HAJI MANARA APEWA JUKUMU JIPYA NDANI YA SIMBA

0

UONGOZI wa Simba umesema kuwa umempa kazi maalumu Ofisa Habari wa kikosi hicho kabla ya siku ya Simba day ambayo ni maalumu kwa ajili ya kutambulisha wachezaji na jezi za Simba. Mtendaji Mkuu wa Simba, Crescentius Magori amesema kuwa mpango wao ni kuona wanaifanya siku hiyo kiupekee."Simba day ya mwaka huu itakuwa tofauti na nyingine hivyo Haji Manara amepewa...

LIONEL MESSI HANA IMANI NA WAANDAAJI WA COPA AMERICA

0

 LIONEL Messi mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Argentina amesema kuwa hana imani na waandaaji wa michuano ya Copa America kwani wanawapendelea waandaaji ambao ni Brazil.Messi alionyeshwa kadi nyekundu kwenye michuano hiyo dakika ya 37 na kumfanya afikishe jumla ya kadi mbili nyekundu akiwa na timu ya Taifa baada ya kusuguana na mchezaji wa Chile Gary Medel kwenye michuano...

RAIS WA SHIRIKISHO LA MISRI AMPIGA CHINI KOCHA MKUU KISHA NAYE ABWAGA MANYANGA

0

BAADA ya timu ya Taifa ya Misri kutolewa hatua ya 16 bora na timu ya Afrika Kusini kwa kufungwa bao 1-0 jana uwanja wa Taifa wa Cairoimeripotiwa kuwa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Misri, Hany Abourida amemtimua kocha Mkuu Javier Aguirre.Bao la ushindi kwa Afrika Kusini lilifungwa na nyota Thembinkosi Lorch lilidumu mpaka mwisho wa mchezo huo uliokuwa...

BREAKING: AMUNIKE APIGWA CHINI STARS, MBADALA WAKE AANZA KUSAKWA

0

Inaelezwa kuwa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limefikia makubaliano ya kuacha na Kocha Emmanuel Amunike aliyekuwa anainoa Taifa Stars.Hatua hiyo imekuja kufuatia kuboronga mechi za mashindano ya AFCON yanayoendelea Misri.Taarifa za ndani zinasema TFF hivi sasa ipo kwenye mchakato wa kumpata Mwalimu mbadala wa muda atakayeinoa Stars kuelekea michuano ya CHAN.

WANYAMA AMKARIBISHA SAMATTA UINGEREZA

0

Kiungo wa Harambee Stars na Tottenham Hotspurs ya Uingereza, Victor Wanyama amemkaribisha rasmi nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta katika Ligi Kuu ya England msimu ujao.Kabla ya nyota huyo wa Spurs kumkaribisha Samatta katika ligi hiyo, tayari baadhi vyombo ya habari vikubwa duniani vimeripoti kuwa nyota huyo anatakiwa na Leicester City, Middlesbrough na Aston Villa huku dau lake likiwa...

MAZITO YAFICHUKA USAJILI WA AJIB SIMBA

0

Meneja wa Ibrahimu Ajib ambaye ni ndugu yake wa damu, Athuman Ajib amesema kuwa ilikuwa ngumu kumshauri Ajib kujiunga na TP Mazembe kutokana na mapenzi yake ndani ya Simba.Ajibu alipata ofa ya kujiunga na TP Mazembe aliigomea kutokana na kusaini kandarasi ya awali ndani ya Simba na kudai kwamba maslahi ya Mazembe yalikuwa finyu.Ajib alisema kuwa alikuwa akipambana mteja...

KATUMBI ACHARUKA KUPANGA MATOKEO AFCON

0

RAIS wa TP Mazembe, Moise Katumbi ameruka tuhuma za gazeti moja la Madagascar kwamba alimhonga kipa wa Zimbabwe kwenye mechi ya Afcon kuwania kufuzu 16 Bora dhidi ya DR Congo.DR Congo ya Mwinyi Zahera ilishinda mabao 4-0 kwenye mchezo huo na kufuzu jambo ambalo liliibua mijadala mingi.Habari zilimhusisha Katumbi na kipa wa Zimbabwe kwamba amempa mshiko ili alegeze jambo...

WACONGO WAMUONDOA ULIMWENGU KWA WAARABU

0

Imeeleza kuwa Klabu ya aS Vita ya Dr Congo imekomaa na mpango wake wa kutaka kumsajili mshambuliaji wa JS Saoura ya algeria, Thomas Ulimwengu kwa ajili ya msimu ujao.Saoura ilimsajili Ulimwengu hivi karibuni akitokea katika Klabu ya Al Hilal ya Sudan ambapo awali alikuwa nje kutokana na kuandamwa na majeraha kwa muda mrefu.Taarifa zinadai kuwa licha ya Vita kukomaa...

MASHABIKI WA MISRI BADO HAWAAMINI, MBIO ZA SALAH ZAFIKA UKINGONI

0

MOHAMED Salah mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Misri anayekipiga timu ya Liverpool kwa sasa naye atakuwa ni mtazamaji wa michuano ya Afcon ambayo inaendelea nchini Misri baada ya kushindwa kufurukuta mbele ya Timu ya Taifa ya Afrika Kusini.Mashabiki wengi wa Misri bado hawaamini wanachokiona mbele yao kwamba nao wanabaki kuwa watazamaji kwani walibeba matumaini makubwa ya kushinda mwisho...