HUKU UNITED IKIMPIGA MTU 4-0, RASHFORD NA POGBA WACHEZAJI BORA WA MECHI
MARCUS Rashford mshambuliaji wa Manchester United leo ameibuka mchezaji bora wa mchezo wa kirafiki dhidi ya Leeds ambao ni maalumu kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao.United kwa sasa wameweka kambi nchini Australiana kwenye mchezo wa leo wameibuka na ushindi wa mabao 4-0.Kocha Mkuu, Ole Gunnar Solskjaer amesema kuwa ameshangazwa na uwezo wa Rashford ambaye ametupia pia bao pamoja...
DUH! KAMBI YA SIMBA SI YA MCHEZOMCHEZO
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara kwa sasa wameweka kambi nchini Afrika Kusini kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao.Simba watapeperusha Bendera ya Taifa kwenye michuano ya kimataifa na wana kibarua kizito cha kutetea taji lao tena.Dozi wanayoipata nchini Afrika Kusini ni asubuhi na jioni na kambi waliyoweka sio ya mchezomchezo kwani ilitumiwa na timu ya Taifa ya Uingereza...
YANGA MAMBO SAFI, YAKAMILISHA VIBALI VYA MASTAA WAKE
UONGOZI wa yanga umefunguka kuwa tayari umekamilisha suala la vibali vya kazi na makazi kwa wachezaji wao wote wapya ambao wamesajiliwa msimu huu.Nyota wa kimataifa waliosajiliwa na Yanga kipindi hiki ni Patrick Sibomana, Juma Balinya, Maybin Kalengo, Farouk Shikalo, Issa Bigirimana, Lamine Moro, Sadney Urikhob na Mustapha Selemani.Wachezaji hao baadhi wameshaanza majukumu yao kwa kuwa kambini mkoani Morogoro kwa...
WATANO WAPEWA MKONO WA KWA HERI SIMBA
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Simba, Crescentius Magori amesema kuwa tayari msimu ujao hawatakuwa na nyota wao watao ndani ya kikosi cha Simba.Magori amesema wachezaji hao tayari wamemaliza kandarasi na Simba na wamewaambia kwamba hawatawapa kandarasi mpya mpaka wakati mwingine.Nyota ambao tayari wamemaliza mkataba ndani ya Simba ni pamoja na Haruna Niyonzima ambaye kwa sasa amepata timu mpya Rwanda, Emmanuel...
NIGERIA WABABE KINOMA KWA TUNISIA, DAKIKA 90 ZITAAMUA LEO
UWANJA wa Al Salam leo nchini Misri wanaume 22 watazitikisa nyasi kwenye mchezo wa kumtafuta mshindi wa tatu wa michuano ya Afcon.Nigeria itamenyana na Tunisa ambao wote walipoteza kwenye mchezo wa hatua ya robo fainali iliyochezwa Jumapili.Tunisia ilipoteza mbele ya Senegal kwa kufungwa bao 1-0 huku Nigeria wakipoteza mbele ya Algeria kwa kufungwa mabao 2-1.Zimekutana mara nne ambapo Nigeria...
AKILI ZA KIPUUZI ZA UWOYA YES, LAKINI CHANGANYA NA ZAKO BASI….
*Walioingia mtegoni, wanapaswa kujitafakariNa Saleh AllyUTAMBULISHO mzuri kwa sasa ni kuwa Irene Uwoya ni mfanyabiashara anayechipukia. Mwanadada ambaye angepaswa kupongezwa kutokana na wazo lake la kuanza kuwekeza.Yeye ameamua kuwa mfanyabiashara au mjasiriamali tofauti na wengine ambao wangeamini katika kitu kimoja. Mfano yeye, ni msanii, angeweza kuona ni sahihi kubaki kama muigizaji pekee.Ajabu kabisa, sasa Uwoya huyo amezua mjadala unaosambaa...
RATIBA YA ROBO FAINALI NDONDO CUP
RATIBA ya robo fainali ya michuano ya Ndondo Cup ipo namna hii:-Friends Rangers v Uv Temeke uwanja wa Kinesi, Julai 18.Burudani FC v Ball Kipaji uwanja wa Bandari, Julai 19.Toroli Combine v Ninga FC uwanja wa Bandari, Julai 20.Millenium FC v Uruguaay FC, uwanja wa Bandari, Julai 21.
AZAM FC WACHEKELEA KUIPOTEZEA RAMANI TP MAZEMBE
OFISA Habari wa Azam FC, Jaffary Maganga amesema kuwa wachezaji na uongozi wa timu kwa sasa wanafuraha baada ya kuwang'oa vigogo TP Mazembe.Jana Azam FC iliwatoa mashabiki wa Tanzania kimasomaso kwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya TP Mazembe kwenye mchezo wa hatua ya robo fainali michuano ya Kagame."Haikuwa kazi nyepesi kwani wao walianza kutufunga, wachezaji walitambua...