EXCLUSIVE: YANGA YAMALIZANA NA KIFAA KIPYAA!!
Klabu ya Yanga imemalizana rasmi na Mlinda Mlango aliyekuwa anaichezea Mbao FC, Metacha Mnata.Usajili huo umekuja baada ya makubaliano ya pande zote mbili kati ya mchezaji na klabu.Mnata alianza kuhusishwa kutua Yanga kwa muda mrefu na hatimaye usajili wake umekamilika rasmi.Kinachosubiriwa hivi sasa ni kipa huyo kuungana na wachezaji wenzake huko Morogoro ambapo kikosi kimeweka kambi kujiandaa na msimu...
MECHI TANO ZA MWANZO KWA YANGA KUNAKO LIGI KUU BARA, WAMO COASTAL UNION
Mechi tano za mwanzo kwa Yanga pamoja na Simba hizi hapa
HAI YAZIDI KUWA MBAYA MAN UNITED
Wakala wa Kiungo wa Manchester United Paul Pogba anaamini "kutafikiwa suluhisho la kuridhisha hivi karibuni kwa pande zote" katika kuamua mustakabali wa mchezaji huyo.Ijumaa iliyopita, ajenti Mino Raiola taliliambia gazeti la The Times kuwa kiungo huyo mwenye miaka 26 anataka kuhama Manchester United.Pogba, ambaye yupo katika ziara ya kabla ya msimu na klabu ya Man United katika nchi za...
SABABU YA AZAM FC KUPOTEZA LEO MBELE YA KCCA HII HAPA
KOCHA msaidizi wa timu ya Azam FC, Idd Cheche amesema kuwa wamepoteza mchezo wa leo kutokana na mchanganyiko wa wachezaji wapya na wazamani.Akizungumza na Saleh Jembe, Cheche amesema kuwa haina tatizo kupoteza mchezo wa leo mbele ya KCCA kwa kufungwa bao 1-0 kwani ni sehemu ya mchezo."Tumepambana ila haikuwa bahati yetu kwani wachezaji wetu bado wana mchanganyiko kuna wale...
MAKATA ALIYEZIPANDISHA ALLIANCE FC NA POLISI TANZANIA APEWA TIMU YA DODOMA
MBWANA Makata ameteuliwa kuwa Kocha Mkuu wa Dodoma FC inayoshiriki Ligi Daraja la kwanza.Godwin Kunambi ambaye ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma amemtambulisha Kocha huyo na kusema kuwa lego kuu la timu ni kujinasua kutoka hatua ya Daraja la Kwanza mpaka kufika Ligi Kuu Bara."Tutampa ushirikiano Kocha Makata katika kila jambo na kufanya usajili kwa mchezaji yoyote...
TANZANIA YAWALILIA WAANDISHI WATANO WALIOTANGULIA MBELE ZA HAKI KWA AJALI
OFISA Mtendaji Mkuu wa Azam Media, Tido Mhando amesema kuwa ni ngumu kuamini juu ya safari ya wafanyakazi wenzake ambao wamefariki kwa ajali ila kazi ya Mungu haina makosa.Jana wafanyakazi watano wa Azam Media Group walifariki baaada ya kupata ajali ya gari iliyotokea maeneo ya kati ya Shelui (Mkoani Singida) na Igunga, Tabora.Waliotangulia mbele za haki ni pamoja na...
HAYA NDIYO MAKOMBE 40 YA NYOTA WA TIMU YA TAIFA YA BRAZIL ALVES
Dani Alves ametwaa jumla ya makombe 40 tangu aanze kucheza mpira mia ka 18 iliyopita.Nyota huyo anayekipiga Paris Saint German raia wa Brazil alianzia maisha yake kwenye kikosi cha Bahia kabla ya kutimika Sevilla mwaka 2002.Mataji aliyotwaa yamefikia 40 na bado anaendelea kusakata soka kama alivyotwaa kombe la Copa America akiwa na timu yake ya TaifaSevilla (2002-08): Copa del Rey...
EXCLUSIVE: SIMBA YAMALIZANA NA NYOTA WATATU WA YANGA
GADIEL Michael sasa rasmi ni mchezaji wa Simba akitokea Yanga ambapo amesaini kandarasi ya miaka miwili.Gadiel anaungana na wachezaji wenzake wawili na kufikisha jumla ya wachezaji watatu ambao wametoka Yanga.Wengine ni Ibrahim Ajib ambaye alikuwa nahodha wa kikosi cha Yanga pamoja na Beno Kakolanya ambaye alikuwa ni mlinda mlango wote wamesaini kandarasi ya miaka miwili.