HAWA HAPA WANAOMBEBA FEI TOTO YANGA

0

FEISAL Salum, kiungo wa Yanga amesema kuwa uwepo wa Haruna Niyonzima na Papy Tshishimbi umekuwa ukimfanya kuwa Bora.Kabla ya Ligi Kuu Bara kusimamishwa ili kupisha maambukizi ya Virusi vya Corona Fei alikuwa kwenye ubora wake na kwenye mechi dhidi ya Simba Machi 8 Uwanja wa Taifa alitibua mipango ya wapinzani wake.Mchezo huo Yanga ilishinda bao 1-0 na kuwafanya wasepe...

TOTTHENHAM, JUVENTUS USO KWA USO KWA KIUNGO WA CHELSEA

0

WILLIAN nyota anayekipiga ndani ya Chelsea amewekwa kwenye rada za Juventus na Tottenham ambazo zimetajwa kumuwinda kiungo huyo.Willian alikuwa akihusishwa kutimka ndani ya Klabu ya Chelsea katika usajili uliopita lakini sasa Juventus wanaonekana kushikilia bango la kutaka kumsajili.Imeelezwa kuwa nyota huyo anataka kusalia ndani ya London hivyo huenda Spurs wakaipata saini yake.Kiungo huyo mpaka sasa hana uhakika wa kubaki...

HUSSEIN MACHOZI: CORONA IMETUFANYA TUSHINDE NDANI

0

HUSSEIN Machozi Mwana BongoFleva anayeishi Italia amesema kuwa maambukizi ya Virusi vya Corona yamewafanya wajifungie ndani muda mwingi.Machozi kwa sasa kazi zake za muziki anazifanyia nchini Italia ambapo kumekuwa na ripoti kwamba hali ya maambukizi ni kubwa. "Kiukweli hakuna anayethubutu kuchungulia nje, mji wote upo kimya hakuna mtu ambaye yupo mtaani kwa kuhofia kuathirika."Polisi nao wapo mtaani wanazunguka wakiwatafuta wale...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTIXTRA ALHAMIS

0

Muonekano wa Ukurasa wa mbele Gazeti la SpotiXtra Alhamisi lipo mtaani

PASCAL WAWA: TUCHUKUE TAHADHALI NA CORONA

0

BEKI kisiki wa Simba, Pascal Wawa, amesema kuwa Virusi vya Corona siyo vya kuchukulia utani, ni lazima kila mmoja achukue tahadhari.Wawa amesema kuwa kwa sasa anafanyia mazoezi ndani kutokana na kuchukua tahadhari ya Virusi vya Corona.“Nipo nyumbani na hali bado haijawa nzuri kwa sasa tunaomba Mungu mambo yarudi kama zamani kwani kwa sasa ninafanyia mazoezi nyumbani, hivyo ni lazima...

JUVENTUS WAISAKA SAINI YA MTUPIAJI HARRY KANE

0

HARRY Edward Kane nyota wa Spurs anasumbuliwa na msuli wa nyama za paja jambo lililomuweka nje ya Uwanja kwa muda mrefu .Amezaliwa Julai 28,1993, England anavaa jezi namba 10 inaelezwa kuwa anahitaji kusepa ndani ya kikosi hicho huku ikitajwa kuwa Juventus ikitajwa kuiwinda saini yake.Nyota huyo amecheza mechi 20 na amefunga mabao 11 kwenye Ligi Kuu England.

SURE BOY WA AZAM FC RUKSA KUIBUKIA YANGA

0

SALUM Abubakar ‘Sure Boy’ amepewa ruhusa ya kujiunga na Yanga ama klabu yoyote inayomuhitaji kama wataenda mezani na kuafikiana kuhusu dau.Sure Boy amecheza kwa mafanikio makubwa katika kikosi cha Azam FC kwa kipindi cha zaidi ya miaka 10 sasa huku kukiwa na taarifa ya Yanga kuhitaji huduma yake.Zakaria Thabith ‘Zaka Zakazi’, Ofisa Habari wa Azam FC amesema wao wako tayari kumuuza...

LIVERPOOL YAJIPANGA KUMREJESHA NYOTA WAO WA ZAMANI STERLING WA CITY

0

IMERIPOTIWA kuwa timu ya Liverpool ipo kwenye mpango wa kumrejesha nyota wao wa zamani Raheem Sterling anayekipiga ndani ya Manchester City pamoja na timu ya Taifa ya England.Nyota huyo alitimka ndani ya Liverpool mwaka 2015 Kwa dau la pauni milioni 49 alikuwa amecheza mechi 95 na kufunga mabao 18.Sterling mwenye miaka 25 hakuwa tayari kuzungumzia suala hilo kwenye mahojiano...

MECHI KALI ZA NIYONZIMA ALIPOKUWA SIMBA HIZI HAPA

0

HARUNA Niyonzima alipokuwa akikipiga Simba msimu wa 2018/19 alifeli kucheza mechi nyingi kutokana na majeraha ya kifundo cha mguu na alikaa nje ya Uwanja nusu msimu.Anasema kuwa mechi zake kali na za kumvutia ni dhidi ya AS Vita ambapo Simba ilishinda mabao 2-1 Uwanja wa Taifa ulikuwa ni wa Ligi ya Mabingwa Afrika na ilitinga hatua ya robo Fainali.Mechi...