SIMBA BABA LAOO, YAIPIGA MBAO, YAIACHA YANGA KWA POINTI 13 SASA
HASSAN Dilunga 'HD' alianza kupeleka maumivu kwa wapinzani wao leo Mbao FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa CCM Kirumba kwa...
LIGI KUU BARA: MBAO 0-0 SIMBA
Kipindi cha Kwanza: Mbao 0-0 SimbaUwanja wa CCM KirumbaMchezo unaoendelea kwa sasa Uwanja wa CCM Kirumba ni kati ya Mbao FC na Simba kipindi...
SINGIDA UNITED YAGOMEA KUSHUKA DARAJA
UONGOZI wa Singida United umesema kuwa utapambana msimu huu kubaki ndani ya ligi kutokana na usajili walioufanya.Singida United haijawa na msimu mzuri kutokana na...
KIKOSI CHA SIMBA KILICHOANZA DHIDI A MBAO FC LEO UWANJA WA CCM KIRUMBA
HIKI ndicho kikosi cha Simba leo kilichoanza dhidi ya Mbao FC, Uwanja wa CCM Kirumba, Januari 16
ALIYEMTUNGUA MANULA NDANI YA MBAO ANA JAMBO LAKE JINGINE TENA
SAID Khamis Jr mshambuliaji wa Mbao FC leo ana kazi kubwa ya kuendeleza ubabe wake aliouanza msimu wa mwaka 2018/19 uwanja wa CCM Kirumba...
ISHU YA KICHUYA KUREJEA YAACHA MASWALI HAYA MATANO KWA JEMBE, HEBU TUSAIDIANE KUMJIBU
KUTOKANA na timu ya Simba iliyo chini ya Kocha Mkuu, Sven Vanderbroeck kumrejesha ndani ya kikosi hicho mchezaji wao wa zamani, Shiza Kichuya, Saleh...
HIKI NDICHO KINACHOIMALIZA KMC KUSHINDWA KUPATA MATOKEO CHANYA, DAWA YAKE YAPATIKANA
HARUNA Harerimana, Kocha Mkuu wa KMC amesema kuwa kazi kubwa aliyonayo kwa sasa ni kusuka upya kikosi kitakachowavuruga Mtibwa Sugarambao ni mabingwa wa kombe...
MBELGIJI WA YANGA AWAVAA WACHEZAJI WAKE KISA KICHAPO CHA MABAO 3-0 MBELE YA KAGERA SUGAR
LUC Eymael, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa wachezaji wake walipoteza nafasi nyingi za wazi jambo lililowafanya wakakubali kichapo cha mabao 3-0 mbele ya...
AZAM FC YAJIONGEZEA NGUVU ZA KUIFUATA YANGA
IDD Cheche, Kocha Msaidizi wa Azam FC amesema kuwa ushindi waliopata mbele ya Lipuli ni nguvu kwao kuelekea kwenye mchezo wao dhidi ya Yanga...
SVEN WA SIMBA KWENYE MTIHANI MWINGINE LEO MBELE YA MBAO FC,
SVEN Vanderbroek, Kocha Mkuu wa Simba leo ana kazi mbele ya Mbao FC kwenye mchezo utakaochezwa Uwanja wa CCM Kirumba.Sven anaingia kibaruani akiwa na...












