NYOTA WA STARS WAGOMEWA KUSTAAFU NA MWENYEKITI WA HAMASA KWA MTINDO HUU

0

 PAUL Makonda, Mwenyekiti wa Hamasa wa Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars kwenye michuano ya Afcon amesitisha mipango ya wachezaji wakongwe Kelvin Yondani na Erasto Nyoni kustaafu kuichezea timu hiyo.Hiyo, ikiwa ni saa chache mara baada ya wachezaji hao kutangaza kustaafu kuichezea stars wakiwa nchini Misri baada ya timu hiyo kuondolewa hatua ya makundi ya Afcon.Akizungumza na wachezaji...

HIKI NDCHO KILICHOWAPONZA YANGA NA SIMBA KUMKOSA NYOTA WA KAGERA SUGAR ALIYETUA AZAM FC

0

YANGA na Simba zimepigwa bao na Azam FC kuinasa saini ya nyota wa Kagera Sugar, Kassim Khamis ambaye amesaini kandarasi ya miaka miwili ndani ya mabosi wa Dar es Salaam ambao kwa sasa wapo nchini Rwanda.Yanga na Simba walikuwa vitani kuwania saini ya nyota huyo mwenye uwezo wa kucheka na nyavu kila anapopata nafasi pamoja na uwezo wake wa...

EXCLUSIVE PART ONE: AMUNIKE ALIVYOVURUMISHA MATUSI KWA YONDANI, YEYE AMWAGA CHOZI

0

Na Saleh Ally, CairoUKITAKA kumuuliza kila mmoja kuhusiana na mengi yaliyokuwa yanajitokeza ndani ya kikosi cha timu ya soka ya taifa maarufu kama Taifa Stars wakati ikishiriki michuano ya Afcon, utapata asilimia angalau 15 tu ya majibu sahihi.Kawaida Watanzania tumefundishwa kuficha mambo na kuyazungumza taratibu kama sehemu ya kiburudisho na wakati mwingine huenda jambo fulani kama litawekwa wazi. Basi...

TUNAHITAJI AKINA AZAM FC, KMC KIBAO ILI KUIBADILISHA TANZANIA

0

NA SALEH ALLYKATI ya timu za Tanzania zinazokwenda katika michuano ya Kombe la Kagame ni Azam FC ambao ni mabingwa watetezi pamoja na KMC ya Kinondoni jijini Dar.Michuano hiyo itashirikisha timu za mataifa mbalimbali kama DR Congo, wenyeji Rwanda pamoja na Kenya, Uganda na nyinginezo.Hii ni michuano ya kimataifa ambayo ingekuwa na faida kubwa kwa ukanda dhaifu wa Afrika...

MBWANA SAMATTA MAMBO NI MOTO, OFA TATU ZA MAANA ENGLAND

0

IMEELEZWA kuwa nyota wa kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania ambaye pia ni nahodha, Mbwana Samatta amekuwa dhahabu kwa timu za Ligi Kuu England zikiitaka saini yake.Mpaka sasa tayari imeelezwa kuna ofa tatu mkononi mwake kwa timu kubwa za England.Timu hizo ni pamoja na Westham United, Leicester City na Everton ambazo zinahitaji kumpata mfumania nyavu namba moja ndani...

HIKI NDICHO WANACHOJIVUNIA STARS AFCON

0

KOCHA wa timu ya Taifa, Emmanuel Ammunke amesema kuwa walichokipata kwenye michuano ya Afcon Misri ni uzoefu hivyo watafanya vema wakati mwingine.Tanzania ilishindwa kutinga hatua ya 16 bora baada ya kupoteza michezo yote mitatu hali iliyowafanya warejee nyumbani bila pointi."Ushindani ulikuwa mkubwa na tumefanya kwa kadri ya uwezo wetu, kikubwa ambacho tumekipata ni uzoefu na kujiongezea hali ya kujiamini,"...

ROSE MUHANDO MAJANGA TENA

0

LICHA ya hivi karibuni kusaidiwa na baadhi ya waimbaji wa Injili wa nchini Kenya alipokuwa anaumwa, habari za ndani zinadai kwamba kwa sasa muimbaji wa Injili Bongo, Rose Muhando ameharibu tena nchini humo kutokana na kutapeli baada ya kupewa fedha kwa ajili ya uimbaji, lakini hakutokea eneo la tukio. Chanzo makini kilidai kwamba, baada ya Rose kupona, watu mbalimbali walimpa...

IBRAHIM AJIBU ATOA LA MOYONI KWA YANGA

0

BAADA ya kujiunga na Simba kwa kandarasi ya miaka miwili akitokea Yanga, aliyekuwa nahodha wa Yanga amewashukuru mashabiki na viongozi.Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika ujumbe huu:-"Hakika ilikuwa miaka miwili bora sana kwangu, ndani na nje ya uwanja, Yanga ilikua sehemu ya familia yangu."Nitoe shukrani zangu za dhati kwa viongozi, benchi la ufundi, wachezaji na mashabiki kwa kuniamini na...

NYOTA WA BONGO ATIMKIA KENYA

0

NYOTA wa kikosi cha Alliance , Dickson Ambundo amejiunga na klabu ya Gormahia ya Kenya kwa kandarasi ya mwaka mmoja.Ambundo amejiunga na klabu hiyo kwa mkopo baada ya kumaliza mkataba wake na klabu yake ya Alliance. Kwa msimu wa 2019-20 Ambundo alifunga jumla ya mabao 10 ndani ya TPL.

HII NI NOMA SASA! SIMBA YAMALIZANA NA NYOTA TISA WA MATAIFA SABA

0

KIKOSI cha Simba ambacho kinaendelea kujiimarisha kwa ajili ya msimu mpya wa mwaka 2019-20 mpaka sasa tayari wamemalizana na wachezaji wa kigeni tisa kutoka mataifa tofauti.Wachezaji hao watatu ni kutoka  Brazili huku wengine wakiwa wanatoka ndani ya bara la Afrika kama ifuatavvyo:-Meddie Kagere mshambuliaji wa Simba ameongeza mkataba wa miaka miwili yeye ni raia wa Rwanda na anakipiga pia...