HII SASA NI BALAA, YANGA YASAINI TISA WAPYA, SIMBA MNATOKAJE- VIDEO
Yanga imepania acheni utani jamani, hii ni kutokana na usajili wanaoendelea kuufanya na tayari wamekamilisha saini za wachezaji tisa kati hao sita kutoka nje ya nchi na wawili wazawa.Timu hiyo imemalizana na mastaa tisa ambao tayari wamesaini mikataba ya miaka miwili kila mmoja na kati ya hao yupo kipa wa Bandari, Farouk Shikalo.
KICHUYA, FEI TOTO WATOA TAMKO ZITO JUU YA USIMBA NA UYANGA – VIDEO
Mshambuliaji na Kiungo wa Team Kiba Shiza Kichuya na Feisal Salum wamefunguka kuwa kwa kikosi chao kilivyo lazima wawafunge timu Samatta kutokana na ni timu nzuri na ina wachezaji wazuri na vijana.Kampeni ya Nifuate ni msimu wake wa pili kwa sasa ambapo maboresho yatakua makubwa hivyo Samatta na Ali kiba wamewataka mashabiki kujaa kwa wingi uwanjani.
UTATU MTAKATIFU SIMBA WAKOMBA MILIONI 300
Utatu hatari Simba, kipa Aishi Manula, Erasto Nyoni na Shomari Kapombe wametikisa kiberiti kwa kugoma kusaini mikataba mipya wakitaka wapewe mkwanja mrefu zaidi.Wachezaji hao walijiunga na Simba misimu miwili iliyopita wakitokea Azam FC na sasa mikataba yao imemalizika hivyo wapo kwenye mazungumzo ya kuongeza mingine.Simba chini ya mwekezaji wao bilionea, Mohammed Dewji ‘Mo Dewji’ imetangaza kufuru ya usajili kwa...
Uwanja umeharibu fainali ya shirikisho
BAO la dakika ya 65′ la mchezo lililofungwa na mshambulizi raia wa Zambia, Obrey Chirwa limeipata taji la kwanza la kombe la FA klabu ya Azam FC baada ya kuilaza Lipuli FC goli 1-0 katika mchezo wa fainali Ilulu Stadium, Lindi jioni hii.Kabla ya fainali hiyo ya nne mfululizo kufanyika baada ya kurejeshwa msimu wa 2015/16, hofu...
VIFAA VIWILI VYASAINI YANGA
YANGA bado wako bize kwelikweli na mambo ya usajili ambapo juzi usiku walikamilisha usajili wa mastaa wawili ambao wanaaminika watabadili mambo na kuirejesha ile Yanga ya kimataifa msimu ujao.Klabu hiyo yenye makazi yake mitaa yenye kelele kibao pale Jangwani jijini Dar iko bize kusajili wachezaji ambao walipendekezwa na kocha wao, Mwinyi Zahera ambaye kwa sasa yuko Hispania kwenye kambi...
AZAM YABEBA UBINGWA WA FA, YAICHAPA LIPULI 1-0 KWA MBINDE
Azam FC imeandika rekodi ya kutwaa taji la Kombe la Shirikisho 'Azam Sports Federation CUP' kwa mara ya kwanza kufuatia ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Lipuli FC katika mchezo uliofanyika Uwanja wa Ilulu mjini Lindi.Bao pekee la Obrey Chirwa mnamo dakika ya 64 ya kipindi cha pili limeipa Azam matokeo hayo na kuiwezesha kupata tiketi ya kushiriki mashindano...
KIKOSI CHA AZAM DHIDI YA LIPULI
Kikosi rasmi cha Azam FC kitakachokipiga dhidi ya Lipuli kwenye mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup)16 Razak Abalora14 Nickolas Wadada03 Daniel Amoah05 Yakubu Mohammed06 Agrey Moris (c)22 Salmin Hoza27 Mudathir Yahya08 Salum Abubakar07 Obrey Chirwa11 Donald Ngoma26 Bruce KangwaSUBS>>>Mwadini, Mwasapili, Mwantika, Domayo, Peter, Lyanga, Kimwaga.
SAMATTA: KESHO TAIFA NI MWENDO WA BURUDANI, MASHABIKI JITOKEZINI KWA WINGI
NAHODHA wa timu ya Taifa, Mbwana Samatta amesema kuwa mashabiki kesho wajitokeze kwa wingi uwanja wa Taifa kutoa sapoti kwenye mchezo wa hisani dhidi ya timu ya Ali Kiba utakaochezwa majira ya saa 10:00 Jioni.Akizungumza na SalehJembe, Samatta amesema kuwa wakati sahihi wa kujitoa kwa ajili ya jamii ni sasa hivyo wao wanaanza wengine watafuata."Ni mradi ambao upo kwa...
KIKOSI CHA LIPULI DHIDI YA AZAM FC LEO, ALIYESAJILIWA YANGA AANZIA BENCHI
Kikosi cha Lipuli dhidi ya Azam FC hiki hapa1. Mohammed Yusuph2. William Lucian3. Paul Ngalema4. Haruna Shamte5. Novarty Lufunga6. Fred Tangalu7. Miraji Athuman8. Jimmy Shoji9. Paul Nonga10. D. Saliboko11. Zawadi MauyaKikosi cha akiba1. Mburulo2. Sonso3. Job4. Chibwabwa5. Issah6. Karihe 7. Mganga.