SAMAKIBA ITADUMU MILELE

0

NAHODHA wa timu ya Taifa, Mbwana Samatta amesema kuwa mpango wa kuisaidia jamii utakuwa ni wa kudumu kwa kuwa ni sehemu ya maisha kuwakumbuka wahitaji.Samatta na Ali Kiba wameandaa mchezo maalumu wakiwa na kampeni yao inayokwenda kwa jina la nifuate na muunganiko wao unaitwa SAMAKIBA Foundation, Juni 2 watakuwa na mchezo uwanja wa Taifa.Akizungumza na Saleh Jembe, Samatta amesema...

KIBA ATAJA SABABU YA NIFUATE PROJECT, JUNI 2 KUWAKA TAIFA

0

MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Ali Kiba amesema kuwa sababu kubwa za kuandaa mchezo maalumu utakaochezwa jumapili uwanja wa Taifa ni kuisaidia jamii inayowazunguka.Alikiba na Mbwana Samatta wameandaa mchezo maalumu wakiwa na kampeni yao inayokwenda kwa jina la nifuate na muunganiko wao unaitwa SAMAKIBA Foundation, unawajumuisha wanamichezo na wasanii pamoja na mashabiki wote.Akizungumza na Saleh Jembe, Ali Kiba...

YANGA WAPEWA BURE MBADALA WA MAKAMBO

0

UONGOZI wa Mwadui FC umesema kuwa upo tayari kuwapa nyota wao Salum Aiyee hata bure endapo watakuwa wanahitaji saini yake msimu ujao.Yanga kwa sasa inatafuta mbadala wa Heritier Makambo ambaye amesepa Yanga akiwa amefunga jumla ya mabao 17 msimu huu na kujiunga na kikosi cha Horoya ya Guinea huku Aiyee akiwa na mabao 18.Katibu wa Mwadui FC, Ramadhan Kilao...

UKIACHANA NA WALE WANAOTEMWA YANGA, HAWA HAPA WANATOLEWA KWA MKOPO

0

Wakati maboresho ya kikosi cha Yanga yakiendelea kufanyika hivi sasa kwa kusajili wachezaji wapya, baadhi wametajwa kuondolewa kwa mkopo.Yanga hivi sasa imesajili wachezaji takribani saba wapya ikiwa na malengo makubwa ya kuurejesha ubingwa wake baada ya kuukosa kwa misimu miwili mfululizo.Wachezaji wanaotajwa kuondolewa kwa mkopo ni pamoja na Mrisho Ngasa, Abdallah Shaibu ‘Ninja’.Wengine ni Deus Kaseke, Jaffar Mohamed na...

NAMUNGO YAANZA KUIVURUGA BIASHARA UNITED

0

MLINDA Mlango namba moja wa kikosi cha Biashara United, Nurdine Barola raia wa Burkina Faso anatarajiwa kujiunga na kikosi cha Namungo FC ambacho msimu ujao kitashiriki Ligi Kuu Bara.Barola alikuja bongo kwa lengo la kujiunga na Yanga dili lake likatibuka na kudondokea mikononi mwa mabosi wa Biashara United ya Mara ambayo imebaki ligi kuu msimu ujao.Ofisa Habari wa Namungo...

WACHEZAJI WANAOTEMWA YANGA HAWA HAPA

0

Hii hapa orodha ya wachezaji wanaoelewa kuwa wataachwa Yanga siku yoyote kuanzia hivi sasa huku nafasi zao zikichukuliwa na wale wanaofanyiwa usajili hivi sasa.Pius BuswitaAmissi Tambwe Thabani Kamusoko Said Makapu Said MussaMatheo Anthony Juma Mahadhi Pato Ngonyani naBurhan Akilimali

LIPULI: HATUNA MKWANJA ILA KOMBE TUNASEPA NALO

0

KOCHA wa timu ya Lipuli, Seleman Matola amesema kuwa bado hali ndani ya kikosi kwa upande wa uchumi haijakaa sawa ila amewajenga kisaikolojia wachezaji wake kubeba kombe la FA mbele ya Azam FC Juni Mosi.Akizungumza na Saleh Jembe, Matola amesema kuwa tatizo la ukata limekuwa sugu ukichanganya na ugumu wa ratiba kwake ila hilo ameweka pembeni na kulipigia hesabu...

AZAM FC: TUPO TAYARI KUWA WA KIMATAIFA

0

KOCHA wa Azam FC, Idd Cheche amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wao wa fainali ya kombe la FA dhidi ya Lipuli Juni Mosi uwanja wa Ilulu.Akizungumza na Saleh Jembe, Cheche amesema kuwa hana mashaka na ubora wa kikosi chake hivyo ushindi ni suala la muda tu."Tupo imara kiushindani na kikosi chetu tunakipanga kutokana na mahitaji ya...

Yanga walivaa ovyo kwenye futari, Simba walifundisha kuvaa Yanga Jana.

0

Jana kulikuwa na utoaji tunzo wa klabu za Simba, kitu ambacho ni kikubwa na chenye kuigwa kwa vilabu vingine ndani ya nchi yetu.Kuna vitu vingi sana ambavyo vilionekana jana. Inawezekana mjadala mkubwa ni kwenye tunzo ambazo zimetolewa.Lakini kwangu mimi kuna kitu kimoja ambacho nilikitazama jana. Uvaaji wa wachezaji na benchi la ufundi wa Simba.Uliwatazama walivyokuwa wamevaa?. Walikuwa...

TANZIA: MJUMBE KAMATI YA UTENDAJI YANGA AFARIKI

0

TIMU ya Yanga pamoja na familia ya wanamichezo duniani imepata pigo kufuatia kifo cha mjumbe wa kamati ya Yanga Felix Kibodya.Kibodya amefariki usiku wa kuamkia leo Ijumaa hospitali ya Lugalo jijini Dar es Salaam baada ya kuugua kwa muda.Makamu Mwenyekiti wa Yanga, Frederick Mwakalebela amethibitisha taarifa hizo za kifo cha Kibodya.Mwakalebela amesema Yanga imepata pigo kutokana na msiba huo...