SportPesa, SIMBA YATOA VIFAA KWA MICHEZO KWA TIMU TATU BONGO
KAMPUNI ya SportPesa kwa kushirikiana na Simba SC leo imetembelea baadhi ya vituo vya soka na kugawa vifaa vya michezo kwa timu.Jumla ya vituo vitatu vimenufaika na mpango huu ambao lengo lake ni kukuza soka la ndani ya nchi ikiwa ni pamoja na:Green Warriors - MwengeBoom FC - BungoniTandika Rangers – Tandika
MORGAN GIGGS-WHITES KINDA WA WOLVES ANAYETUMAINIWA KUFANYA MAAJABU
KIUNGO wa Wolves, Morgan Gibbs-Whites msimu uliopita alikuwa kwenye maandalizi kwa ajili ya msimu ujao unaotarajiwa kuanza kutimua vumbi Agosti 9.Kinda huyo anayekipiga Wolves ana umri wa miaka 19 tu na ameshaanza kupata uzoefu wa kucheza mechi kubwa na ngumu ndani ya Premier League.Msimu uliopita alicheza jumla ya mechi 26 na ameanza kwenye jumla ya mechi saba ambazo zote...
YANGA YAINGIA ANGA ZA SIMBA ISHU YA MAVAZI
KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amesema kuwa kama Kocha Mkuu wa Simba ataamua kuendelea kuvaa mavazi meupe hawezi kumshangaa kwani ni maamuzi yake.Patrick Aussems, Kocha Mkuu wa Simba anapenda kuvaa mavazi meupe akiamini kwamba yanabeba bahati ya ushindi hata jana pia uwanja wa Taifa alitupia mavazi hayo na timu yake ikashinda mabao 3-1 dhidi ya Power Dynamo.Zahera amesema...
AZAM FC YAWAPNGA MKWARA MZITO FASIL KENEMA
AZAM FC, mabingwa wa kombe la Shirikisho wametia timu nchini Ethioppia tayari kwa ajili ya mchezo wao dhidi ya Fasil Kenema.Mchezo wa kwanza Azam itaupiga Agosti 11 kabla ya kurudiana na timu hiyo baada ya wiki mbili ndani ya jiji la Dar.Ofisa Habari wa Azam FC, Jaffary Maganga amesema kuwa kikosi kipo salama na kila kitu kinakwenda sawa."Kikosi cha...
MBELGIJI WA SIMBA ATOA NEO KWA MASTAA WAKE, YANGA KUMENOGA, KESHO SPOTIXTRA
KESHO mambo ni moto ndani ya Gazeti la SPOTIXTRA Alhamis.
WANNE KMC WA KIMATAIFA KUIKOSA AS KIGALI, KISA CAF
KIKOSI cha KMC kesho kinatarajia kukwea pipa kielekea nchini Rwanda kwa ajili ya mchezo wa kimataifa dhidi ya AS Kigali.KMC itacheza mchezo wake wa kwanza Agosti 10 nhini Rwanda na AS Kigali kabla ya kurudiana na wapinzani hao jijini Dar baada ya wiki mbili.Ofisa Habari wa KMC amesema kuwa:-" Wachezaji 18,benchi la Ufundi pamoja na viongozi watakua katika msafara...
NYOTA MPYA WA YANGA, RAIA WA RWANDA ATUMIKA KWENYE UTAPELI, AFUNGULIWA AKAUNTI NNE
KIUNGO mshambuliaji mpya wa Yanga, Mnyarwanda, Issa Bigirimana ‘Walcott’ amekiona cha moto baada ya ‘wahuni’ kufanya utapeli kwa kutumia akaunti yake.Mnyarwanda huyo ni kati ya wachezaji wapya waliosajiliwa na timu hiyo kwa ajili ya msimu ujao, wengine baadhi ni Patrick Sibomana, Maybin Kalengo, Farouk Shikalo na Sadney Urikhob.Sibomana amesema kuwa watu wasiojulikana wametengeneza akaunti ‘fake’ ya Instagram wanaoitumia vibaya...
MK 14 APIGA PICHA NA MCHEZAJI MPYA KIRAKA WA SIMBA KIPENZI CHA MASHABIKI
MOHAMMED Dewji, 'Mo', Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugezi ndani ya Simba leo ameweka picha yake kwenye ukurasa wake wa Instagram akiwa na mshambuliaji wa kimataifa, Meddie Kagere 'MK 14'.Jana kwenye utambulisho wa wachezaji wapya wa Simba, Mo alitambulishwa kama mchezaji mpya ambaye anacheza namba zote uwanjani kuanzia golikipa, beki, mshambuliaji na kiungo.Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara alisema: "Sasa...
MSHAMBULIAJI WA YANGA AWAPANIA TOWNSHIP ROLLERS
JUMA Balinya, mshambuliaji wa timu ya Yanga amesema kuwa aanaanza kazi rasmi mbele ya Township Rollers baada ya kushindwa kutupia bao kwenye mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ua Kariobangi Sharks.Yanga itamenyana na Township Rollers Jumamosi, uwanja wa Taifa ikiwa ni mchezo wa awali wa Ligi ya Mabingwa Afrika.Balinya alifunga mabao 19 akiwa na Polisi ya Uganda msimu uliopita amesema...
MABINGWA SIMBA KUKWEA PIPA IJUMAA KUWAFUATA UD SONGO KWA ‘DEGE’ LA KUKODI
CRESCENTIUS Magori, Mtendaji Mkuu wa klabu ya Simba amesema kuwa maendeleo ya kikosi cha Simba kimataifa yapo sawa na wana matumaini ya kupata matokeo chanya.Simba itamenyana na UD Songo mabingwa wa Msumbiji Agosti 6 wanatarajia kuondoka Ijumaa kwa ndege ya kukodi."Timu itaondoka Ijumaa asubuhi kuelekea Msumbiji kwa ndege ya kukodi na tutarejea baada ya mechi kumalizika kuja kujiandaa na...