Cech arejea Chelsea bila ya ‘Helmet’ yake!

0

Mlinda mlango wa zamani wa Timu ya Taifa ya Czech, Peter Cech amerejea tena katika viunga vya jiji la London karibu kabisa na daraja la Stanford kuendeleza makali yake katika soka lakini wakati huu akiwa mshauri wa Ufundi na Uwezo wa klabu ya Chelsea.Klabu hiyo imemtangaza Cech jana asubuhi ambaye amehudumu kwenye klabu hiyo kwa michezo 494...

MISRI YAANZA AFCON NA USHINDI MWEMBAMBA DHIDI YA ZIMBABWE

0

TREZEGUET AKIWA NA SALAHWenyeji wa michuano ya Afcon, Misri wameanza michuano hiyo kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Zimbabwe.Mechi hiyo ya ufunguzi wa michuano ya Afcon kwenye Uwanja wa Taifa jijini Cairo, Misri walikwenda mapumziko wakiwa na bao 1-0, mfungaji akiwa Mohamed Trezeguet.Hata hivyo, Khama Billiat wa Zimbabwe ndiye alikuwa msumbufu zaidi upande wa ngome ya Misri na...

MUONEKANO WA GAZETI LA CHAMPIONI LEO JUMAMOSI NI BAB KUBWA AISEE, PATA NAKALA YAKO SASA

0

Ukurasa wa mbele wa gazeti la Championi leo Jumamosi

SIMBA YAZIFIKIRIA WAYDAD CASSABLANCA, MAZEMBE NA ESPERANCE, YANGA YAENGULIWA

0

Baada ya kupata saini ya Mbrazil Wilker Henrique da Silva, Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara amesema kuwa kwa sasa wanazifikiria klabu kubwa kama Waydad Cassablanca, TP Mazembe na Esperance ambazo wanastahili kushindana nazo na si Yanga.Hii ni kwa mujibu alichokiandika Manara kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii.

NYIMBO MAALUM ALIYOIMBIWA HAJI MANARA NA YANGA KISA KUOMBA KIWANJA HII HAPA – VIDEO

0

Nyimbo maalum aliyoimbiwa Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara, na mashabiki wa Yanga kufuatia kitendo chake cha kuomba klabu yake ipewe uwanja.

NI VITA!! USAJILI MWINGINE UTAKAOSIMAMISHA NCHI SIMBA HUU HAPA – VIDEO

0

Simba ipo kwenye mipango ya kukamilisha taratibu za kumsajili mshambuliaji mzambia wa Orlando Pirates ya nchini afrika kusini, Justin Shonga.Timu hiyo imepanga kufanya usajili bab kubwa katika kukiimarisha kikosi chao kinachojiandaa na Ligi ya Mabingwa Afrika na Ligi Kuu Bara.Simba hadi sasa imewasajili wachezaji wawili ambao ni Beno Kakolanya aliyekuwa Yanga na Kennedy Juma wa Singida United.

NAMNA HAJI MANARA ALIVYOWAONEA GERE YANGA KISA ENEO – VIDEO

0

Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, Jumamosi iliyopita kutangaza kuipa Yanga uwanja maeneo ya Kigamboni jijini Dar. Makonda alitoa ahadi hiyo katika hafla ya Kubwa Kuliko ambapo Yanga iliendesha harambee ya kuichangia klabu yao. JUNI 20, 2019 baada ya Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara kumuomba Makonda na wao awapatie uwanja kama alivyofanya kwa Yanga. Manara aliyasema hayo jana wakati akitoa...

SERIKALI YATOA MASHARTI JUU YA ENEO WALILOPEWA YANGA KIGAMBONI

0

Baada ya kuwapa Yanga eneo la kujenga Uwanja, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, ametoa maagizo ya kuhakikisha kuwa uwanja huo unajengwa.Hatua hiyo imekuja mara baada ya kutoa uwanja huo na kutoa maagizo hayo ili kazi ianze mara moja.Maagizo ya Makonda yamekuja kufuatia siasa za soka la bongo ambazo zimekuwa zikikwamisha maendeleo haswa kwa klabu za...

MAKONDA ABEZWA JUU YA KUWAPA YANGA KIWANJA – VIDEO

0

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema alibezwa na baadhi ya watu alipotangaza kuipa Yanga eneo.“Wapo waliosema nawapa eneo la Manji (Yusuf aliyekuwa Mwenyekiti wa Yanga ambaye alitangaza kuwapa eneo Gezaulole).“Kila mmoja aliongea lake, ilikuwa ni changamoto kubwa, lakini sasa nimekata mzizi wa fitina,” amesema Makonda leo wakati akikabidhi kiwanja hicho eneo la Kisarawe, Kigamboni.Alisema ametoa...

SIMBA YATOA DOZI JIJINI MWANZA, YAITANDIKA GWAMBINA 4-2

0

Simba SC imeibuka na ushindi wa mabao 4-2 yaliyopatikana kwa njia ya penati dhidi ya Gwambina FC jijini Mwanza.Ushindi huo umepatikana kufuatia dakika 90 kumalizika kwa sare ya 1-1 katika dakika 90 za mchezo.Walikuwa ni Gwambina FC walioanza kupata bao lao dakika ya 49 ya mchezo kupitia kwa Anuar Jabir mnamo dakika ya 49.Bao hilo lilidumu hadi dakika ya...