AZAM FC, mabingwa wa kombe la Shirikisho wametia timu nchini Ethioppia tayari kwa ajili ya mchezo wao dhidi ya Fasil Kenema.
Mchezo wa kwanza Azam itaupiga Agosti 11 kabla ya kurudiana na timu hiyo baada ya wiki mbili ndani ya jiji la Dar.
Ofisa Habari wa Azam FC, Jaffary Maganga amesema kuwa kikosi kipo salama na kila kitu kinakwenda sawa.
“Kikosi cha Azam FC kimewasili leo salama mjini Bahir Dar, Ethiopia na kufikia kwenye Hoteli ya Solyana na Jumapili tutacheza mchezo wetu wa kimataifa, tupo tayari kwa ushindani,” amesema.
Sign in
Welcome! Log into your account
Forgot your password? Get help
Password recovery
Recover your password
A password will be e-mailed to you.