limebaini.Hata kocha wa Vita, Florent Ibenge amethibitisha kwamba anaijua ishu hiyo ya Simba lakini anajua kwamba ni mchezaji mwenye mkataba hivyo anausikiliza uongozi.Habari zinasema kwamba Kocha Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck amewaambia viongozi kwamba anahitaji silaha zisizopungua nne kuimarisha kikosi...
KUHUSU KIWANGO CHAKE KUSHUKA..KICHUYA AMEFUNGUKA HAYA..!!
WINGA wa Simba, Shiza Kichuya alisajiliwa na timu hiyo wakati wa usajili wa dirisha dogo na mpaka sasa amecheza michezo miwili dhidi ya JKT Tanzania na Stand United.Mechi ya JKT Tanzania ilikuwa ni ya Ligi Kuu Bara na Stand United ulikuwa mchezo wa Kombe la Shirikisho (FA).Katika mchezo dhidi ya JKT Tanzania Kichuya alicheza dakika 45, za kipindi cha...
ALIYEZITESA SIMBA NA YANGA KWA SASA ANAPATA TABU KWELI
KASSIM Khamis, kiungo anayekipiga Azam FC anapitia wakati mgumu kwa sasa ndani ya klabu yake mpya hiyo.Simba na Yanga zilikuwa kwenye mvutano mkubwa wa kuinasa saini ya jamaa huyu wa Zanzibar ila mabosi wa Azam FC wakawazidi ujanja na kuipata saini ya nyota huyu aliyekuwa akikipiga Kagera Sugar.Amepita mikono ya makocha wawili alianza na Etienne Ndayiragije ambaye kwa sasa...
HUYU NDIYE AJIBU WA SIMBA TOFAUTI YAKE NA YULE WA YANGA
Ibrahim Ajibu, kiungo huyu mshambuliaji wa Simba alikuwa na wakati mzuri alipokuwa ndani ya Yanga msimu wa 2018/19 tofauti yake na yule wa Yanga ambaye alikuwa anapewa nafasi kikosi cha kwanza.Usajili wake ulitikisa Bongo kutokana na dili lake la kujiunga TP Mazembe kuja wakati wa usajili ila danadana zikawa nyingi akaibukia Simba.Wakati akiwa Yanga alitupia mabao sita na alikuwa...
KIONGOZI SIMBA ALIPATA TABU SANA NA BAO LA MORRISON ALILITAZAMA KWENYE WHATSAPP
OFISA Habari wa Simba, Haji Manara amefunguka kuwa bao ambalo walifungwa na Yanga kwenye mechi ya Dabi ya Kariakoo Machi 8, aliliangalia kwenye Makundi ya WhatsApp baada ya kushindwa kutazama mechi hiyo.Manara amesema kwamba bao hilo alishindwa kulitazama kwa sababu alizima simu zake ambazo zilikuwa na uwezo wa kutazama mechi hiyo. Wakati wa mechi hiyo Manara alikuwa nchini Hispania.Bao...
GSM NA YANGA SASA WAJA NA STAILI MPYA YA USAJILI
WADHAMINI wa Yanga, Kampuni ya GSM wamerejea kivingine klabuni hapo na safari hii wamekuja na staili mpya ya usajili kwa wachezaji wa kimataifa ambayo ili usajiliwe ni lazima uichezee timu ya taifa ya nchi yako.Hiyo ikiwa ni siku chache tangu GSM watangaze kurejea kuendelee na udhamini wa nje ya mkataba ikiwemo posho, mishahara wa wachezaji na benchi la ufundi,...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumamosi