DUH! DIJK ALIWAKIMBIZA MARA TATU KWA KURA CR 7 NA MESSI

0

IMEELEZWA kuwa nyota wa Liverpool, Virgil Van Dijk ambaye amebeba tuzo kubwa ya kuwa Mchezaji Bora wa Shirikisho la Soka Ulaya (UEFA) aliwaacha kwa...

HIVI NDIVYO MWENDO WA MANCHESTER UNITED KWA SASA EPL

0

Matokeo ya Manchester United kwa sasa michezo minne ya EPL yapo namna baada ya kucheza michezo minne na kukusanya pointi tano pekee. Manchester United ilianza...

MZEE AKILIMALI AWALILIA WANAYANGA, AOMBA MCHANGO ANAUMWA, NAMBA YAKE HII HAPA

0

Na George MgangaMjumbe wa Baraza la Wazee Yanga, Ibrahim Akilimali, amesema anahitaji mchango kutoka kwa wadau haswa mashabiki na wanachama wa klabu hiyo pamoja...

MUONEKANO WA GAZETI LA SPOTI XTRA KATIKA UKURASA WA MBELE LEO JUMAPILI

0

MUONEKANO WA GAZETI LA SPOTI XTRA KATIKA UKURASA WA MBELE LEO JUMAPILI

SAMATTA AITAKA TIMU HII LIGI KUU ENGLAND

0

Baba mzazi wa mshambuliaji, Mbwana Samatta, Mzee Ally Samatta amefichua kuwa hakushangazwa na hatua ya Shirikisho la Soka Ulaya (Uefa) kuipanga Genk anayochezea mtoto...

BOSS ALLIANCE: NI KWELI KUNA WACHEZAJI TUNAWACHAPA VIBOKO – VIDEO

0

Ni katika toleo la Championi juzi Ijumaa tuliona namna ambavyo makocha mbalimbali ambao wamewahi kuifundisha timu ya Alliance walivyokuwa wakilalamika kuingiliwa katika kazi yao...

BILO AFUNGUKA MADUDU YANAYOFANYWA NA BOSS ALIANCE, KUMBE SUB ILIMFUKUZISHA KAZI BHANA

0

Na George MgangaAliyekuwa Kocha Mkuu wa Alliance Shools ya Mwanza, Athuman Bilali Bilo, amesema kuwa alifukuzwa kwa sababu ya kuingiliwa majukumu yake kwenye benchi...

LWANDAMINA AWACHOKOZA YANGA

0

Kocha wa zamani wa Yanga, Mzambia, George Lwandamina amefunguka kuwa anakuja Tanzania kwa kazi moja tu ya kuhakikisha anaifunga timu hiyo katika mchezo wa...

MANCHESTER UNITED HAWANA BAHATI, LICHA YA KUTANGULIA KUFUNGA WAAMBULIA POINTI MOJA

0

LICHA ya kutangulia kufunga bao dakika ya 10 leo mbele ya Southampton kupitia kwa Daniel James bado wamekwama kusepa na pointi tatu muhimu.Dakika ya...

AHUKUMIWA KUSAFISHA HOSPITALI MIEZI 12 KWA KUMUUA MKEWE

0

Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Mtwara imemuhukumu mkazi wa Kijiji cha Luyaya Wilaya ya Kilwa Mkoani Lindi, Atanasi Kijombo, adhabu ya kufanya usafi...