AZAM FC YAPANIA KUFANYA MAAJABU KWA WAETHIOPIA JUMAPILI
KIKOSI cha mabingwa wa kombe la Shirikisho Azam FC kimepania kufanya maajabu kwenye mchezo wao utakaochezwa Jumapili nchini Ethiopia dhidi ya Fasil Kenema.SAzam FC kwa sasa ipo nchini Ethiopia kwa ajili ya maandalizi ya mwisho ya mchezo wao wa kwanza Agosti 11 kabla ya kurudiana na timu hiyo baada ya wiki mbili ndani ya jiji la Dar.Jaffary Maganga, Ofisa...
CHELSEA YAKUBALI KUMUACHIA NYOTA WAO LUZ KWA HASARA KUTUA ARSENAL
ARSENAL inatakiwa ivunje kibubu na kuweka mezani dau la pauni milioni 12 Kwa Chelsea ili kumpata nyota David Luiz.Beki huyo raia wa Brazil amewaambia mabosi wake kuwa anataka kusepa ndani ya kikosi hicho na bosi mpya Frank Lampard akamwambia haina noma waweza kusepa.Chelsea ilimnasa nyota huyo mwaka 2016 kwa dau la pauni milioni 32 wamekubali dau dogo ili kupata...
MABOSI MANCHESTER CITY WAKUBALIANA KUMPA NAMBA MPYA NYOTA WAO MPYA
MABOSI wa Manchester City wamethibitisha kwamba nyota mpya aliyejiunga nao kwa ajili ya msimu ujao atatumia jezi namba 27.Joao Cancelo amekamilisha usajili wake ndani ya kikosi cha Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu England akitokea klabu ya Juventus kwa dau la pauni milioni 26.Nyota huyo mwenye umri wa miaka 25 ni pendekezo la Meneja Pep Guardiola na anakuwa mchezaji wa...
TANZANITE: TUNAWANYOOSHA AFRIKA KUSINI LEO
BAKARI Shime, Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Wanawake chini ya miaka 20 'Tanzanite' amesema kuwa kikosi kipo sawa kwa ajili ya mchezo wa leo dhidi ya Afrika Kusini.Leo Tanzanite itashuka uwanjani kumenyana na timu ya Taifa ya Afrika Kusini kwenye mchezo wa michuano ya COSAFA inayoendelea nchini Afrika Kusini.Akizungumza na Saleh Jembe, Shime amesema kuwa mchezo utakuwa...
WAPINZANI WA YANGA KIMATAIFA KUTUA BONGO LEO
WAPINZANI wa Yanga kimataifa kwenye mchezo wa awali unaotarajiwa kuchezwa Agosti 10 uwanja wa Taifa Township Rollers wanatarajia kutua Bongo leo.Yanga itakuwa mwenyeji kwenye mchezo wa awali utakaochezwa uwanja wa Taifa.Mchezo wa marudio unatarajiwa kuchezwa kati ya Agosti 23-25 ambapo Yanga itakwea pipa kuwafuata wapinzani wake kwa ajili ya mchezo wa marudio.
KAPOMBE: NIMERUDI SASA NI KAZI JUU YA KAZI KITAIFA NA KIMATAIFA
SHOMARI Kapombe, beki wa Simba amesema kuwa kwa sasa yupo fiti na anaimani ya kufanya vizuri ndani ya Simba kwenye michuano ya kitaifa na kimataifa.Kapombe alikuwa anasumbuliwa na majeraha kwa muda mrefu kwa sasa amerejea kwenye ubora wake na alikuwa ni sehemu ya kikosi kilichocheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Power Dynamo ya Zambia ambapo Simba ilishinda mabao 3-1.Kapombe...
YANGA: TOWSHIP ROLLERS WETU KABISA, MASHABIKI WATUPE SAPOTI
MWINYI Zahera, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa hana mashaka na kikosi alichonacho kwa sasa kwani kitampa matokeo chanya kimataifa.Yanga Jumamosi itakuwa uwanja wa Taifa ikicheza mchezo wa awali dhidi ya Township Rollers kabla ya kurudiana nao ugenini kati ya Agosti 23-25.Akizungumza na Saleh Jembe, Zahera amesema kuwa anaona namna kikosi kinavyopambana na anaimani kwamba kitapata matokeo chanya kwenye...
NYOTA HUYU AANDALIWA KUWA MRITHI WA DAVID SILVA NDANI YA MANCHESTER CITY
PHIL Foden, kiungo mshambulijaji ni miongoni mwa nyota wenye kipaji cha hali ya juu ambacho wapo nacho kati ya wachezaji vijana ambao wanakipiga Ligi Kuu England.Nyota huyu anakipiga Manchester City ana umri wa miaka 19 na msimu uliopita alicheza jumla ya michezo 25 na timu yake ilitwaa ubingwa kati ya hiyo ni mitatu tu alianza.Mpaka sasa amebaki ndani ya...
SIMBA IPO BIZE NA MCHAKATO WA KUIREJESHA MIKONONI MWA WATU, KILA MMOJA KUWA SEHEMU YA MAFANIKIO
MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ndani ya Simba, Mohammed Dewj 'Mo' amesema kuwa anapenda kuona timu ya Simba inafikia hatua kubwa ya mafanikio kitaifa na kimataifa.Mo amesema kuwa mpango ambao upo kwa sasa kati ya uongozi ni kuirejesha timu mikononi mwa watu ili nao wawe sehemu ya historia ya mafaniko ya kikosi hicho."Naipenda timu ya Simba na ninawapenda mashabiki...
POLISI TANZANIA: MSIMU UJAO MAMBO YATAKUWA MOTO, MDHAMINI MKUU PASUA KICHWA
SELEMAN Matola, Kocha wa Polisi Tanzania amesema kuwa ushindani msimu ujao utakuwa mgumu kutokana na timu zote kujipanga kwa ushindani.Matola amesema kuwa kila kitu kinakwenda sawa kwa timu nyingi kujipanga kiushindani licha ya kutototangazwa kwa mdhamini mkuu."Ushindani msimu ujao utakuwa mkubwa na kila timu imejipanga, ila changamoto kubwa ambayo ipo kwa sasa ni kwa upande wa mdhamini mkuu kwani...