WANNE WAPANDISHWA KIZIMBANI KWA KUCHAPISHA MAUDHUI HASI YOUTUBE

0

Serikali imewafikisha mahakamani watu wanne kujibu shtaka la kuchapisha maudhui katika mtandao wa YouTube bila kibali kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA). Washtakiwa hao ni Charles Kombe (24) mkazi wa Mikocheni, John Chuwa (28), mkazi wa Baracuda, Amos Warema (27) na Raymond Mkoroka (30). Walipanda kizimbani jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.Walisomewa mashtaka hayo mbele ya mahakimu mkazi...

MMOJA TEGEMEO YANGA ANASWA AZAM

0

INADAIWA beki kisiki wa Yanga, Andrew Vincent ‘Dante’ anawaniwa na mabingwa wa Kombe la Shirikisho (FA), Azam FC ambayo msimu ujao itashiriki Kombe la Shirikisho Afrika.Dante amekuwa mmoja kati ya mabeki wa kati wa Yanga waliofanya vizuri msimu wa 2018/19 kwa kushirikiana na beki mkongwe Kelvin Yondani.Habari za ndani zinadai kuwa nyota huyo anawindwa na Azam pamoja na timu...

CRISTIANO RONALDO HANA MPANGO WA KUSTAAFU TIMU YA TAIFA

0

CRISTIANO Ronaldo mchezaji wa timu ya Taifa ya Ureno amesema kuwa bado ana imani ya kuitumikai timu yake ya Taifa kwa kubwa bado ana nguvu.Licha ya kuwa na umri wa miaka 34 bado amekuwa ni msaada ndani ya kikosi cha Ureno licha ya kushindwa kufanikiwa kutwaa kombe la Dunia mwaka jana.Ronaldo ambaye mwaka 2018 alishinda taji la Ligi ya...

Kwa mujibu wa kanuni, Lipuli hawakustahili.

0

Kimsingi si Lipuli Fc ndio alitakiwa aende kushiriki michuano ya Kimataifa kwa msimu ujao kwa maana ya Kombe la shirikisho Africa na ni KMC kwa mujibu wa kanuni.Baada ya CAF kuthibitisha Tanzania itakua na wawakilishi wanne katika michuano ya msimu ujao ya CAF, KMC alitangazwa kuwa ndiye atakewakilisha nchi katika Kombe la shirikisho akichukua nafasi ya mshindi...

MANARA: YANGA NI WASHIRIKI VITI MAALUM CAF – VIDEO

0

Kauli ya Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara kuhusiana na Yanga kupata nafasi ya kushiriki Ligi ya Mabingwa Afrika.

ZAHERA ASHUSHA KOCHA MPYA YANGA

0

KATIKA kuliboresha benchi lao la ufundi, uongozi wa Yanga upo kwenye mazungumzo ya mwisho na Kocha Mkuu wa Kagera Sugar, Mecky Maxime kwa ajili ya kumletea msaidizi Mwinyi Zahera.Hiyo, ni mara ya pili kwa Yanga kutangaza kumpa ukocha msaidizi wa timu hiyo ambaye msimu ujao wa Ligi Kuu Bara atakuwepo kwenye sehemu ya benchi la ufundi. Maxime akiwa na...

SIMBA YAIPELEKA YANGA MDOMONI MWA AL AHLY

0

KAMA zali tu vifaa vipya ambavyo vitavaa jezi za Yanga msimu ujao vina nafasi kubwa ya kukipiga dhidi ya timu za TP Mazembe na Al Ahly, hiyo ni baada ya wapinzani wao Simba kuwakutanisha na timu hizo.Hatua hiyo imekuja baada ya Yanga kupata nafasi ya kushiriki katika Ligi ya Mabingwa Afrika ambapo kwa msimu ujao watacheza huko baada ya...

Yanga sio ‘viti maalumu’, lakini Simba…

0

Baada ya taarifa kutoka na kuonyesha kuwa sasa Tanzania itakuwa na timu nne katika mashindano ya CAF, tambwe nyingi zimeenea hadi kupelekea msemaji wa timu ya Simba kutoa maneno ya utani/kejeli kuhusu nafasi hii.Kandanda imejaribu kuangalia kwa undani kidogo kujua, mchango wa timu hizi ni upi katika kufikisha alama 18 za nchi na kupelekea timu yetu kuinngia...

RAMADHAN KABWILI BADO HAKIJAELEWEKA YANGA, APATA DILI NJE

0

MLINDA mlango wa Yanga Ramadhani Kabwili amesema bado hawajafikia muafaka na mabosi wa timu moja nchini Sudan.Akizungumza na Championi Jumatano, Kabwili alisema; “Mkataba wangu na Yanga umekwisha na bado sijaongeza mkataba mwingine, kwa sasa naendelea na mipango yangu mingine ikiwa ni pamoja na kuangalia ofa ambazo nipo nazo mkononi.”“Kuna timu moja ipo nchini Sudan ambayo inahitaji huduma yangu wakati...