Miraji avunja kanuni ya saa saba kamili?

0

Winga wa klabu ya Lipuli Fc yenye makazi yake mjini Iringa, Miraj Athumani, huenda anaelekea katika klabu ya Simba Sc baada ya kupost picha yake leo akiwa pembeni ya bango la Simba Sc.Miraji aka Sheva, mfungaji wa mabao 7 msimu uliopita alikuwemo katika kikosi ha wachezaji 32 kilichoenda Misri. Alichujwa katika awamu ya mwisho kupata kikosi cha...

WENGINE WAWILI WASAINI LEO AZAM FC

0

UONGOZI wa Azam FC chini ya Ofisa Mtendaji Mkuu, Abdulkarim Amin kwa kushirikiana na benchi la ufundi lililo chini ya Kocha Mkuu, Ettiene Ndayiragaje umewaongezea mkataba wachezaji wake wawili leo ili waendelee kuitumikia timu hiyo msimu ujao.Nyota hao wawili mikataba yao ilikuwa inamalizika ni pamoja na mlinda mlango Benedict Haule na kiungo Braison Raphael wote wameongeza kandarasi ya mwaka...

LORI LAGONGA TRENI DODOMA, 29 WAJERUHIWA

0

Watu 29 wamejeruhiwa baada ya lori kugonga treni jijini Dodoma. Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Protas Katambi, amesema leo asubuhi Jumanne Juni 18, 2019, kuwa ajali hiyo imetokea jana saa 5.30 usiku.Amesema ametoa maagizo kwa vyombo vya usalama kumsaka dereva wa lori ambaye inasemekana aliruka kutoka kwenye lori baada ya ajali hiyo kisha kutokomea kusikojulikana.Shughuli ya kuondoa mabehewa ya...

BEKI KENYA AZUA GUMZO AFCON

0

MLINZI wa timu ya taifa ya Kenya (Harambee Stars), Joash Abong’o Onyango,  amezua mijadala kwenye mitandao ya kijamii baada ya picha yake kusambaa akiwa akiwa na mwonekano mpya wakati wa maandalizi ya fainali za AFCON 2019.OnyangoliJanuari 31, 1992, hivi sasa ana umri wa miaka 27, lakini baadhi ya wadau katika mitandao hiyo wamedai kuwa muonekano wake na umri anaotajwa...

MANCHESTER UNITED WAMTAKA KIUNGO WA WESTHAM UNITED

0

 MANCHESTER UNITED imewasiliana na uongozi wa West Ham United kuona namna gani wanaweza wakakamilisha dili la kumpata mchezaji Declan Rice.United wameonyesha uhitaji mkubwa wa kumpata kiungo huyo wa West Ham baada ya kufanya vizuri ndani ya Premier League.Meneja wa Manchester United Ole Gunnar Solskjaer kwa sasa yupo kwenye mchakato wa kujenga kikosi upya na ana mipango ya kuwahi kuanza...

YANGA YASIMAMISHA ZOEZI LA USAJILI

0

UONGOZI wa Yanga umesema kuwa kwa sasa hauna hesabu za kusajili wachezaji wengine wa kigeni baada ya kukamilisha asilimia 90 za wachezaji waliokuwa wanahitajika na Kocha Mkuu, Mwinyi Zahera.Mwenyekiti wa Yanga, Dk.Msindo Msolla amesema kuwa kwa sasa hawana mpango wa kugombea wachezaji wa kigeni."Tumekamilisha zoezi la usajili kwa wachezaji wa kigeni ambao walikuwa ni pendekezo la Kocha Mwinyi Zahera,...

Mwinyi Haji anaelekea Kinondoni…

0

Beki wa kushoto wa klabu ya Yanga Mwinyi Hajji yupo katika rada za wana “Kino Boys” KMC ili kukiimarisha kikosi chao.Mwinyi Haji tayari amemaliza mkataba wake na Yanga na mpaka sasa uongozi wa Yanga upo kimya huku nafasi yake akiwepo Gadiel Michael na pia akiongezwa Mrundi Sibomana hivyo kuzidi kuweka ufinyu wa nafasi katika klabu ya YangaThe...

Wachezaji waliokamilisha usajili Ligi Kuu 2019/20

0

Tunaendelea kujaza wachezaji ambao wanajiunga/kuongeza mikataba katika vilabu vya Ligi Kuu kwa msimu wa Ligi Kuu 2019/20. Hii ni kwa mujibu wa taarifa tunazozipata kupitia klabu husika tu.#MchezajiTimuNafasi1Aishi ManulaSimba SCKipa2Beno KakolanyaSimba SCKipa3Bigirimana BlaiseNamungo FCKiungo4Charles Martin IlanfiaKMC FCKiungo5Daniel JoramNamungo FCKiungo6Erasto E. NyoniSimba SCMlinzi7Hassan Salum KabundaKMC FC8John R. BoccoSimba SCStraika9Jonas MkudeSimba SCKiungo10Jukumu Joachim KibandaNamungo FCMlinzi11Juma KennedySimba SCMlinzi12Meddie KagereSimba SCStraika13Mwadini AliAzam FCKipa14Rehani...

BREAKING: BEKI MWILI JUMBA AMLIZANA NA SIMBA LEO MIAKA MIWILI

0

MCHEZAJI wa Singida United, Keneddy Juma ''mwili jumba' leo ametangazwa kujiunga na kikosi cha Simba kwa kandarasi ya miaka miwili.Juma anakuwa mchezaji wa pili kwa Simba kupewa mkataba mpya baada ya mlinda mlango Beno Kakolanya kusaini kandarasi ya miaka miwili ndani ya Simba.