MCHEZAJ YANGA AAMUA KUFUNGUKA JUU YA KIWANGO CHA TIMU YAKE
Mchezaji wa zamani wa Yanga, Bakari Malima, amesema kuwa kiwango cha timu hiyo kwa sasa kimezidi kuongezeka.Malima ameeleza namna uchezaji wa Yanga unavyoenda hivi...
SIMBA HII SHANGWE TU
KIUNGO wa Simba, Gerson Fraga, amethibitisha kuwa yeye ni Mbrazil halisi, baada ya jana kuweka nyavuni mabao yote mawili katika mchezo wa Ligi Kuu...
KOCHA SIMBA AKASIRIKA, AJA NA MBINU MBADALA
KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vanderboeck raia wa Ubelgiji amekasirishwa na kitendo cha wachezaji wake kuwaruhusu wapinzani kuingia na mpira ndani ya 16, hivyo...
NAMNA FIFA ILIVYOINGILIA USAJILI WA MIQIUSSONE SIMBA
SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (Fifa) limemtaka kiungo wa Simba, Luis Jose Miquissone kuwaandika barua ya kuchagua wapi anataka kucheza kati ya Simba na...
YANGA YAITWANGA MTIBWA 1-0
Kikosi cha Yanga kimeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mtibwa Sugar, mechi ya Ligi Kuu Bara iliyochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es...
YANGA NA MTIBWA KAZI IPO, REKODI ZAO NI BALAA
LEO Uwanja wa Taifa kutakuwa na kazi moja tu Yanga ya Luc Eymael itamemyana na Mtibwa Sugar ya mzawa Zuber Katwila ambaye ni bingwa...
KIKOSI CHA YANGA DHIDI YA MTIBWA SUGAR
Kikosi cha Yanga kitakachoanza dhidi ya Mtibwa Sugar, mechi ya Ligi Kuu Bara1-Metacha Mnata2-Juma Abdul3-Jaffar Mohamed4-Lamine Moro5-Said Juma Makapu6-Papy Tshishimbi7-Patrick Sibomana8-Haruna Niyonzima9-David Molinga Falcao10-Mapinduzi...
JEMBE AWASHUKURU WASOMAJI WAKE WAKATI AKIONGEZA MWAKA MWINGINE
FEBRUARI, Mosi,2020 ni siku ambayo Mungu alimpa zawadi ya maisha mapya ndani ya Dunia na ardhi ya Tanzania ndipo alipoanzia kuhesabu Baraka zake.Leo ni...










