MCHEZAJI YANGA AAHIDI KUIVUA UBINGWA SIMBA

0

Baada ya kukamilisha dili la kujiunga na Yanga kwa mkataba wa miaka miwili, beki Ally Mtoni ‘Sonso’ ameahidi msimu ujao lazima waivue Simba ubingwa wa Ligi Kuu Bara.Sonso aliyesaini mkataba huo akiwa nchini Misri na kikosi cha Taifa Stars kilichokuwa kinashiriki michuano ya Afcon, amejiunga na Yanga akitokea Lipuli FC ya Iringa.Beki huyo mwenye uwezo wa kucheza kushoto na...

EXCLUSIVE: YULE RAIA WA MISRI ALIYETUA KAMBINI STARS AKITAKA STARS IFUNGWE MABAO MENGI NA ALGERIA-3

0

*Yadaiwa ana uhusiano na Kocha Amunike,ashitukia mchezoNa Saleh Ally aliyekuwa CairoLEO ni sehemu ya tatu na mwishokuhusiana na timu ya soka ya Tanzania,Taifa Stars iliyokuwa kambini jijini Caironchini Misri kwa ajili ya michuano ya Kombela Mataifa Afrika maarufu kama Afcon.Taifa Stars ilipoteza mechi zake zote tatu zahatua ya makundi kwa kufungwa mabao 2-0dhidi ya Senegal, 3-2 dhidi ya Kenya...

WANASIASA ACHENI TFF IFANYE KAZI YAKE, MWISHO MZIGO UTABAKI KWAO

0

NA SALEH ALLYTANGU uongozi wa Rais John PombeMagufuli umeingia madarakani ikiwa niawamu ya tano, suala la kupunguza siasaili kazi ifanyike, limekuwa likizungumziwasana.Suala la siasa limekuwa tatizo kubwakatika masuala mengi ya kiutendaji natunaona kuna mambo mengi sana sasayametekelezeka.Yametekelezeka kwa kuwa zile siasa namaneno mengi yamekuwa ni tatizo hasabila ya utekelezaji. Siasa nyingi hasakatika sehemu ambazo si sahihi,zinaharibu mambo.Hili ndio naliona...

KOCHA YANGA ATAKA VIONGOZI WAJIEPUSHE NA SUALA LA USAJILI

0

KOCHA wa timu ya Vijana wa Yanga, Mohamed Hussein 'Mmachinga', amesema kuwa ni wakati sahihi kwa viongozi kuwaachia majukumu makocha masuala ya usajili ili kuepusha migogoro.Akizungumza na Saleh Jembe, Mmachinga amesema kuwa kumekuwa na tabia ya viongozi kupendekeza majina ya wachezaji wanaowataka jambo ambalo litaigharimu timu."Kuna baadhi ya viongozi wana tabia ya kupendekeza majina ya wachezaji na kukamilisha usajili,...

BREAKING: RASMI AMUNIKE AFUNGASHIWA VIRAGO TFF

0

RASMI Emmanuel Ammunike amesitishiwa mkataba wa kuinoa timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars'.Taarifa rasmi iliyotumwa na TFF kwa vyombo vya Habari leo imethibitisha, imeandikwa kama ifuatavyo:-Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na Kocha wa Timu ya Taifa “Taifa Stars” Emmanuel Amunike tumefikia makubaliano ya pamoja kusitisha mkataba baina yetu.TFF itatangaza Kocha wa muda atakaekiongoza Kikosi cha Timu...

JOSE MOURINHO MBABE KINOMA AGOMEA OFA YA KWENDA CHINA

0

JOSE Mourinho amegoma kuikubali ofa ya kuinoa timu ya Guangzhou Evergrande inayoshiriki Ligi ya China.Mourinho ambaye amewahi kuzifundisha timu kubwa za Ligi Kuu England na amekuwa hana bahati ya kudumu muda mrefu kama ilivyokuwa kwa Chelsea na Manchester United amesema kuwa atapata kazi muda si mrefu.Tangu apigwe chini ndani ya United mwezi Desemba mwaka jana mpaka sasa hajapata timu...

YANGA KUJICHIMBIA MOROGORO MAANDALIZI YA LIGI

0

MABINGWA wa kihistoria wa Tanzania Bara, Yanga leo wametimkia Morogoro kwa ajili ya kuweka kambi. Msimu wa mwaka 2019-20 unatarajiwa kuanza Agosti 23 na mchezo wa ufunguzi utakuwa kati ya Simba na JKT Tanzania uwanja wa Taifa.Akizungumza na Saleh Jembe, Kaimu Katibu wa Yanga, Dismas Ten amesema kuwa wamechagua Morogoro kutokana na utulivu."Timu leo imeelekea Mrogoro kwa ajili ya...

JPM AWALILIA WAFANYAKAZI 5 WA AZAM TV WALIOFARIKI WAKIELEKEA CHATO

0

RAIS  John Magufuli amemtumia salamu za pole Mwenyekiti wa Makampuni ya Bakhresa, Said Salim Bakhresa kufuatia vifo vya wafanyakazi watano wa Azam Media vilivyotokea eneo la Kizonzo katikati ya Igunga,  Tabora na Sheuli , mkoani Singida baada ya gari lao aina ya Coaster kugongana uso kwa uso na lori.Coaster hiyo ilikuwa ikielekea kwenye uzinduzi wa Hifadhi ya Burigi-Chato.

KAHATA AANZA NA MIKWARA SIMBA

0

Baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili, kiungo mchezeshaji wa Simba raia wa Kenya, Francis Kahata, ametamba kuwa anakuja Msimbazi kucheza na siyo kukaa benchi.Kauli hiyo huenda ikawa tishio kwa wachezaji wanaocheza naye nafasi moja (namba nane) ambao msimu uliopita walikuwa wakibadilishana kucheza Mzambia, Clatous Chama, Hassani Dilunga, Mzamiru Yassin na Jonas Mkude kabla ya Msudan wa Al Hilal,...