YANGA HII NI JEURI, MILIONI 930 KUSAJILI JEMBE
YANGA kwa sasa wana jeuri ya kumsajili mchezaji yeyote wamtakaye kutokana na kuwa na kitita cha Sh milioni 930 ambazo wamezipata katika harambee yao ya Kubwa Kuliko.Kwa wiki kadhaa nyuma, Yanga wamekuwa wakichangia fedha kutoka kwa wanachama wa klabu hiyo ambapo Jumamosi iliyopita walifikia tamati zoezi hilo katika harambee kubwa iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar.Makamu Mwenyekiti...
TBL YAZINDUA KAMPENI YA FRIJI YA USHINDI
KAMPUNI ya Bia Nchini kupitia Bia yake ya Kilimanjaro Primium Lager imezindu Kampeni ya Friji ya Ushindi kwa wadau wote wa soka ili kuhamasisha Watanzania kuishangilia Tanzania ishinde iliyofanyika mwishoni mwa wiki katika Bar ya Juliana Mbezi Beach jijini Dar es Salaam.Akizungumza na waandishi wa habari Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Primium Lager, Pamela Kikuli alisema hii ni Kampeni...
TAIFA STARS: KESHO LAZIMA KIELEWEKE MBELE YA KENYA
BEKI wa timu ya Taifa ya Tanzania, Gadiel Michael amesema kuwa kwa sasa wana nafasi ya kupata matokeo chanya mbele ya Kenya mchezo wa pili kwenye michuano ya Afcon nchini Misri.Tanzania na Kenya wote wameanza vibaya michuano ya Afcon baada ya kupoteza michezo yao ya ufunguzi ambapo Tanzania ilifungwa mabao 2-0 na Senegal huku Kenya ikipoteza mbele ya Algeria...
BREAKING: KOTEI ASEPA SIMBA MAZIMA, APIGWA PINI MIAKA MITATU
TIMU ya Kaizer Chiefs imemsajili James Agyekum Kotei kwa mkataba wa miaka mitatu.Kiungo huyo mwenye umri wa miaka 25, amejiunga na Kaizer akitokea Simba SC.Usajili wa Kotei ndani ya kikosi hicho, unamaanisha kwamba Willard Katsande atatakiwa kujipanga kisawasawa kutetea nafasi yake.Kotei ni mchezaji wa pili kusajiliwa na Kaizer baada ya wiki hii mshambuliaji raia wa Zambia, Lazarous Kambole kujiunga...
MAYANJA ATAJA SABABU ZA KUTUA KMC, ATAJA ATAKAOWASAJILI
KOCHA mpya wa KMC, Jackson Mayanja amesema kuwa sababu kubwa iliyomfanya akubali kusaini klabu ya Halmashauri ya Kinondoni, KMC ni mfumo wa klabu hiyo kumvutia na ubora wa kikosi.Mayanja leo amesaini kandarasi ya mwaka mmoja kukinoa kikosi hicho ambacho kilikuwa chini ya Etiene Ndayiragije ambaye kwa sasa yupo Azam FC."Nimekubali kusaini KMC kwa kuwa ni klabu yenye mfumo mzuri...
Yanga, Kaseke wanazungumza kuhusu dili jipya
YANGA SC bado wanahitaji huduma ya kiungo wa pembeni, Deus Kaseke ambaye mkataba wake unataraji kumalizika rasmi mwishoni mwa mwezi huu. Kaseke alijiunga Yanga kwa mara ya kwanza Juni, 2015 akitokea Mbeya City FC.Alishinda mataji ya ligi kuu msimu wa 2014/15, 2015/16 na 2016/17 kabla ya kutimkia Singida United ya Singida msimu wa 2017/18 ambako aliisaidia timu...
HAWA HAPA NYOTA WANNE WA YANGA KUJUA KAMA PANGA LITAWAHUSU WIKI HII
UONGOZI wa Yanga umesema wiki hii utaweka hadharani majina ya wachezaji watakaoachwa ili kuwapa muda wa kujipanga.Mpaka sasa bado kuna wachezaji ambao hawajua hatma yao ndani ya Yanga huenda wakajua mwisho wao kama watabaki ama kusepa mazima.Wachezaji hao ni pamoja naAnthony MatheoDeus KasekeHaji MwinyiMrisho Ngassa
MRITHI WA NDAYIRAGIJE NDANI YA KMC HUYU HAPA
IMEELEZWA kuwa kocha mpya wa KMC atakayerithi mikoba ya kocha Etiene Ndayiragije ambaye ametimkia Azam FC ni Jackson Mayanja.KMC kwa sasa wanatafuta Kocha Mkuu mwenye uzoefu na michuano ya kimataifa ambaye atakiongoza kikosi hicho ambacho kitashiriki michuano ya kombe la Shirikisho msimu huu.Habari za ndani zimeeleza kuwa kwa sasa kila kitu kimekamilika na muda wowote atatangazwa kuwa kocha wa...
BAADA YA SIKU 23, OKWI KUKINUKISHA SIMBA
HUKO ulipo weka kumbukumbu kabisa kwamba itakapofika Julai 19, straika wa Simba, Emmanuel Okwi ndiyo itakuwa siku ambayo ataanika juu ya mustakabali wake ndani ya kikosi hicho.Okwi amemaliza mkataba wake ndani ya Simba ambapo kwa sasa straika huyo amekuwa akichengachenga kusaini mkataba mpya ndani ya kikosi hicho.Mshambuliaji huyo ambaye kwa sasa yupo na timu ya taifa ya Uganda kwenye...