AZAM YABEBA UBINGWA WA FA, YAICHAPA LIPULI 1-0 KWA MBINDE

0

Azam FC imeandika rekodi ya kutwaa taji la Kombe la Shirikisho 'Azam Sports Federation CUP' kwa mara ya kwanza kufuatia ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Lipuli FC katika mchezo uliofanyika Uwanja wa Ilulu mjini Lindi.Bao pekee la Obrey Chirwa mnamo dakika ya 64 ya kipindi cha pili limeipa Azam matokeo hayo na kuiwezesha kupata tiketi ya kushiriki mashindano...

KIKOSI CHA AZAM DHIDI YA LIPULI

0

Kikosi rasmi cha Azam FC kitakachokipiga dhidi ya Lipuli kwenye mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup)16 Razak Abalora14 Nickolas Wadada03 Daniel Amoah05 Yakubu Mohammed06 Agrey Moris (c)22 Salmin Hoza27 Mudathir Yahya08 Salum Abubakar07 Obrey Chirwa11 Donald Ngoma26 Bruce KangwaSUBS>>>Mwadini, Mwasapili, Mwantika, Domayo, Peter, Lyanga, Kimwaga.

SAMATTA: KESHO TAIFA NI MWENDO WA BURUDANI, MASHABIKI JITOKEZINI KWA WINGI

0

NAHODHA wa timu ya Taifa, Mbwana Samatta amesema kuwa mashabiki kesho wajitokeze kwa wingi uwanja wa Taifa kutoa sapoti kwenye mchezo wa hisani dhidi ya timu ya Ali Kiba utakaochezwa majira ya saa 10:00 Jioni.Akizungumza na SalehJembe, Samatta amesema kuwa wakati sahihi wa kujitoa kwa ajili ya jamii ni sasa hivyo wao wanaanza wengine watafuata."Ni mradi ambao upo kwa...

KIKOSI CHA LIPULI DHIDI YA AZAM FC LEO, ALIYESAJILIWA YANGA AANZIA BENCHI

0

Kikosi cha Lipuli dhidi ya Azam FC hiki hapa1. Mohammed Yusuph2. William Lucian3. Paul Ngalema4. Haruna Shamte5. Novarty Lufunga6. Fred Tangalu7. Miraji Athuman8. Jimmy Shoji9. Paul Nonga10. D. Saliboko11. Zawadi MauyaKikosi cha akiba1. Mburulo2. Sonso3. Job4. Chibwabwa5. Issah6. Karihe 7. Mganga.

BEKI MWINGINE MPYA NA YANGA KIMEELEWEKA

0

INADAIWA kuwa beki wa Lipuli FC, Ally Mtoni ‘Sonso’ tayari amemalizana na uongozi wa Yanga kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu Bara huku mwenye akifunguka kuwa ni kweli wapo kwenye mazungumzo.Sonso ni mchezaji ambaye alikuwa akiwindwa na Yanga kwa muda mrefu tangu kipindi cha usajili wa dirisha dogo na ni mmoja kati ya wachezaji ambao waliipeleka Stars...

MAPILATO WA AZAM FC NA LIPULI LEO HAWA HAPA

0

Hance Mabena leo atakuwa mwamuzi wa kati kwenye mchezo wa fainali ya kombe la Shirikisho FA utakaochezwa uwanja wa Ilulu, Lindi majira ya saa 9:00 alasiri.Mabena atasaidiwa na Mohamed Mkono kutoka Tanga, mwamuzi msaidizi namba moja, Frednarnd Chacha kutoka Mwanza, mwamuzi msaidizi namba 2, na Abubakar Mturo kutoka Mtwara atakuwa ni mwamuzi wa akiba.Waamuzi wasaidizi walioteuliwa kukaa kwenye magoli...

LIPULI: TUNAIPIGA AZAM FC NA PIPA TUNAKWEA

0

KOCHA wa Lipuli, Seleman Matola amesema kuwa wana shauku kubwa ya kukwea pipa ili kuiwakilisha nchi kimataifa hivyo kazi yao leo ni kuwakalisha wapinzani wao Azam FC.Akizungumza na Saleh Jembe, Matola amesema kuwa kazi ya kushinda ni ngumu hasa unapokutana na timu bora ila imani kubwa ipo kwenye ushindi."Najua aina ya timu ambayo tunakutana nayo ni ngumu na imewekeza...

SUALA LA VAR AFRIKA NI PASUA KICHWA

0

TIMU ya Esperance imetwaa ubingwa wa klabu bingwa Afrika kwenye mchezo wa fainali ya pili dhidi ya Wydad Casablanca baada ya Wydad kugoma kuendelea na mchezo huo dakika ya 62 kwa kutokubaliana na maamuzi ya mwamuzi.Kwenye mchezo huo ambao ulikuwa na ushindani mkubwa, Wydad walisawazisha bao walilofungwa na mwamuzi akalikataa kwa kudai wameotea jambo ambalo wachezaji hawakukubali na kuomba...