RUVU SHOOTING YAPANIA KUSUKA KIKOSI CHA MAANGAMIZI

0

OFISA Habari wa kikosi cha Ruvu Shooting, Masau Bwire amesema kuwa kwa sasa wanajipanga kusuka upya kikosi cha maangamizi msimu ujao ili wafikie malengo.Ruvu Shooting msimu wa mwaka 2018/19 walikuwa kwenye hatihati ya kushuka daraja kutokana na kuwa na mwenendo mbovu hali iliyowafanya washtuke mapema kabla ya msimu mpya kuanza."Tulipambana kiasi cha kutosha msimu huu ila haikuwa bahati yetu...

Samatta anatafutwa EPL

0

Mtandao maarufu wa The Sun  wa nchini Uingereza umeripoti kuwa klabu nne zinahitaji huduma ya Mtanzania Mbwana Samatta (26) anayeichezea klabu ya KRC Genk ya Ubeligiji.Aston Villa(Timu iliopanda ligi kuu msimu huu), Leicester, Watford na Burnley ni miongoni mwa klabu ambazo zimetenga kitita cha fedha kupata saini ya Samatta.Samatta amekuwa na msimu wenye mafanikio baada ya kuifungia...

VIDEO: MRITHI WA MAKAMBO KUTUA YANGA – VIDEO

0

Mshambuliaji nyota wa timu ya Taifa ya Namibia, Sadney Urikhob yuko katika hatua za mwisho kujiunga na Klabu ya Yanga.Wakati Urikhob akijiandaa kutia saini mkataba na klabu hiyo, beki Gadiel Michael ametia saini mkataba wa miaka mitatu kuendelea kuitumikia Yanga.Urikhob alitarajiwa kuwasili nchini Juni 4, 2019 usiku na kutia saini mkataba wa miaka miwili kabla ya kurejea katika kambi...

RAIS CAF AKAMATWA NA POLISI AKIWA HOTELINI

0

Rais wa Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) Ahmed Ahmed amekamatwa na Polisi wa kuzuia rushwa nchini Ufaransa.Ahmad amekamatwa akiwa Hotelini Mjini Paris, Ahmed alikuwa kwenye hotel ambayo alikuwa akikaa wakati akihudhuria mkutano Mkuu wa FIFA.Taarrifa zinasema kuwa inadaiwa Rais huyo anatuhumiwa kwa matumizi mabaya ya ofisi na Rushwa.

KMC WAIPA AZAM FC KOCHA

0

UONGO ZI wa wa timu yamanispaa ya Kinondoni, KMC umesema kuwa hauna tatizo na kocha Etienne Ndayiragije iwapo atahitaji kuondoka kwani ni maisha ya soka yalivyo.Imeelezwa kuwa Ndayiragije tayari amenaswa na uongozi wa Azam FC kwa ajili ya kubeba mikoba ya aliyekuwa kocha mkuu Hans Pluijm aliyefungashiwa virago kwa kile kilichoelezwa kufanya vibaya kwenye ligi.Meya wa Manispaa ya Kinondoni,Benjamini Sita amesema kwa...

AZAM KUIFUMUA YANGA, KMC

0

UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa utamtangaza kocha wa kikosi hicho hivi karibuni huku akidokeza kuwa anatoka ndani ya Ligi ya bongo.Ofisa Mtendaji Mkuu wa Azam FC, Abdulkarim Popat amesema ni suala la muda kwa kuwa mipango ipo sawa."Kila kitu kwa sasa kipo sawa na tutamtangaza kocha muda wowote hivi karibuni, anaweza kuwa wa KMC,(Etiene Ndiyaragije), ama yule wa...

ZAHERA ALIAMSHA DUDE YANGA, AWAGOMEA MAKOCHA WAZAWA

0

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amesema kuwa hatokuwa tayari kufanya kazi na kocha mzawa ambaye atatafutiwa na viongozi wa Yanga.Zahera amesema ameskia taarifa za viongozi wa Yanga kuanza kufanya mchakato wa kumtafutia kocha msaidizi kwa ajili ya msimu ujao ambaye atakuwa mzawa jambo ambalo hakubaliani nalo."Najua kuna matatizo makubwa sana kufanya kazi na mzawa, haina maana kwamba hawezi...

MCHUNGAJI MASHIMO, MANARA HAPATOSHI!

0

MCHUNGAJI wa Kanisa la Emmaus Bible Church, Daudi Mashimo amemtaka Msemaji wa Timu ya Simba, Haji Manara kumuomba radhi msanii Amber Rutty baada ya kumkashfu mitandaoni.Hivi karibuni, Mashimo alisema Timu ya Simba haiwezi kuwa bingwa, lakini matokeo yakawa kinyume chake ambapo mapaparazi wachokozi walimuuliza Manara anauchukuliaje utabiri wa mchungaji huyo ndipo akasema;“Akamtabirie Amber Rutty atapiga tena lini zile ‘picha...

EXCLUSIVE: KAPOMBE ATEMWA RASMI TAIFA STARS

0

Na George MgangaBeki wa kulia wa Simba Shomari Kapombe, ametemwa rasmi katika kikosi cha timu ya taifa kutokana na kusumbuliwa na majeruhi.Kapombe aliumia siku kadhaa zilizopita kwa kujitonesha kidonda chake jambo ambalo lilisababisha Kocha Emmanuel Amunike amuondoe kwenye programu ya mazoezi.Akizungumza na Radio EFM, Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania, Wilfred Kidao, amesema Kapombe hawezi kuwa sehemu ya...

STARS: TUNAKWENDA KUFANYA KWELI AFCON

0

NAHODHA wa timu ya Taifa ya Tanzania anayekipiga KRC Genk ya Ubelgiji, Mbwana Samatta amesema kuwa wanatambua kazi kubwa waliyopewa na Taifa hivyo watakwenda Misri wakiwa na lengo moja kupata matokeo chanya kwenye michuano hiyo ya Afcon itakayofanyika kuanzaia 21Juni nchini Misri.Akizungumza na Saleh Jembe, Samatta amesema kuwa muda wa miaka 39 iliyopita bila Taifa kuwa na mwakilishi ni...