MSHAMBULIAJI SIMBA AMALIZANA NA TP MAZEMBE

0

Mshambuliaji wa zamani wa Simba na baadaye Aza FC, Ramadhan Singano, amejiunga na TP Mazembe ya Congo.Singano ambaye aliwahi kung'ara zaidi wakati akiwa Simba na baadaye kutimkia Azam FC, amefikia makubaliano na miamba hao wa Afrika kwa kuingia nao mkataba.Singano amemwaga wino Mazembe akiwa na bosi wa klabu hiyo, Moise Katumbi na sasa atakuwa na kikosi hicho msimu ujao...

NOMA!! HUU NDIYO UBALAA WA MIPANGO YA YANGA MSIMU UJAO – VIDEO

0

Klabu ya Yanga imeadhimia kucheza mechi za kirafiki zisizo pungua Tano ili kujiimarisha kuelekea msimu ujao wa ligi kuu.Akizungumza hii Leo na Waandishi wa habari jijini Dar es salaam Ofisa habari wa klabu hiyo, Dismas Ten,  amesema watacheza mechi hizo wakiwa morogoro pamoja na Dodoma ili kukiimarisha kikosi chake.Hata hivyo Dismasi amesema Siku ya Wananchi ambayo walikuwa wamepanga imeahirishwa...

TFF YAIJIBU SERIKALI KUHUSIANA NA KUGOMEA VIKAO VYAKE

0

Kufuatia lile sakasaka la uongozi wa TFF kugomea vikao vya serikali kupitia Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo chini ya Harrison Mwakyembe, shirikisho hilo limefunguka kwa kuandika haya hapa.

SERIKALI YAKERWA NA TFF, TAMKO LATOLEWA

0

WAZIRI wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe ametoa rai yake kufuatia uamuzi wa Shirikisho la Soka nchini TFF kumtimua kocha Emmanuel Amunike.Mwakyembe amesema kuwa kama TFF wameamua kufuata nyayo za Misri katika kumfuta kazi Amunike basi na wao wanapashwa wakamilishe mchakato kwa kujiuzulu nafasi zao.“Sisi hatuna tatizo na maamuzi ya TFF endapo tu yatatupeleka mbele, lakini...

KIUNGO MPYA KUTOKA GHANA ATUA AZAM

0

UONGOZI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, umekamilisha taratibu za kumsajili kiungo mshambuliaji, Richard Djodi, kwa mkataba wa mwaka mmoja kwa usajili huru akitokea kwa vigogo wa Ghana, Ashanti Gold.Huo ni usajili wa mwisho kwa Azam FC kwa ajili ya msimu ujao, ikiwa hadi sasa imesajili wachezaji wapya watano, watatu wakiwa wa kigeni na wawili...

MSUVA AMFUATA SAMATTA ULAYA

0

Nyota wa Difaa el Jadida ya Morocco, Mtanzania Saimon Msuva amefunguka kuwa kwa msimu ujao anaweza kuondoka ndani ya klabu hiyo na kutimkia barani Ulaya. Msuva kwa sasa amebakisha mkataba wa mwaka mmoja na Wamorocco hao ambao walimng’oa kutoka Yanga baada ya kufanya vizuri kwa kumaliza mfungaji bora akiwa na mabao 14.Akizungumza na Spoti Xtra, Msuva amesema malengo yake kwa...

KWASI ANUKIA TIMU NYINGINE LIGI KUU

0

Kama mlidhani Asante Kwasi amechuja, ngoja ishu yake na Biashara itiki asaini mkataba wa Kocha Amri Said.Kwasi ni kati ya wachezaji ambao mikataba yao ilimalizika ya kuichezea Simba.Kwa mujibu wa taarifa ambazo limezipata gazeti la Spoti Xtra kutoka Global Publishers, Kwasi yuko kwenye hatua nzuri na Biashara United.“Uongozi umepania kukifanyia marekebisho kikosi chake na katika hilo umepanga kuwasajili wachezaji...

KAGERE, MSUDAN NDANI YA NYUMBA SIMBA

0

Wachezaji wa kimataifa wa Simba, akiwemo Meddie Kagere na Sharaf Shiboub wanaanza kuwasili jijini Dar es Salaam, kesho ijumaa tayari kujiandaa na msimu mpya wa ligi simba  inaondoka wikiendi hii kwenda kambini nchini Afrika Kusini kwa ajili ya msimu mpya wa Ligi Kuu Bara katika kambi itakayoanza Jumatatu ijayo.Kikosi cha simba kilichosajiliwa msimu huu ni pamoja na Kagere, Shiboub,...