MTIBWA SUGAR: HATUNA PRESHA NA VURUGU ZA SIMBA NA YANGA

0

UONGOZI wa Mtibwa Sugar umesema kuwa hauna hofu na fujo za timu kubwa ambazo zinafanya usajili wa kutisha kwani wao wana kiwanda cha kutengeneza wachezaji.Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Habari wa Mtibwa Sugar, Thobias Kifaru amesema kuwa wanatazama namna usajili unavyokwenda hawana presha."Sisi Mtibwa hatuna presha hata kidogo na usajili unaofanyika na timu zote, tunajiamini kutokana na uwekezaji ambao...

NDANDA, KAGERA SUGAR ZAIKOMALIA MWADUI FC

0

KLABU za Mwadui FC, Kagera Sugar na Ndanda FC zipo vitani kwa ajili ya kupata saini ya kiungo Abdallah Seseme.Kiungo huyo bado timu yake ya Mwadui inahitaji huduma yake hali inayofanya kuwe na mvutano mkubwa kuipata saini ya nyota huyo.Kocha wa Kagera Sugar, Mecky Maxime amesema kuwa mpango mkubwa wa kikosi chake ni kuboresha kikosi na kukifanya kiwe cha...

ZAHERA AFUNGUKA JUU YA AJIBU KUSAINI SIMBA

0

Kocha Mkuu wa Yanga, Emmanuel Amunike amesema kuwa inawezekana Ibrahim Ajibu aliogopa kujiunga na TP Mazembe ya Congo ndiyo maana alikataa kusajiliwa.Zahera ambaye hivi sasa anatarajiwa kutua nchini baada ya timu yake ya Taifa ya Congo kutolewa kwenye michuano ya AFCON huko Misri, ameeleza hayo kufuatia mchezaji huyo kusaini Simba.Kocha huyo mwenye maneno mengi amefunguka kuwa hawezi kumuelezea kwa...

IMETHIBITISHWA! POGBA KUSEPA MAN U

0

Kiungo wa Manchester United, Paul Pogba imethibitika rasmi kuwa anaondoka Manchester United. Wakala wake Mino Raiola juzi aliibuka na kusema wazi kuwa anashughulikia suala la Pogba kuihama Manchester United na kuchezea timu nyingine msimu ujao wa 2019/20.Pogba akiwa Japan hivi karibuni alisema mwenyewe anataka changamoto mpya baada ya kuichezea Manchester United kwa miaka mitatu. Staa huyo alisajiliwa kwa kitita...

MCHEZAJI YANGA AAHIDI KUIVUA UBINGWA SIMBA

0

Baada ya kukamilisha dili la kujiunga na Yanga kwa mkataba wa miaka miwili, beki Ally Mtoni ‘Sonso’ ameahidi msimu ujao lazima waivue Simba ubingwa wa Ligi Kuu Bara.Sonso aliyesaini mkataba huo akiwa nchini Misri na kikosi cha Taifa Stars kilichokuwa kinashiriki michuano ya Afcon, amejiunga na Yanga akitokea Lipuli FC ya Iringa.Beki huyo mwenye uwezo wa kucheza kushoto na...

EXCLUSIVE: YULE RAIA WA MISRI ALIYETUA KAMBINI STARS AKITAKA STARS IFUNGWE MABAO MENGI NA ALGERIA-3

0

*Yadaiwa ana uhusiano na Kocha Amunike,ashitukia mchezoNa Saleh Ally aliyekuwa CairoLEO ni sehemu ya tatu na mwishokuhusiana na timu ya soka ya Tanzania,Taifa Stars iliyokuwa kambini jijini Caironchini Misri kwa ajili ya michuano ya Kombela Mataifa Afrika maarufu kama Afcon.Taifa Stars ilipoteza mechi zake zote tatu zahatua ya makundi kwa kufungwa mabao 2-0dhidi ya Senegal, 3-2 dhidi ya Kenya...

WANASIASA ACHENI TFF IFANYE KAZI YAKE, MWISHO MZIGO UTABAKI KWAO

0

NA SALEH ALLYTANGU uongozi wa Rais John PombeMagufuli umeingia madarakani ikiwa niawamu ya tano, suala la kupunguza siasaili kazi ifanyike, limekuwa likizungumziwasana.Suala la siasa limekuwa tatizo kubwakatika masuala mengi ya kiutendaji natunaona kuna mambo mengi sana sasayametekelezeka.Yametekelezeka kwa kuwa zile siasa namaneno mengi yamekuwa ni tatizo hasabila ya utekelezaji. Siasa nyingi hasakatika sehemu ambazo si sahihi,zinaharibu mambo.Hili ndio naliona...

KOCHA YANGA ATAKA VIONGOZI WAJIEPUSHE NA SUALA LA USAJILI

0

KOCHA wa timu ya Vijana wa Yanga, Mohamed Hussein 'Mmachinga', amesema kuwa ni wakati sahihi kwa viongozi kuwaachia majukumu makocha masuala ya usajili ili kuepusha migogoro.Akizungumza na Saleh Jembe, Mmachinga amesema kuwa kumekuwa na tabia ya viongozi kupendekeza majina ya wachezaji wanaowataka jambo ambalo litaigharimu timu."Kuna baadhi ya viongozi wana tabia ya kupendekeza majina ya wachezaji na kukamilisha usajili,...